Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

hutujafika huko bado labda kama ingekuwa vikao vya bavicha ndipo hayo yangetokea tuombe mungu tusifike huko
Labda kama unaichukia bavicha. Mie sijaitaja kwa kuwa juzi UVCCM tumeshikana mashati pia.Kwa hiyo tatizo sio hizi jumuia ila ni sisi vijana.
 
Mngetuwekea amesema nini,tuliohuku shamba tungewashukuru
 



hapo penye blue nafikiri hujashirikisha ubongo wako vizuri au hufuatilii mjadala unaoendelea bungeni. Spika Makinda amesema kuwa yeye hana tatizo na kuruhusu mjadala huo. jana aliacha speech nzima ya MBOWE na hakuna aliyetaka mwongozo wa spika. leo kachangia nchemba tu wanataka mwongozo wa spika. MAKINDA ameonyesha ukomavu kwa kumruhusu LISSU karudia yale yale yaliyokatazwa na hajamzuia
 
Kuna wakati huwa naamini Mwigulu ni pandikizi la CHADEMA ndani ya CCM, analopoka mno kuonyesha CCM sichama makini kiasi cha kushindwa kubaini GAIDI ni nani ? Sheria ya UGAIDI walipitisha inainisha gaidi ni nani na anshughlikiwa vipi?

Mwigulu anaibuka Mbowe, Slaa ni magaidi, kweli mnakitendea HAKI chama chenu? Mnalitendea haki jeshi la polisi? Unawatendea Haki Usalama wa Taifa? Una utendea HAKI Uchumi wa Nchi Kwa kutangaza kwamba Tanzania imejaa magaidi tena wanatemebea huru kabisa hadi bungeni?

Mwigulu tumia First class yako vizuri, unaaibisha hata chuo kilichokupa hiyo first Class.
 
Reactions: FJM
mkuu ulianza vzr maelezo yako lkn baadae ukanichanganya kidogo haswa ulipoongelea 'Mwanamke' badala ya CHEO chake TU Yaani 'SPIKA' kwa kifupi napenda sana hoja zinazolala kwenye FACTS not ushabiki kisiasa!!!

Mkuu labda nilikosea tu kuonyesha kua nime quote hiyo kauli ilitolewa kama ilivyo na Mh fulani!badala ya kuangalia uwezo wa mtu kuongoza,wao wakampa madaraka kutokana na jinsia yake badala ya kumpambanisha na wenzake ili kupima uwezo wake!kifupi kwa mtazamo wangu huyu mama hakua na uwezo na hana uwezo
 

kwa haya majibu lazima mama spika akae chini.!!
 
Kaka, enzi za amani zilishakwisha. CCM wanajua hilo. kama kweli Nchemba anaweza kuongea bungeni na baado sio moja ya watu waliohojia nadhani tumechoka na amani. Na hii imeonyesha jinsi mikakati ya CCM na serikali yake ni kuharibu amani na mtangamano wetu.
 
Hizi habari za ugaidi naona zinaanza kuzoeleka hapa nchini...tukemee hili kwa nguvu zote
 

paka na panya wanafanana au unaweza kuwaweka pamoja?make umeweka mfano wa kiungo cha albino na cd ya lwakatare wapi na wapi.
 

umesomeka mkuu!!
 


anayehojiwa polisi ni mhalifu. mashahidi wanahojiwa mahakamani. subiri kesi ianze kusikilizwa ndipo ulaumu kama nchemba hatahojiwa
 
Dah hapa naona kama mipasho sasa.....:rockon:em tuone mwisho wake sasa!
 
Huyu jamaa Mwigulu namkumbuka alikuwa hana hata gari, kuna kipindi tulikuwa tunapewa lift pamoja na jamaa wa BOT pale Tegeta Namanga, sasa naona kakubali kutumika kama tissue ili tu tumbo lake lipanuke, ana bwabwaja hovyo as if kavuta cha Arusha, tahadhari kwake ni kwamba watanzania wa sasa si wale wa miaka ya 45, ambapo Nyerere alikuwa na TV peke yake, akiona matukio kwenye habari anatutangazia kaota Regan kafariki, kumbe alikuwa anaangalia kwenye BBC those days, sasa mzee Nchemba anadhani bado tuko enzi hizo, we know what is happening and we gonna use our brains to understand the truth, time will tell let wait and see.
 
Mwigulu Nchemba ni naibu katibu mkuu wa CCM Tanganyika hivo ni BOSI kwa spika.
Hii nchi inavyoonekana haina baba wala mama! How come spika anamezea uvunjifu wa kanuni za bunge kisa tu mbunge anayevunja kanuni ni wa chama chake?

The day is coming haya yote yatabaki historia.
 
Mwigulu ni kata kichwani. Kata haijui urefu au ubaya wa njia ni mzigo mwingine kwa mbebaji, uzuri ni kuwa mwisho wa njia inatupwa jararani tu.

CHADEMA Tutashinda uchaguzi kwa kishindo 2013 na specifically Mkoa wa kagera chini ya Rwakatare tutashinda majimbo saba
 

The guy is too arrogant
 
Huyo kiongozi wa CHADEMA alipoupata huo mkanda badala ya kuupeleka polisi akaupeleka kwa Mwigulu, najaribu kuifikiria hii sijaelewa maana yake.
uzuri hajavunja sheria.kama aliupeleka kwanza kwa mwiguru kisha yeye akaupeleka polis,kuna tatizo gani?.

Wala haina maana kuwa mwigulu hakuwambia polisi nani kampa huo mkanda.
Polisi wanajua ila wanalinda jina la mpigafilimbi kwa usalama wake.
 
hivi unavyoenda arusha si lazima upitie lushoto? yeye alikuwa anatafuta tu njia rahisi ya kuifikisha kwenye vyombo vya dola. pia alikuwa anahofia kuwa akigundulika na magaidi, huo ndio utakuwa mwisho wa uhai wake kama ilivyomtokea wangwe
Asante kwa ufafanuzi mkuu, kwa maana hiyo njia rahisi ya kufikisha mambo katika vyombo vya dola ni kupitia kwa watu wa CCM kama vile Mwigulu?, na kumbe alifanya hivyo kwa kuogopa kugundulika?,
Labda nikuulize wewe, hivi Mwigulu kwa kuwa sasa tuna uhakika ni shahidi katika kesi hii, unadhani hatalazimika kumtaja mahakamani huyo aliyempa huo mkanda?
 
Sio "mke wake", sema wake zake, jamaa ana damu ya uzinzi kama yule mgonjwa wetu wa kifafa anayeanguka hovyo majukwaani...

taratibu mgonjwa wetu naye anasoma sana jf msije mkaamsha ugonjwa maana sisi ndugu zake ndo huwa tunataabika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…