Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

Haya... Siyo Lumumba bali ni toka IKULU kwa mujibu wa Lema na kesi yake ya kuvuliwa ubunge!.

kaka lema siypo mtu wa kumtumia ktk reference zako labda kama humjui vizuri anashida zake nyingi siyo vizuri kusema mambo ya watu hum jf.
 
Aliyeiweka video ni yule ambaye Anataka kupotosha ushahidi wa kuteswa kwa kibanda kw kila hali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sipingani na wewe mkuu!.. Mimi nafuata maagizo ya kiongozi mmoja wa dini _ ILUNGA kuwa UGAIDI una DINI

kaka iko sawa ila ilunga anamatatizo sana kawahi kugombanisha watu kwa mambo ya uongo kabisa
 
kaka lema siypo mtu wa kumtumia ktk reference zako labda kama humjui vizuri anashida zake nyingi siyo vizuri kusema mambo ya watu hum jf.

Sawa mkuu, je, kukamatwa kwa MBOWE na kusafirishwa kwa ndege toka Dar hadi KILIMANJARO nani aliagiza?... Ishu iliyopo pia ni utata wa kesi zinazoshupaliwa!
 
Hauna ushahidi na unayosema
Ila vedeo ya Lwakatare ni ushahidi tosha kua kuna mikakati endelevu ya kuhujumu maisha ya watanzania kwa manufaa ya kisiasa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mimi pia naamini kuwa Mwigulu anaweza akawa chanzo kizuri cha kupata ukweli wa matukio ya utekaji na utesaji wa watu mbali mbali hapa nchini,kwa sababu hata maneno na matendo yake yanaonyesha dalili zote za kuhusika.
 
Ndugu, si vibaya ukajenga tabia ya kupitia baadhi ya vitabu vya sheria ili kupata uelewa angalau kidogo, najua ukifanya hivyo hutathubutu kuweka mada kama hii ambayo tayari ipo mahakamani kwa hatua mbalimbali, naomba nikukumbushe kuwa sheria za nchi yetu hazituruhusu kujadili jambo lolote ambalo tayari lipo mahakamani, lakini pia sheria hizo hizo zinaturuhusu kama tuna ushahidi wowote tuhupeleke ili sheria iwze kuchukua mkondo wake.
 


duhh sasa ndo nimeanza kupata Picha.... Yani Mwigulu huyu nimjuae mimi amewezaje kupenya kwa wanaccm wote mashuhuri na wenye siasa za mvuto mpaka kufika Kileleni?? maanake experience yake kubwa kwenye uongozi ilikuwa kuchunga ng'ombe ... kwahiyo haya ni marupurupu anayolipwa kwa kutoa roho za watu??? amini asiamini sisiemu hao walionilea mpaka hapa nilipo nikatambua mema na mabaya.. watamtema keshokutwa na issue zote atatakiwa azishughulikie kama yeye na sio chama... akae karibu na Nape ampe ushauri sio kumkandia.... sooon Mzee chief( Mwigulu)
 
Mbona polisi wanasema video hiyo wameipata kwenye mitandao ya kijamii na sio toka kwa Mwigulu?
 
Hizi kesi za kizushi zinatengenezwa na CCM wakishirikiana na Polisi,UWT(TISS) na Mahakama ili kuichafua CHADEMA.These are framed cases to tarnish CHADEMA image. We know it!!!

Watanzania hatujawa wajinga kiasi hicho. Naona CCM na Serikali yake wanapoteza muda wao bure.Kila Mtanzania anajua kuwa CCM NI WATAALAMU WA SIASA ZA MAJI TAKA! Wao wenyewe tu ndani ya Chama na Serikali yao kila kukicha ni KUCHAFUANA ili fulani asipate Urais,Uwaziri,Ubunge,Umwenyekiti mpaka Ubalozi wa Nyumba 10!!!!!!

Kwa hiyo basi kwa style hiyo hiyo wameanza kuichafua CHADEMA ili kufikia mwaka 2015 iwe imekufa au kupoteza umaarufu halafu wao CCM washinde kiulaini!!!

Mimi nasema hata kama watapaka matope na maji taka, tumeshawajua. Wao tayari walishajichafua na wanaendelea kujichafua tena na tena kwa vitendo hivi wanavyowafanyia Watanzania eti tu kwasababu wao wako Upinzani.CCM ni wachafu kupindukia,wananuka mikojo na mavi! Hatuwataki ng'o!!!!
 
Kimsingi Mwigulu anahusika moja kwa moja, ila kwa sababu jeshi la polisi limekuwa la kwao peke yao huyo hatachukuliwa hatua hata moja.Halafu kitu kingine kinachonishangaza ni kwamba eti kesi ni ya ugaidi, kweli gaidi atafanyia mipango yake jikoni kwake kama anavyodai Nchemba? sebuleni alikuwa anaogopa nini? Mimi ninachoamini ni kwamba kwa sababu watu wengi wa CCM akiwemo na nchemba walisema kuwa CHADEMA haitafika 2014 wanataka kutumia mbinu hizi ili kukifuta, wamemfungulia mashtaka ya ugaidi Rwakatale ili mwisho wa siku waihusishe CHADEMA na ugaidi halafu wapate upenyo wa kumwambia msajili akifute, hii mbinu tumeijua na haitawezekana kamwe.CCM ijiandae tu kwa ushindani wa hali ya juu sana mwaka 2015, isiogope cause kwenye vyama vingi haya mambo hayakwepeki.
 
inawezekana kazi anayofanya Mwigulu Nchemba anaifanya kwa nafasi yake kama naibu katibu mkuu wa CCM-Bara,kwahiyo ni maelekezo na utekelezaji maamuzi ya vikao vya chama chake,na labda pia ana Baraka za uongozi wa juu wa chama chake CCM-Taifa,kama hivi ndivyo watanzania hii ni fursa ya kujua anaina ya watu na chama tuliowapa dhamana ya uongozi wa taifa hili na pia inatusaidia kufanya maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
 
Magamba watarukaruka mwisho watajikwaa tu, kuwaaminisha watanzania cdm ni majambazi hakuwaondolei watanzania umaskini ambao ndio suala la msingi. Mabadiliko ni lazima whether kwa cdm au mtu mwingine lakini it inevitable
 

inawezekana kazi anayofanya Mwigulu Nchemba anaifanya kwa nafasi yake kama naibu katibu mkuu wa CCM-Bara,kwahiyo ni maelekezo na utekelezaji maamuzi ya vikao vya chama chake,na labda pia ana Baraka za uongozi wa juu wa chama chake CCM-Taifa,kama hivi ndivyo watanzania hii ni fursa ya kujua anaina ya watu na chama tuliowapa dhamana ya uongozi wa taifa hili na pia inatusaidia kufanya maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…