Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,823
- 3,831
Kwa Lameck haijakaa sawa, ila hongera madame President kwa kufuata katiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizara ya fedha ni nyeti inahitaji mtu mwenye taaluma hiyo, Mwigulu hana taaluma hiyo
Hana busara kwa majizi na mafisadi na kwa hilo nampongezaUnamjua Mwigulu mkuu? Huyu mtu hana busara wala ubinadamu hata kidogo!
Asante kwa kunijuza, basi mamlala yake ya uteuzi ilikua inamuharibia taaluma yake maana alipelekwa kwenye wizara ambazo hazihusiani na taaluma yakeEconomist kama Mpango, seems hujui hilo.
Ongeza sautiHapa kwa Lameck kweli amekosea. Alafu kuna tetesi alifeli darasa la saba...
Kawekwa pale kimkakati zaidi, ili iwe rahisi kwa ccm kuchota hela wakati wa uchaguzi,.hii kazi anaijua vizuri alishaifanya kipindi cha hiko akiwa naibu waziri wa hiyo wizara, rejea andiko la mkapa, wizi wa EPA.Mama kwa Mwigulu amechemka tena vibaya mnooo
NimeelewaKawekwa pale kimkakati zaidi, ili iwe rahisi kwa ccm kuchota hela wakati wa uchaguzi,.hii kazi anaijua vizuri alishaifanya kipindi cha hiko akiwa naibu waziri wa hiyo wizara, rejea andiko la mkapa, wizi wa EPA.
Vumilia aharibu apigwe chini,usuuzike nafsi yako.Humjui mwigulu wewe
Duh?? Kweli wewe bendera fuata upepo. Hebu tafuta CV ya mwigulu uone kama hana taaluma hiyo.Wizara ya fedha ni nyeti inahitaji mtu mwenye taaluma hiyo, Mwigulu hana taaluma hiyo
Vumilia aharibu apigwe chini,usuuzike nafsi yako.
Kwanza mnasemaga CCM na serikali yake yote ni mbaya,hata akitoka Mwigulu akaja mwingine bado mtamuona mbaya.
Usisahau hii ni serikali iliyompiga za uso Chadema kwa kura nyingi za halali uchaguzi wa 2020!!,,si ndio bwashee[emoji23][emoji23]
CCM mbele kwa mbeleWakuu naomba kutangaza kwamba ninayo maslahi kwenye suala hili maana mimi ni mfanyabiashara wa ndani na nje ya nchi , ni mlipa kodi
Kwa takribani miaka sita sasa Sisi wafanyabiashara wa nchi hii tunahenya , makadirio ya kodi kubwa , vitendea kazi tunavyoagiza kutoka nje ya nchi zikiwemo matirio za kutengenzea bidhaa kodi tunayotwangwa kwenye bandari ya Dar es Salaam haina urafiki wowote ule , kwa ujumla Wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo ambao ndio walipa kodi wa kutegemewa kwenye nchi hii Wamegeuzwa kuwa maadui , hakuna asiyeelewa hiki ninachoandika hapa , hela zetu zimeng'olewa kwenye akaunti za benki bila hata maelezo yoyote .
Kwa mtu katiri na mwenye mihemko na visasi kama Mwigulu kupewa Wizara hii ni pigo kubwa kwa wafanyabiashara , wenye viwanda , wazalishaji na wasambazaji wa bidhaa nchini , kuna hatari ya vyuma kukaza zaidi .
Wizara hii muhimu ilihitaji Waziri msikivu asiyejikweza kwa kiburi cha madaraka , inahitaji waziri atakayekaa na wafanyabiashara na anayeamini katika majadiliano , ingekuwa vema Waziri wa fedha atokane na Walipa kodi wanaofahamu ugumu na umuhimu wa kulipa kodi , huyu Mwigulu hajui lolote kuhusu mambo haya , ataleta shida zaidi .
Itaendelea ........
Hapo ndo Mwigulu anaenda kuweka sawa.
Wimbo wa mafisadi umekufa kifo cha mende.Wenye wivu kesheni mkiomba hata wakitolewa utateuliwa wewe au mmeo?
Mafisadi mtanyooka tu.
Dah....,[emoji2960]Wizara ya fedha ni nyeti inahitaji mtu mwenye taaluma hiyo, Mwigulu hana taaluma hiyo