kwa hiyo saa hizi baada ya kuupeleka uhai hauko rehani....maana anajitangaza hadharani magaidi si watammaliza muda wowote......hivi unavyoenda arusha si lazima upitie lushoto? yeye alikuwa anatafuta tu njia rahisi ya kuifikisha kwenye vyombo vya dola. pia alikuwa anahofia kuwa akigundulika na magaidi, huo ndio utakuwa mwisho wa uhai wake kama ilivyomtokea wangwe
mantiki ya kumpa mwigulu ninini? Hebu tujaribu kuwa watanzania tuache kuwa wachadema na waccm! Mwigulu is nothing sio polisi, siyo mgambo siyo mwanasheria kwanini apewe! Hapa kunatatizo kubwa sana!uzuri hajavunja sheria.kama aliupeleka kwanza kwa mwiguru kisha yeye akaupeleka polis,kuna tatizo gani?.
Wala haina maana kuwa mwigulu hakuwambia polisi nani kampa huo mkanda.
Polisi wanajua ila wanalinda jina la mpigafilimbi kwa usalama wake.
Huyo Mwigulu ni nani yake hadi ampelekee huo mkanda, kwa nini asipeleke yeye moja kwa moja polisi kama ambavyo umesema wanaweza kulinda mpiga filimbi?, wewe hufikirii kabisa kwamba kwa huyo kiongozi wa CHADEMA (kama ni kweli yupo)kupeleka kwa Mwigulu ina leta hisia kuwa wameshirikiana kuutengeneza?(kama kweli mkanda ni wa kutengeneza)uzuri hajavunja sheria.kama aliupeleka kwanza kwa mwiguru kisha yeye akaupeleka polis,kuna tatizo gani?.
Wala haina maana kuwa mwigulu hakuwambia polisi nani kampa huo mkanda.
Polisi wanajua ila wanalinda jina la mpigafilimbi kwa usalama wake.
Nani hatoki? Kama mpaka sasa bado chadema wanaendelea kushinda chaguzi ndogondogo huku mitaani basi ni wazi watu wamepuuzia mambo haya, siamini kama itafikia mahala pakubwa zaidi ya ule mkanda kutolewa hewani, anachokifanya mwigulu kupiga kelele ni ku promote mkanda wake na dhahiri ni out of frustruation, matarajio makubwa mavuno madogo, Chadema sio Cuf, NO RETREAT NO SURRENDER!!Mimi nawashangaa CHADEMA mnapataje shida na swala la Lwakatare wakati kesi ndio kwanza imeanza?
Nani aliwaambia kwamba Mwigulu hatakwenda mahakamani kutoa ushahidi?
This time hii issue imewanasa hamtoki! Jadilini issue zingine muhimu kwa wananchi achaneni na hilo la Lwakatare.
Kamvua nguo, uharo, haya maneno yanatumikaje kwa Great Thinkers.
Sasa kama yuko tayari kutoa ushahidi,tatizo likwapi?
Mwacheni akatoe popote anapotaka kama ni fake itajulikana tu.
lakini hata kama yalikuwepo mawasiliano.huoni kwamba yawezekani baada ya ludo kulisanua kwa kina mwiguru waliamua kuwatega na kuwanasa hao mabigfish akina lwakatare?.mwigulu aache upuuzi......taarifa zake za mawasiliano kati yake na ludovick na msacky zinajulikana na ushahidi upo...huyo msacky nae amehusika sana kumpa ludo pesa na na kuwa na mawasiliano nae....kwa kifupi ni hivi:
Tarehe 27/12/2012:
Dennis Msacky kupitia simu ya mkononi namba 0764331010 aliwasiliana kwa simu na Ludovick Joseph kupitia simu namba 0753927100 akiwa Tamal hotel,Mwenge jijini dar-Es Salaam.
Hii ilikua siku moja kabla ya mkanda wa video uliowekwa youtube kurekodiwa.mkanda ulionyesha kuwa ulirekodiwa kesho yake yaani tarehe 28/12/2013
Tarehe 30/12/2012
Dennis Msacky kupitia simu namba 0764331010 aliwasiliana na Ludovick kupitia simu namba 0753927100 mnamo saa tano na dakika 8 asubuhi akiwa Iringa.
Hii ilikua siku moja baaada ya Mwigulu Nchemba kutangaza kupitia kituo cha televisheni cha Star TV kwamba anao mkanda unaoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji
Tarehe 31/12/2012
Dennis Msacky alimpigia simu ludovick kwa namba hizo hizo mnamo saa moja kamili usiku(19:00),wakati huo Ludovick akiwa Tegeta
Huyu ni mtu aliyepangwa kutekwa,lakini alikua na mawasiliano na kijana Ludovick ambaye ni Mtuhumiwa.
Mwigulu ni janga kwa taifa.
hivi kwel mwigulu ni msomi au alinunua hiyo first clas mana aliyochangia hayareflect elimu yake kabisa jamaa ni mbululaaaaa balaaa
heheheheeee,,,,jaman walim hatujashindwa kazi tunachapa kazi sana,na matokeo mmeyaona mwaka huu,sasa yeye anawataja wainjinia kwani yeye taaluma yake haihusiani na kufundisha?Huyu mwehu huyu ...eti Ma engineer wakafundishe shule za kata...alaf walipwe acccordingly...wakati hao tu walimu wameshindwa kuwalipa...Ati Viongozi wa Chadema ndio Magaidi na wauaji ...na yupo tayri kutoa ushahidi na pia aliyerecord video ile yupo na yupo tayari kusema chochote..Ati "You look Messless,shameless...look at you "
Tuacheni kujaza post tuelezeni sababu ya mkanda kupelekwa kwa Mwigulu.atamtaja hamna kipingamizi kabisaaa.
Ila kesi kama hii inaweza chukua hata miaka kumi usidhani inaisha mwezi ujao.
hivi kwel mwigulu ni msomi au alinunua hiyo first clas mana aliyochangia hayareflect elimu yake kabisa jamaa ni mbululaaaaa balaaa
Makinda ni wa hovyo kabisa
hili suala liko kisiasa,wahusika wote hadi mpiga video wanatumika na siasa.mwigulu ni mwanasiasa.iliwasilishwa kwake ili itumike kisiasa.ok?mantiki ya kumpa mwigulu ninini? Hebu tujaribu kuwa watanzania tuache kuwa wachadema na waccm! Mwigulu is nothing sio polisi, siyo mgambo siyo mwanasheria kwanini apewe! Hapa kunatatizo kubwa sana!