Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!


Raisi alitukanwa!!!!!!!?,kweli binaadamu wabaya ukweli wanaugeuza tusi?
 
Mwigulu akili ndogo sana. Hivi mtu unaweza vipi kutoa ushahidi mbinguni?
 
Chadema ni chama makini, kamwa hakiweza kufanya mambo ya upuuzi. Taifa lote linafahamu. Mikakati ya kuua chadema na ishindwe. Chadema ni mkombozi pekee wa nchi hii.
 
sasa hapa police wanataka watu tuandamane ili GAIDI NCHEMBA afikishwe police kwa kuhojiwa,maana anaendelea kukiri na uhusika wake na mipango yake,hapa alipofika wasipomkamata police nitaandamana hata peke yangu.
 
polisi mnasubiri nini kumkamata huu GAIDI NCHEMBA? ANASEMA ushaidi anao,kamata asaidie upelelezi:A S 39:
 
hili jamaa uwelewa wake ni mdogo sana, atachukiwa sana na jamii kwa siasa zake za kipuuzi na kwa kwendo huu hatafika mbali kisiasa.

Wazee mkeemeeni kijana huyu maana ameivamia siasa kwa pupa.

Aaah kuku yeye anajisaidi.a ila bata ndio iwe nongwa eeeh,
CDM bwana yani kama akiwa lisu kichwa ila mwigilu!!!!!
ndio hamjashika dola hapo mnatu ulimboka mkiishika hii nchi itakuaje?
 
Mwigulu ni mwoga sana na ameshajua CDM wameshamgundua na jinsi alivyotengeneza hiyo kesi. Hii inamfanya achanganyikiwe na kuanza kujihami ovyo kama farasi aliyetumbukia kwenye mtaro. Imekula kwake! Watanzania wameshajua mchele na pumba wala asijisumbua sana ukweli wa mambo uko wazi.
 
Ng zangu WANA JF, HUYU MWIGULU NI KICHAA FIRST CLASS, MWACHENI MAANA TUTAMVUA NGUO LIVE KTK SIASA ZAKE ZA FITINA NA UUAJI.
HUYU NDIYE MFADHALI WA GENGE LA MAUJI WA CCM JUU YA WALE WOTE WANAO TISHIA UHAI WA CCM/MAFISADI.
CCM MWISHO WENU UMEWADIA DAIMA.
 
Mwigulu anawaudhi sana chadema. To we tanzanians Mwigulu is a great man. Ameinuliwa na Mungu. Nimemsoma he means what he is talking

hivi wewe sha makala huyo mwigulu ni ndugu yako?hata kama ni ndugu yako huwezi fikiria kabisa kumwita mwigulu is a great man,kwa haya mambo ya aibu anayo yafanya ya kitoto.yani real huyu bwana nimemshusha hakika nilikuwa namwamini ila kwa sasa zero kabisa.hata hao waliomchagua hawakuona?anyway labda hawata fanya tena ujinga huo wa kumchagua,nadhani wameona utumbo walioweka,Haya msirudie makosa sawa?
 
Hii yote inatokea bungeni ikwemo uvunjifu wa kanuni kwa kuwa tulihitaji SPIKA TUKALETEWA MWANAMKE! Kiti kilikosa mwenyekiti. Walau Sitta alimudu kidogo
 
Kwa Mwigulu kutamka kuwa suala la ugaidi kwa viongozi wa Chadema anao ushahidi wa kutosha na yuko tayari kutoa ushahidi popote hadi mbinguni ni uthibitisho mwingine kuwa huyo jamaa anaweweseka na hiyo dhambi aliyofanya ya kupanga uovu huo akishirikiana na vyombo vya dola dhambi hiyo ishaanza kumtafuna na adhabu ya kosa hilo ataanza kuipata hapa hapa duniani katika siku si nyingi kuanzia sasa!!
 

Mtazamo wako mwembamba sana. Viongozi wako mpaka wamejifisha kutafakari itakuwaje. Ujasiri na uhakika wa jambo alionesha Mwigilu imewapa watanzania sura mpya.
 

Wewe acha chuki. Kwetu sisi tumempandisha juu. Kijana wetu jasiri haijawahi kutokea. Iramba sasa inajulikana. Mambo yetu yanakwenda
 
Kibaya jibu kwa hoja acha chuki. Mwigulu kawabana
 
Huyu Mwigulu ataanza kupata adhabu hapa hspa kwa kuwa amefanya dhambi kubwa ya kutaka kuhalalisha dhambi yake kwa Mungu kuwa yupo tayari kutoa ushahidi huo hata mbinguni wakati ndani ya nafsi yake anajua fika kuwa uovu huo wa kumbambikia kesi ya ugaidi Lwakatare ameufanya kwa ushirikiano mkubwa na vyombo vya dola wakiwemo PoliCCM na Usalama wa CCM!!
 
polisi mnasubiri nini kumkamata huu GAIDI NCHEMBA? ANASEMA ushaidi anao,kamata asaidie upelelezi:A S 39:
Tangu lini shahidi naye akaunganishwa. ? Mnajipa matumaini. Gaidi ni mbowe slaa na chadema
 
Sielewi kwa nini aongezee kwa jazba hivvyo huyo mwigulu. Vielelezo alivyonavyo havitoshi kuweka uzito katika hoja yake na mkakati wa kuua chadema hadi aawe na jazba ya namna hiyo? Mbona sasa hafai kuwa kiongozi? Ku punic kwa nini wakati yeye si mshitakiwa na hiyo ni changamoto moja tu kati ya changamoto alizojibebesha?
 
Tangu lini shahidi naye akaunganishwa. ? Mnajipa matumaini. Gaidi ni mbowe slaa na chadema

Mwigulu ! hakika una matatizo makubwa sana ..... kiakili na kimaisha .... unayoyafanya haya ni mambo ya kishetani .... kumbuka Kila lenye mwanzo lina mwisho .... mwisho wa uovu wako umefikia dakika za mwisho, mungu atakuadhibu tuu ... huwezi kukwepa
 
Kwa hili suala la sakata ya kumfungulia mashitaka ya ugaidi Lwakatare kwa kosa la kufikirika la kutaka kumteka Dennis Msacky kwa kweli litakuwa limewashushia hadhi sana Jeshi la Polisi kwa kuwa wao ndiyo wanapaswa kuwa mstari wa mbele kuilinda katiba ya nchi.

Sasa ningependa kumuuliiza IGP Mwema na DPP Feleshi kama ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kuwa watu wote wako sawa mbele ya sheria na hairuhusiwi kufanya ubaguzi wakati wa kutekeleza sheria. Sasa imekuwaje mmemfungulia mashitaka ya ugaidi kwa tukio la kufikirika la utekaji wakati kwenye tukio la kutekwa kihalisia la Dr Ulimboka mmemfungulia mashitaka ya jinai ya kawaida yule mtuhumiwa mkenya wa Kova??!!
 
ulikua unamuamini tangu lini?acheni kamba wajamen,inafahamika humu jf mwigulu mnamsema daily ,leo eti unasema ulikua unamuamini?acha udoublestandard bana,tuwekee hata post yako moja uliyomsema mwigulu vizuri ili tuone uyasemayo ni ya kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…