Mwigulu Nchemba: Wafanyabiashara msiogope kuweka fedha benki hazitachukuliwa

Mwigulu Nchemba: Wafanyabiashara msiogope kuweka fedha benki hazitachukuliwa

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba.

Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa.

Mhesh Mwigulu ameteuliwa hivi karibuni na Mhesh Rais Samia kuongoza Wizara ya Fedha akitokea Wizara ya Sheria na Katiba.

Hapa kazi tu & Zege halilali

MCL
Za kuambiwa changanya zako..

Usimuamini mwana siasa hata siku moja..
 
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba.

Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa.

Mhesh Mwigulu ameteuliwa hivi karibuni na Mhesh Rais Samia kuongoza Wizara ya Fedha akitokea Wizara ya Sheria na Katiba.

Hapa kazi tu & Zege halilali

MCL
Mchukua pesa za watu amelala mbele
 
'… Please transfer the availabe balance of Account no..... to consolidated Account no. Maintained at the Bank of Taiwan (BOT) …'

Wangeanza kwa kuwarudishia chao waliofanyiwa hivyo

Mungu anasema hamsamehi Dhulumati hadi asamehewe na aliowadhulumu…

Tumtakie kheri Mchapakazi na Mzalendi wetu huko alipo kwa kurudisha za waliochukuliwa kinyume na haki
 
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba.

Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa.

Dkt. Mwigulu ameteuliwa hivi karibuni na Mhesh Rais Samia kuongoza Wizara ya Fedha akitokea Wizara ya Sheria na Katiba.

Hapa kazi tu & Zege halilali

MCL
Jee na pesa zinazo ingia pia?
 
Hata kwenda kuchukua pesa zako ulizoweka mwenyewe unapigwa Interview kama unaomba kazi

Sijui unachukua z kazi gani, ulizipata wapu…hawaulizi ukiweka wanauliza siku ukichukua

Matokeo yake watu wakaanza kuweka fedha zao kwa Ma Sheikh Waaminifu wa Mjini interms of foreign currency!
Wamethibitisha kuwa walikua wanachukua pesa za wanachi kwenye account zao na kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi
 
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba.

Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa.

Dkt. Mwigulu ameteuliwa hivi karibuni na Mhesh Rais Samia kuongoza Wizara ya Fedha akitokea Wizara ya Sheria na Katiba.

Hapa kazi tu & Zege halilali

MCL
Wewe uko na kiasi ngapi cha pesa nyumbani mkuu...!?

Kwa akili angu ndogo, Mimi nafikiri kawalenga wale ndugu zake na mwendazake make ndo walikua na hela kwenye utawala wake!

Ila sie nyani [emoji41][emoji205][emoji204] sidhani kama hata tuna TZS 500,000 - 1,000,000 majumbani au kwenye mabox..
 
Daadaaadeeekiiii!
Zitakaa kwenye chungu hapa mchagoni, mpaka nitakapojidhirishia upepo umebadilika kweli.

Nchi ilijihalalishia unyang'anyi wa kidola!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Rais kasema pesa zilikuwa zinachukuliwa kwa nguvu bila ridhaa ya mteja wala bank manager
Na nani Bwashee! Na kwa sababu zipi huyo mtu/taasisi achukue/ichukue hela za mtu pasipo na ridhaa yake?
 
Back
Top Bottom