Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Mkuu, kwani kosa liko wapi kuhusu kuwepo kwa tume huru.?

Maisha ya zamani ya kutokuwa na tume huru haimaanishi tuende hivyo hivyo mpaka kizazi chetu kipotee utakuwa ni upunguani na ujuha.

Hivyo kama tuna fanya mabadiliko kwa ajili ya maendeleo yetu acha tufanye na tusitishane na kuona watakao mabadiliko chanya kwa nchi yetu na watu wake si wazalendo na wanaivuruga nchi. Muda mwingine wasiotaka mabadiliko ndo huivuruga amani ya nchi.

NB. Kuzoea kufanya uchaguzi bila tume huru kwa miaka mingi siyo kigezo cha kuendelea kufanya hivyo.
 
Hata mzee mkapa wakati akizindua kitabu chake alisisitiza na kuomba Sana, tume ya uchaguzi iwe huru ili Haki ipatikane na upendeleo usiwepo,..
Kama Magufuli anakubalika Sana amefanya maaajabu katika uchumi, kwanini ahofie tume huru?
 
Ni aibu kwa machadema wakishirikiana na Membe kudai tume huru kipindi hiki,!

Mlipokuwa mnashupalia ishu za kijinga badala ya kujikita kudai tume huru mlifikiri muda unarudi nyuma? Tulieni mje mpigwe tu madole hapo oktoba

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu
 
aiseeeee safari ni ndefu na ukicheki anayesifu yoyote anafocus anachotaka yeye
 
Hata mzee mkapa wakati akizindua kitabu chake alisisitiza na kuomba Sana, tume ya uchaguzi iwe huru ili Haki ipatikane na upendeleo usiwepo,..
Kama Magufuli anakubalika Sana amefanya maaajabu katika uchumi, kwanini ahofie tume huru?
Yani nyie ni vitasa kweli,! Mnadai tume huru leo? Miezi 3 kabla?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mheshimiwa mwigulu Kama watanzania wote tumeona Magufuli ndiye Yesu wa Tanzania na bila yeye hakuna Tanzania,October tunafanya uchaguzi wa Nini?
 
Ni aibu kwa machadema wakishirikiana na Membe kudai tume huru kipindi hiki,!

Mlipokuwa mnashupalia ishu za kijinga badala ya kujikita kudai tume huru mlifikiri muda unarudi nyuma? Tulieni mje mpigwe tu madole hapo oktoba

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mkuu unadhani hapa wanaokomolewa ni CHADEMA?
Tukiharibu kwenye uchaguzi na kupata Viongozi wabovu maumivu hayatakuwa ya CHADEMA,yatakuwa kwa wananchi wote...

Tujikumbushe kwa uchache tu...
Maamuzi mabovu yaliyofanywa kwenye zao la korosho,wanamtwara na Lindi watwambie,waliokuwa CCM waliuza kwa bei kubwa zaidi ya wale wa CUF,ACT NA CHADEMA?

Watumishi wa umma waliochagua CCM wameongezewa mishahara yao kwa miaka 5 ukilinganisha na wale waliochagua UKAWA?

Mawazo Kama ya kwako,(kudhani kwamba kudai haki ni kazi ya kundi fulani),ni hafifu sana, kwani madhara ya kutokuwepo kwa haki hiyo hata wewe yatakupata
 
Mwanaume wenu anakwambia huwa napenda sana kuangalia cloud.

Badala ya kusema clouds anasema cloud.

Ila Mwigulu unajikomba sana
Clouds = Tibandebage
Cloud = Tiba
Na usije uka dhani Clouds ni mawingu! La hasha ni jina sasa kama TAZARA, CHADEMA, Tandika kuna kituo cha daladala kinaitwa FOMA - kwasababu kuna transformer ya Tanesco etc.

Haina madhara yoyote na personal attacks zinakufurahisha na kukuliwaza wewe lakini hazina faida kwa umma wa watanzania. Pia hazimnyimi mtu usingizi especially someone who has attained and hold the highest post in the country.

Nikikaa na wewe nina uhakika nitakukosoa kiingereza sana. Maana kama umefikia kumaind small things, kichwani unapwaya!
 
Mh. toka umeufahamu udhaifu wa Baba yetu basi atupumui. Ni mwendo wa back to back.
 
Hahahaha kumbe ukiweka referee fair Ni kuchafua amani ya nchi? Kwa kuwa wale wasio waroho wa madaraka hawataweza kuachia madaraka au watanzania watawapa kura waroho wa madaraka? Je kwenye hao vijana wanaolinda madaraka yenu na Mimi nimo?
 
Back
Top Bottom