Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raisi wake alikuwa na ziara huko, na pia makamu wa raisi.!Kwenye hili swala la tozo sisi raia tumelilalamikia limetuumiza,sasa imekuwaje bwana mwigulu atunange na kutuambia twende burundi kama hatutaki kutozwa hizo tozo mpya ilihali SASHA alikuwa yupo ziarani huko? Ni nini kimetokea hapa katikati WADAU? Ina maana alikuwa anamaanisha nini mpaka aseme hivyo?
Ok na kama ni bahati mbaya aliteleza kwann asitolee mfano hata Rwanda basi au uganda yeye kalenga tu burundi?
Naomba kuwasilisha.
Hayo majina ni yakwake aliyoanza nayo shule???PhD amepata awamu ya 5 kabla hajaingia mgogoro na Maaskofu wa KKKT
Kwani hakushirikishwa?Huyu ni shetani unakumbuka alivyomfanya Tundu Lissu mtu wa kwao mkoa mmoja Singida,je watu wengine atakuwa na huruma nao?
Fikra pana hii,Mama Samiah ametulia,halioni hili na litacost utawala wake.
Huyu Mwigulu huwa anajiona ana akili sana kuzidi wachumi wote kumbe hayo madigrii yake ni makaratasi tu na ufaulu wake tunaujua ulijaa kuhonga honga hadi kufikia hapo alipo. Hebu muangalie akiwa anaongea hana tofauti na 'rum pen' mwingine wa mtaani, haongei kisomi, ndo maana Hayati Magufuli alimtmbua baada ya kimuona ni gumashi tu hiloJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Huyu Mwigulu huwa anajiona ana akili sana kuzidi wachumi wote kumbe hayo madigrii yake ni makaratasi tu na ufaulu wake tunaujua ulijaa kuhonga honga hadi kufikia hapo alipo. Hebu muangalie akiwa anaongea hana tofauti na 'rum pen' mwingine wa mtaani, haongei kisomi, ndo maana Hayati Magufuli alimtmbua baada ya kimuona ni gumashi tu hilo
PhD yenyewe ni ile ya thesis, bila course work ya darasani, na ameitafuta akiwa Waziri, unatarajia nini? Kwa mfumo wa Elimu ya Juu hapa TZ, mtu anaweza kununua tu PhD kirahisi sana. Hoja yako ni ya msingi sana, PhD nyingi ni paper works, wanakusanya literature nyingi na kuandika chapters mtu akiwa hata baa pale UDASA, ARISA etc na Ofisini Chuoni, hawana hela na muda wa kufanya utafiti na kukusanya real data, data nyingi zinapikwa tu, wanawalipa vijana vipanga ili wawafanyie kila kitu, halafu yeye anaenda tu kutunukiwa cheti. Mwigulu kuonyesha kuwa ni punguani, ameshindwa kujua kuwa aina ya PhD yake watu wanaijua na siyo ile hasa ya kutamba nayo mbele ya PhD za wachumi bobezi, Mwigulu mdahalo wa mada hot ya kiuchumi hawezi kwenda!Huyu jamaa ni mpuuzi sana,udakitari wa falsafa sio kujitapa,ni matendo,yeye kuwa na ka PHD ka uchumi,anajiona mwamba,amefanya tafiti ngapi na wapi zilizoleta tija?watu waliokuwa wamebobea kwenye uchumi kama Prof Ndulu,walikuwa na CV nzito kuanzia UN,sasa huyu kasoma hajawahi hata kufundisha,au kufanyia kazi hako ka PHD lake,anatutambia hv
Magufuli hakuwa mjinga design hii ndiyo maana alikuwa anafanikiwa kiasi kisicho wahi kutokea.Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
Wote ni wajinga lakini wanajiamini kishenzi.Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
Ndiyo kwasababu waziri ni sehemu ya serekale ya ccm.Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala. Kitendo Cha waziri wa Fedha kuwaambia Watanzania wakimbilie burundi na Rais kupiga kimya Kwa kauli hiyo, sisi Watanzania tumeanza kumuelewa vibaya au tofauti kupitia kauli hiyo.
Kwani kauli ya waziri ni kauli ya serikali.
Kwa kuwaomba radhi Watanzania? Au
Kuna Uzi anaomba wstu wasihame nchi, matatizo atarekebishaKwa kuwaomba radhi Watanzania? Au
Wananchi walijuaje kuwa bwana pesa atapita.Rushwa ilishatangulizwa kwa makada ili auze jina.Ulinzi mkali as if amebeba BOT yote.Halafu kaanza ziara kwa msafara kama vile yeye ndio Rais, anapofika mahala anasimama kutoa speech kwa wananchi kutafuta umaarufu.
Rais Samia acha acheke na huyu kima, atavuna anayopanda.
Atarekebisha kama nani?PhD ingekuwa inafanya kazi angekuwa ameenda kukaa na wafanyabiashara waliokimbia nchi ili atatue
Any way, naona ameanza speed ya 2025.