Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

Kwa Lameck haijakaa sawa, ila hongera madame President kwa kufuata katiba
 
Mwigulu nchemba ee njoo huku ujibu tuhuma ,member wenzio tunakudic huku kama vipi change mwamba tutakuchomesha mahindi bure uanze laumu na kulia lia humu shauri zako!
 
Tumwache afanye kazi kwanza tusimhukumu kwa ambayo hata hajatenda
 
Wanasema mchawi muachie mtoto amlee...trust me mwigulu atayaibua magenge yote ya wapigaji ili amkonge moyo mama...kumbuka hulka yake ya kupenda sifa...huyu mama hamjui...anacheza karata zake vzr sana
 
Mke wake ester naye anafanya biashara ya usafirishaji wa abiria dar kwenda kule arusha.ester safari coach. Alipe kodi
 

Kisemwacho kwenye jukwaa la siasa sio cha kulalia mlango wazi. Kuna watu wamewahi kuwekwa na CDM kwenye “list of shame”, lakini waliishia kuwa wapeperusha bendera wa CDM miaka kadhaa baadaye!
 
Economist kama Mpango, seems hujui hilo.
Asante kwa kunijuza, basi mamlala yake ya uteuzi ilikua inamuharibia taaluma yake maana alipelekwa kwenye wizara ambazo hazihusiani na taaluma yake
 
Mama kwa Mwigulu amechemka tena vibaya mnooo
Kawekwa pale kimkakati zaidi, ili iwe rahisi kwa ccm kuchota hela wakati wa uchaguzi,.hii kazi anaijua vizuri alishaifanya kipindi cha hiko akiwa naibu waziri wa hiyo wizara, rejea andiko la mkapa, wizi wa EPA.
 
Kawekwa pale kimkakati zaidi, ili iwe rahisi kwa ccm kuchota hela wakati wa uchaguzi,.hii kazi anaijua vizuri alishaifanya kipindi cha hiko akiwa naibu waziri wa hiyo wizara, rejea andiko la mkapa, wizi wa EPA.
Nimeelewa
 
Humjui mwigulu wewe
Vumilia aharibu apigwe chini,usuuzike nafsi yako.
Kwanza mnasemaga CCM na serikali yake yote ni mbaya,hata akitoka Mwigulu akaja mwingine bado mtamuona mbaya.
Usisahau hii ni serikali iliyompiga za uso Chadema kwa kura nyingi za halali uchaguzi wa 2020!!,,si ndio bwashee[emoji23][emoji23]
 
 
CCM mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…