Mwigulu Nchemba, hata kama Magufuli hayupo hai ulipaswa kumheshimu

Msema kweli mpenzi Wa Mungu jamani kwa mujibu wa dikteta uchwara aliyepo kuximu.Sasa mlitaka amsifiae MTU aliye unda genge la waharifu watu aina ya Sabaya na Makonda?
 
mshaambiwa huyu mtu hata majina anayotumia si yake what else do you expect from this idiot?
 
Sawa ila muosha huoshwa umesahau zile za "kuna wastaafu wengine wanawashwa washwa"
 
Nimemsikiliza Mhe. Mwigulu Nchemba akimwagia sifa za umairi Jakaya Mrisho Kikwete, nimeshangazwa sana na kitendo hiki kwa sababu zifuatazo;
Mwiguli alikuwa anawasilisha hotuba ya bajeti ambayo kimsingi haina hoja mahususi inayolazimisha kumtaja JK, Magu Wala Mkapa. Ni Nini kimemsukuma kuweka paragraph hii kwenye hotuba yake? Anamsuta Nani?
Hata Kama JK alikuwa kiongozi, Magufulu pia alikuwa kiongozi. Unapotoa sifa za kiongozi ambazo hazishabiani na kiongozi asiyekuwepo Duniani huku huko nyuma hukuwahi kutoa sifa Kama hizo kwake nikuutangazia umma kwamba huna na ujawahi kuwa na heshima kwake Bali ulikuwa unatafuta madaraka.
Lakini pia kumtaja JK kwa kumuunganisha na Mama Samia kunaleta picha kwamba bila JK uamini Kama Rais aliyepo anaweza kuongoza nchi. Naweza nisiwe sahihi lakini mitandao yote inaandika kwamba JK ndiye anayeongoza nchi kwa Sasa, Waziri wa fedha na timu yako kitendo chakuibgiza sifa za JK nikumdhalilisha Rais kwa kuonyesha umma kwamba wanayosema wanaharakati na watu wengine ni sahihi.
Lakini pia napata mashaka na uwezo binafsi wa mtu huyu katika nafasi hii nyeti, Wizara ya fedha ni nyeti. Aina ya bajeti aliyowasilisha inahitaji elimu kubwa kwa umma iweze kuonekana kwamba ina malengo chanya na kuepusha upotoshaji wakimantiki unaoweza kufanywa na watu wasio serikalini. Kuwasilisha bajeti Kama hii huku ukiweka sifa za JK kumeligawa Taifa na chama pia. Watu wengi wameondoka kuijadili bajeti wamejadili udhalimu na unafiki wakimfumo unaofanywa na wanasiasa kuwasaidia kuendelea kuteuliwa. Madhara yake ni kwamba upotoshaji utakuwa mwingi nakupunguza imani ya wananchi kwa serikali.

Utavuna ulichopanda, na naamini au natabiri hii itakuwa bajeti yako ya mwisho Kama Waziri wa fedha. Soon utajionea labda kama hawataona damage yako kwa macho ya Tanzania mpya
Hivi wewe kwa ujinga wako ulikuwa kwa hakika kabisa unaona na kuamini kwamba Yohanne ni Rais kabsa kabsa mangi? Lile jitu lishamba na limbukeni kiasi hicho?! Wacha Mwigulu ajitenge nalo kilomita milioni kadhaa! Phyuu!
 
