kukumweupe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2020
- 439
- 599
Membe sio mwanaccm alibebwa na jkHata Membe sidhani kama kuna siku aliwaza kuwa atakuja kulilia Tume Huru, hivyo na wewe ni bora ukaweka akiba ya maneno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe sio mwanaccm alibebwa na jkHata Membe sidhani kama kuna siku aliwaza kuwa atakuja kulilia Tume Huru, hivyo na wewe ni bora ukaweka akiba ya maneno.
Inasikitisha sanaKesho hao anawaita mijitu wakishika madaraka,utaona tena anajikomba na kuwalamba miguu...
NDUMILAKUWILI.
Yaani ni kama ukimwaga mafuta ya taa kwenye shimo la nyoka watachomoka tu.
Wapi amesema anapigania tumbo lake soma vizuriSiyo kosa lako, na wewe unapigania ulaji tu kama wanasiasa wenzio wa chama tawala na upinzani. Hatuwashangai.
Aende kuomba nini ,hujielewi kabisa weweInazidi kuthibitisha kauli ya Membe kuwa bila yeye uchaguzi hautanoga. Na hapo bado hajafika Dodoma kuomba fomu.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Endelea kusindikiza mrembo na ujinga huuNa wewe hebu usituchoshe... tunajua kwanini unasifu na kuimba kwa mapambio
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tuNi aibu kwa machadema wakishirikiana na Membe kudai tume huru kipindi hiki,!
Mlipokuwa mnashupalia ishu za kijinga badala ya kujikita kudai tume huru mlifikiri muda unarudi nyuma? Tulieni mje mpigwe tu madole hapo oktoba
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Yani nyie ni vitasa kweli,! Mnadai tume huru leo? Miezi 3 kabla?Hata mzee mkapa wakati akizindua kitabu chake alisisitiza na kuomba Sana, tume ya uchaguzi iwe huru ili Haki ipatikane na upendeleo usiwepo,..
Kama Magufuli anakubalika Sana amefanya maaajabu katika uchumi, kwanini ahofie tume huru?
Mkuu unadhani hapa wanaokomolewa ni CHADEMA?Ni aibu kwa machadema wakishirikiana na Membe kudai tume huru kipindi hiki,!
Mlipokuwa mnashupalia ishu za kijinga badala ya kujikita kudai tume huru mlifikiri muda unarudi nyuma? Tulieni mje mpigwe tu madole hapo oktoba
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Clouds = TibandebageMwanaume wenu anakwambia huwa napenda sana kuangalia cloud.
Badala ya kusema clouds anasema cloud.
Ila Mwigulu unajikomba sana
Tukipumua atakula wapi?Mh. toka umeufahamu udhaifu wa Baba yetu basi atupumui. Ni mwendo wa back to back.
Huyu aliyekamatwa hadi analialia