Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Nilichogundua watz wengi wana ugonjwa wakutojiamini hususan wasomi walioko kwenye kitengo.mtanzania alieishia std 7 anajiamini sna kuliko yule aliyegrduate.fanya tafiti.kuna haja kurekebisha elimu yev
Huu ni ukweli mchungu hao wapuuzi wanaopenda kujiita wasomi ni waoga wa maisha hujawahi kuwaza wako tayari kutukuza wanaume wenzao ili wateuliwe jinga hao
 
Ccm moto unataka kuwaka, sipati picha wapambe waanze kutwangana kwa vijembe hivi.Mtanzania yeyote anayelipenda taifa letu kwa dhati hawezi sema nchi yetu INA tume Huru ya uchaguzi kamwe. Mwigulu unasema kufurahisha boss wako hauna jipya.kwani membe kutangaza nia nia Ni kosa?
 
@Mwigulu Nchemba utaacha lini kuiaibisha PhD?
Unasema Kuna tume huru ya uchaguzi kweli!!
Fikiria mbuzi aliowauza mzee wako ili usome matokeo yake ndio haya!!

Hiyo PhD ya Mwigulu ni Fake 100 perce! Jiulize kasoma lini na Chuo gani kama hajanunua au kuhongwa?
Hii nchi Ina majuha wengi sana!!!
 
Kumbe kudai tume huru ni kuvunja amani ya inchi yetu.
Taja kifungu chochote kwenye Ibara ya 74 ya Katiba ya JMT (1977) chenye kuinyima tume uhuru wa kutekeleza majukumu yake badala ya kuendekeza malalamiko na lawama.
 
Hakuna umbali ama masafa ya aina yoyote yaliyopo baina ya mja na Mola wake isipokuwa nafsi. Nafsi ni yale yote unayoyaona yamebeba matamanio, ubinafsi, kujitukuza na yale matamanio yote yaliyo kwenye mfumo huo. Nafsi inachukua nafasi kubwa kuitengeneza roho.

Ni nafsi pekee ndiyo inayomfelisha binadamu kuwa mbali na Mungu wake. Imma iwe umbali mrefu au mfupi, ni nafsi pekee ndiyo inayofanya hiyo hali kwa sababu inategemea na mamlaka mtu aliyonayo juu ya nafsi yake ama mamlaka ya nafsi yake yawe juu yake. Kwa mfano unachokifanya mwenyewe unajua si sahihi! Unafanya ili kulinda unachokifahamu wewe lakini iko wapi nguvu yako ya kuweza kudhibiti hayo matamanio yako. Inakuwaje unaruhusu matamanio yako yakuendeshe ilihali uhalisiya unaufahamu.

Hii hali unayoifanya inaweka uzio baina yako na Mungu. Unayafanya matamanio yako yakuongoze wewe mwenyewe. Si meza iliyo sheheni vyakula ndiyo inayokufanya ule sana na uwe mnene kwa sana kwa kuiharibu afya yako. Si simu ama kompyuta ilyo kiganjani mwako ama mbeleni mwako ndiyo inayokufanya utizame picha/video za ngono isipokuwa ni wewe mwenyewe.

Usijiruhusu wewe mwenyewe kujiharibu mwenyewe. Usijiruhusu wewe mwenyewe kujitia kwenye utumwa wa namna hiyo. Kuruhusu nafsi ikuendeshe itakuletea madhara makubwa kwa Mungu wako. Wewe na sisi si mja wa kiumbe yeyote! Wewe na sisi ni mja wa Mwenyezi Mungu! Jinsi mja atakavyojielekeza ndivyo atakavyoishi, kama atakavyoishi ndivyo atakavyo kufa, kama atakavyokufa ndivyo atakavyo fufuliwa, kama atakavyo fufuliwa ndivyo atakavyohukumiwa.

Dunia ndiyo shamba la akhera! Nafasi tuliyo nayo ndiyo hii tuitumie kwani mauti yanakuja kwa ghafla! Tuingie kwenye chama cha kujisalimisha kwa Mungu. Kwani hakuna mbebaji atakayebeba mzigo wa mwenzake. Kila nafsi itaonja umauti. Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
 
Ni aibu kwa machadema wakishirikiana na Membe kudai tume huru kipindi hiki,!

Mlipokuwa mnashupalia ishu za kijinga badala ya kujikita kudai tume huru mlifikiri muda unarudi nyuma? Tulieni mje mpigwe tu madole hapo oktoba

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Kwani umeingia mjini lini?!!! Tuanzie hapo kwanza kwani nashangaa hata hujui kuwa kudai tume huru ya uchaguzi, imeanza kudaiwa miaka mingapi nyuma!! Zikiitwa nchii zinazofanya uchaguzi Tz, utaitaja?

Mwenyekiti wa tume badaye naye anagombea?!! Yaani heshima ya nchi iliyojengwa miaka karibu 50,imekuja haribiwa ndani ya miaka mitano!!!
 
Kuna mabomu yalirushwa viwanja vya Soweto pale Arusha kwenye kufunga kampeni ya uchaguzi mdogo wa marudio Kuna Watanzania wenzetu waliuawa hujisikii vibaya mfia tumbo?
 
Msomi anaandika hivyo ambae hakusoma je-Mliwalea wenyewe sasa unamjibia huku Ongea post YouTube wakuone
 
Well said kaka Mwigulu Mchemba!

Rais wetu ni Magufuli kuna wapuuzi wanadhani Urais unatoka Rombo, wakati Urais unatoka kwa Mungu.

Chagua MAGUFULI KAZI IENDELEE...
 
Hata Membe sidhani kama kuna siku aliwaza kuwa atakuja kulilia Tume Huru, hivyo na wewe ni bora ukaweka akiba ya maneno.
Muda utawadia Akishindwa kwenye Kira za maoni atakuja hapa kulalamikia taratobu za uchaguzi
 
Back
Top Bottom