Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mimi ni victim wa hii kitu, just three weeks ago, ni pesa ya kazi na ilizuiliwa kwa zaidi ya two days wakitaka mkataba na aiana ya kazi naenda kufanyaHata kwenda kuchukua pesa zako ulizoweka mwenyewe unapigwa Interview kama unaomba kazi
Sijui unachukua z kazi gani, ulizipata wapu…hawaulizi ukiweka wanauliza siku ukichukua
Matokeo yake watu wakaanza kuweka fedha zao kwa Ma Sheikh Waaminifu wa Mjini interms of foreign currency!