Nimemsikiliza Mhe. Mwigulu Nchemba akimwagia sifa za umairi Jakaya Mrisho Kikwete, nimeshangazwa sana na kitendo hiki kwa sababu zifuatazo;
Mwiguli alikuwa anawasilisha hotuba ya bajeti ambayo kimsingi haina hoja mahususi inayolazimisha kumtaja JK, Magu Wala Mkapa. Ni Nini kimemsukuma kuweka paragraph hii kwenye hotuba yake? Anamsuta Nani?
Hata Kama JK alikuwa kiongozi, Magufulu pia alikuwa kiongozi. Unapotoa sifa za kiongozi ambazo hazishabiani na kiongozi asiyekuwepo Duniani huku huko nyuma hukuwahi kutoa sifa Kama hizo kwake nikuutangazia umma kwamba huna na ujawahi kuwa na heshima kwake Bali ulikuwa unatafuta madaraka.
Lakini pia kumtaja JK kwa kumuunganisha na Mama Samia kunaleta picha kwamba bila JK uamini Kama Rais aliyepo anaweza kuongoza nchi. Naweza nisiwe sahihi lakini mitandao yote inaandika kwamba JK ndiye anayeongoza nchi kwa Sasa, Waziri wa fedha na timu yako kitendo chakuibgiza sifa za JK nikumdhalilisha Rais kwa kuonyesha umma kwamba wanayosema wanaharakati na watu wengine ni sahihi.
Lakini pia napata mashaka na uwezo binafsi wa mtu huyu katika nafasi hii nyeti, Wizara ya fedha ni nyeti. Aina ya bajeti aliyowasilisha inahitaji elimu kubwa kwa umma iweze kuonekana kwamba ina malengo chanya na kuepusha upotoshaji wakimantiki unaoweza kufanywa na watu wasio serikalini. Kuwasilisha bajeti Kama hii huku ukiweka sifa za JK kumeligawa Taifa na chama pia. Watu wengi wameondoka kuijadili bajeti wamejadili udhalimu na unafiki wakimfumo unaofanywa na wanasiasa kuwasaidia kuendelea kuteuliwa. Madhara yake ni kwamba upotoshaji utakuwa mwingi nakupunguza imani ya wananchi kwa serikali.

Utavuna ulichopanda, na naamini au natabiri hii itakuwa bajeti yako ya mwisho Kama Waziri wa fedha. Soon utajionea labda kama hawataona damage yako kwa macho ya Tanzania mpya
Hili ndilo tatizo la kuwapa wajinga madaraka. Huyu hana akili ila ana elimu

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
sasa Kamugisha kilichokuuma ni kipi hasa maana umedakia kwa JK au kumtakia mabaya Mwigulu kuwa maka huu Mama Samia hatamuacha nakuapia ndoto zako za Kisukuma Gang mkafie mbele huko
Magufuli kwa taarifa yako alimtumbua Mwigulu kwa ajili ya Maaskofu wa KKKT walipomrekebisha Magufuli ndio maana akasema Magufuli hata km hajaona rafu mpirani akiambiwa kitu asikokijua anatoa Red kadi, kweli Magufuli hakuwa Refarii mzuri kabisa
Kikwete mwache atutawale tena kupitia Mama Suluhu kwani hakuwa na Red kadi ila za njano tu
Miaka hii mi5 mtaumia sana na Mwigulu tunamuombea amalize na achkue mitano mingine BAJETI NZURI sana
 
Mwigulu Mchemba yuko on point. Ukweli lazima usemwe na ni mchungu
 
Jk kuwa mshauri mkuu wa Raisat Samia sioni kama ni shida.
Hata Mkapa alisemwa kuwa mshauri mkuu wa JPM. So, kushauriwa sio vibaya as long as ushauri unaotolewa ni kama kufuta asilimia 6 ya ongezeko la mkopo, kushusha kutoka elfu 30 hadi elfu 10 faini bodaboda, watumishi kuchajiwa asilimia 8 badala ya asilimia 9 ya paye, madiwani kuwalipa posho kila mwezi (yaani huu ni mshahara kabla walikuwa wanapewa posho), weo na maafisa tarafa kupewa laki 1 kila mwezi n.k
 
Marais wastaafu wanatunzwa kwa gharama za serikali lengo ni pamoja na kutoa ushauri kuna masuala wanajua vizuri sababu yalianza wakati wao. Hata majenerali wa jeshi vivyo hivyo sasa kuna ubaya gani? Mzee mwinyi umri umeenda sana.
 
Hongera mleta uzi kwa kuhimili kusikiliza hilo bunge kibogoyo, mimi hata kusikiliza huo uchafu kwa sasa siwezi kabisa.
 
