Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Kama tunakusanya pesa zote hizi ndani ya wiki 4 basi inabidi Supika aongeze tozo ya kupumua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tayari wamekusanya mabilioni tangu tozo ianzeHamna alichokisema zaidi ya kutetea, na kudai kwamba bado wanaendelea kulifanyia kazi watatoa tamko siku sijazo. Mwelekeo inaonyesha kwamba serikali haiko tayari kupunguza wanaongea na kampuni za simu wapunguze taarif zao.
Muongo kuzidi mama wa kuupiga mwingi?Hivi na yeye kipindi hiki angeambiwa akatwe tozo kama hizi za sasa hivi, angekubali kweli?
View attachment 1899463
MAONI YANGU:
Andika barua ya kujiuzulu, hufai kuwa Waziri Wa Fedha kwasababu ni muongo kweli kweli.
Hutokaa uone Kama ambavyo hujui pesa za Muungano zimeenda wapi mpaka Sasa, mtu aliependa kuona matokeo ya anachokisema wameshamuua wajipigie vizuri.Juzi tu hapa nimeona wananchi Muleba wanajenga kituo cha Afya kwa pesa zao. Ingependeza Waziri akatuonesha vituo vya Afya anavoongelea
Acha tuu Ndugu yangu natamani kuhamia kwa UhuruWangejua biashara ya uwakala ilovyotetereka hata wasingejinasibu kiasi ivo
Hadi wewe hautegemei wabunge? Si wabunge wetu hawa wa kijani.... 😂😂😂Sisi tunamtegemea Mungu anayetupigania siyo wabunge!
Uko sahihi kabisa jamaa alijenga kila kitu Chato kuanzia sgr, ndege, vivuko, meli, madaraja, mashule, mahospital, viwanja vya ndege yaani kila kitu hata makao makuu ya nchi alihamishia Chato.Watanzania ni wavivu wa kuyatafakari mambo kwa kina ... Wengi ni wafuata mkumbo..
Naona kuna hata MATAGA yanapiga kelele.. Ila yalikuwa yakimshangilia Magufuli alivyoigeuza nchi yote ka pocket money yake...
Miradi yote kaanzisha yeye...pesa zote alikomba yeye...
Watu tuliishi ka madigidigi na bado alikuwa akitutukana...na kufilisi watu na kuwafungia biashara zao.
Wapumbavu na wavivu wa kufikiri wanafikiri Rais Samia kuna pesa yeyote kaikuta..
Tutafakafi mambo kwa kina na sii kusubiri kutafakariwa.
Hii miradi Mama ana uwezo wa kuisusa. Anaongozwa na Busara
Wapumbaavu wana CCM ambao mnajitoa akili makusudi kabisa dawa yenu inachemka.
Mama songa Mbele..
Una maadui wengi.
Kwani huyo mama yako aligombea urais au amepata nafasi kiKatiba yaani kufa kufaana?Waambie MATAGA wanafikiri hiyo ni miradi ya Mama.
Hutokaa uone katika uongozi wa porojo usiojali matokeoSawa, tupate na mrejesho wa hizo zahanati zikimalizwa
Tuko zama za porojo na sio matokeoWaziri angesema milioni moja imeenda kituo namba...cha Afya siyo kutuletea mambo ya jumlajumla wakati walisema zinaenda kujenga barabara vijijini na juzi wamekopa kwa kigezo hichohicho cha barabara vijijini
Bado unahangaika kuonesha JF kwamba Samia ni bora! Naona kama ziko tenge wewe! Una hakika Samia alikuta hakuna pesa? Nini kimekuonesha upuuzi huo? Zilizoibiwa BoT akaunda tume kisha sema matokeo? Walizogawana wizara ya fedha wakasimamishwa, umesikia lolote tena? We are dealing with hopeless people who, unfortunately, are getting support from hopelessly cultured people.Watanzania ni wavivu wa kuyatafakari mambo kwa kina ... Wengi ni wafuata mkumbo..
Naona kuna hata MATAGA yanapiga kelele.. Ila yalikuwa yakimshangilia Magufuli alivyoigeuza nchi yote ka pocket money yake....
Mnavyomganda Mama ni kama vile amekaa miaka Nane... Kumbe maskini ya Mungu she is hardly 6 months in the office..Uko sahihi kabisa jamaa alijenga kila kitu Chato kuanzia sgr, ndege, vivuko, meli, madaraja, mashule, mahospital, viwanja vya ndege yaani kila kitu hata makao makuu ya nchi alihamishia Chato...
Kwani wewe ni mnyonge?Kwamba ni sifa kukusanya hizo billion 48 kutoka kwa wanyonge au mimi ndiyo sijaelewa?