Huu ni ukweli mchungu hao wapuuzi wanaopenda kujiita wasomi ni waoga wa maisha hujawahi kuwaza wako tayari kutukuza wanaume wenzao ili wateuliwe jinga haoNilichogundua watz wengi wana ugonjwa wakutojiamini hususan wasomi walioko kwenye kitengo.mtanzania alieishia std 7 anajiamini sna kuliko yule aliyegrduate.fanya tafiti.kuna haja kurekebisha elimu yev
Tume huru ni mwiba.Hivi tume huru itaharibu nini kwenye taifa letu kuelekea uchaguzi mkuu?
@Mwigulu Nchemba utaacha lini kuiaibisha PhD?
Unasema Kuna tume huru ya uchaguzi kweli!!
Fikiria mbuzi aliowauza mzee wako ili usome matokeo yake ndio haya!!
Hawezi kutulia maana anajipendekeza ili ateuliwe awamu ijayo.Mwigulu ulishapata uteuzi tulia sasa acha kuhangaika...
Taja kifungu chochote kwenye Ibara ya 74 ya Katiba ya JMT (1977) chenye kuinyima tume uhuru wa kutekeleza majukumu yake badala ya kuendekeza malalamiko na lawama.Kumbe kudai tume huru ni kuvunja amani ya inchi yetu.
Anajiita mchumi first class..Hiyo PhD ya Mwigulu ni Fake 100 perce! Jiulize kasoma lini na Chuo gani kama hajanunua au kuhongwa?
Hii nchi Ina majuha wengi sana!!!
Membe leo ndio anajua kuwa tume sio huru?Yaani muangalizi huyo huyo,mgombea huyo huyo,muhesabu kura huyo huyo na mpanga matokeo huyo huyo
Kwani umeingia mjini lini?!!! Tuanzie hapo kwanza kwani nashangaa hata hujui kuwa kudai tume huru ya uchaguzi, imeanza kudaiwa miaka mingapi nyuma!! Zikiitwa nchii zinazofanya uchaguzi Tz, utaitaja?Ni aibu kwa machadema wakishirikiana na Membe kudai tume huru kipindi hiki,!
Mlipokuwa mnashupalia ishu za kijinga badala ya kujikita kudai tume huru mlifikiri muda unarudi nyuma? Tulieni mje mpigwe tu madole hapo oktoba
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Muda utawadia Akishindwa kwenye Kira za maoni atakuja hapa kulalamikia taratobu za uchaguziHata Membe sidhani kama kuna siku aliwaza kuwa atakuja kulilia Tume Huru, hivyo na wewe ni bora ukaweka akiba ya maneno.
Yule mwingine kamfananisha na Yesu Kristi,Sijui ameshafutiwa kesiYule mwingine alipendekeza watu wauwawe akapewa U-DC juzi na huyu nae anatafuta uwaziri tena baada ya uchaguzi mkuu.