Mkono mtupu aulambwi.
Tulimwambia mwendazake hao wanakuabudu na kukusifia kwa sababu unawapa pesa wanufaika nae
 
Nimemsikiliza Mhe. Mwigulu Nchemba akimwagia sifa za umairi Jakaya Mrisho Kikwete, nimeshangazwa sana na kitendo hiki kwa sababu zifuatazo;
Mwiguli alikuwa anawasilisha hotuba ya bajeti ambayo kimsingi haina hoja mahususi inayolazimisha kumtaja JK, Magu Wala Mkapa. Ni Nini kimemsukuma kuweka paragraph hii kwenye hotuba yake? Anamsuta Nani?
Hata Kama JK alikuwa kiongozi, Magufulu pia alikuwa kiongozi. Unapotoa sifa za kiongozi ambazo hazishabiani na kiongozi asiyekuwepo Duniani huku huko nyuma hukuwahi kutoa sifa Kama hizo kwake nikuutangazia umma kwamba huna na ujawahi kuwa na heshima kwake Bali ulikuwa unatafuta madaraka.
Lakini pia kumtaja JK kwa kumuunganisha na Mama Samia kunaleta picha kwamba bila JK uamini Kama Rais aliyepo anaweza kuongoza nchi. Naweza nisiwe sahihi lakini mitandao yote inaandika kwamba JK ndiye anayeongoza nchi kwa Sasa, Waziri wa fedha na timu yako kitendo chakuibgiza sifa za JK nikumdhalilisha Rais kwa kuonyesha umma kwamba wanayosema wanaharakati na watu wengine ni sahihi.
Lakini pia napata mashaka na uwezo binafsi wa mtu huyu katika nafasi hii nyeti, Wizara ya fedha ni nyeti. Aina ya bajeti aliyowasilisha inahitaji elimu kubwa kwa umma iweze kuonekana kwamba ina malengo chanya na kuepusha upotoshaji wakimantiki unaoweza kufanywa na watu wasio serikalini. Kuwasilisha bajeti Kama hii huku ukiweka sifa za JK kumeligawa Taifa na chama pia. Watu wengi wameondoka kuijadili bajeti wamejadili udhalimu na unafiki wakimfumo unaofanywa na wanasiasa kuwasaidia kuendelea kuteuliwa. Madhara yake ni kwamba upotoshaji utakuwa mwingi nakupunguza imani ya wananchi kwa serikali.

Utavuna ulichopanda, na naamini au natabiri hii itakuwa bajeti yako ya mwisho Kama Waziri wa fedha. Soon utajionea labda kama hawataona damage yako kwa macho ya Tanzania mpya
Ukilichukulia Jambo lolote lililo tokea mtizamo Chanya huwezi kuhangaika lakini yaliyotokea au kusemwa ukayaona Hasi utapata tabu Sana huwezi kugeuza kilicho tokea au kusemwa la sivyo utamshambulia aliye tenda bila kubadili matokeo haisaidii
 
1. Wanaochangia hawakusikiliza alichosema
2. Wanachangia upotoshaji wa mleta Uzi
3. Mleta uzi kasimama upande aliopenda yeye
4. Mwigulu alikuwa straight kwénye kumsifia Kikwete, alikuwa akijenga hoja ya ubora wa mama. Akaonesha umahiri wa Kikwete kwwnye uongozi awamu ya nne, akaonesha umahiri wa magufuli, akamaliza kuwa mama kafanya nao kazi hao wote akiwafananisha na marefa wa uwanjani, akasema Kikwete alikuwa aina ya refa ambae angekuonya kwa kadi ya njano hata mara 4 bila kutoa nyekundu, lakin magu alikuwa mzee wa kusimamisha hasa kazi, ukikosea utapigwa kadi nyekundu on spot

Mwisho, Akajenga hoja, kuwa mama kapikika katika leadership style zote mbili kwakuwa kule kwa Kikwete alikuwa waziri na huku kwa Magu alikuwa Makamu. Hivi iwa uzoefu huo tumuamini, tumuunge mkono kwakuwa mama yeye sasa anazo kadi zote mbili nyekundu na njano mfukoni na anazitumia vizuri.

Kwa ufupi mama ana mixture ya Magufuli (ukali) na Kikwete (upole) watu wasichukulie poa kodi ikusanywe.

Sasa hapo ubaya wake upo wapi ? Mleta uzi analeta kipande alichopenda yeye na wachangiaji wanachangia wasichojua wala kukisikia
 
Back
Top Bottom