Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki njaa ni mbaya sana!Bila kujikomba,maisha hayaendi.
Hivi Mwigulu ile phd yake alihongwa na nani ,?
Mbona anapenda sana kujipendekeza kwa mwanaume mwenzake
Ila kujipendekeza kwake kumemlipa alikuwa ameshaelekezwa kibla.Mwanaume wenu anakwambia huwa napenda sana kuangalia cloud.
Badala ya kusema clouds anasema cloud.
Ila Mwigulu unajikomba sana
Anahangaika kutetea nafasi!Mwigulu ulishapata uteuzi tulia sasa acha kuhangaika...