sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Mama Ameishasema wanaotaka katiba wasubiri kidogoJaman kama natamani katiba mpya vile
Kiroho papo nacho ni noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Ameishasema wanaotaka katiba wasubiri kidogoJaman kama natamani katiba mpya vile
Kiroho papo nacho ni noma
Za kuambiwa changanya na zako. Kitu gani kina kupa uhuru wa ma bank kwamba hazito ingiliwa ?
Kwaiyo ni bora kupeleka bank pesa ambayo huna uhakika nayo wa kesho kuwa yako tena ?Watu woote wakiamua wasipeleke pesa bank kitakachoikuta TZ ni kibaya zaidi ya kuwa na imani kuwa serikali itazikomba hizo pesa.
Ni Rais 😘Dah ila kusema kweli Magu aliumiza sana watu japo kuna mambo mazuri pia aliyofanya.
Lakini si alikuwa na PhD? Ameshindwa kujaza fomu kweli au mizengwe ya mkurugenzi wa uchaguzi tu? Vipi rufaa mkuu?Hapana mkuu,
kwa mujibu kwa mkurugenz wa uchaguzi.
Jamaa alikosea kujaza fomu[emoji28]
Ila watu walikua hawaoni,nchi iliendeshwa kwa propaganda Sana.Magu aliharibu sana hii nchi!!
Duuh... yaani Mkurugenzi mwenyewe wa CRDB alikuwa kila siku yeye ni kwenye misafara ya Rais, mpaka labda akasahau hata kujua linaloendelea na majukumu yake ya msingi kwenye Benki yake.Hv mtu unaweka pesa CRDB unatarajia nn
Labda malaika wa shetani ndo atawaongoza,lakini Malaika wa Mungu nasikia wanamsubiri ili wamkamate halafu wamtupe kwenye Ziwa la Moto.Yuko kwenye probation period ya kuongoza malaika, akichemka anatumbuliwa.
Da Mkuu hata wewe leo wa kuyasema haya?'… Please transfer the availabe balance of Account no..... to consolidated Account no. Maintained at the Bank of Taiwan (BOT) …'
Wangeanza kwa kuwarudishia chao waliofanyiwa hivyo
Mungu anasema hamsamehi Dhulumati hadi asamehewe na aliowadhulumu…
Tumtakie kheri Mchapakazi na Mzalendi wetu huko alipo kwa kurudisha za waliochukuliwa kinyume na haki
Halafu mtu kwenye kanpeni anakwambia nchi mkiwapa wapinzani mnaikabidhi kwa wanyanganyi na mabeberu.Daadaaadeeekiiii!
Zitakaa kwenye chungu hapa mchagoni, mpaka nitakapojidhirishia upepo umebadilika kweli.
Nchi ilijihalalishia unyang'anyi wa kidola!
Everyday is Saturday............................... 😎
Weeh ogopa beberu mweusi! Ni mpigajii!Halafu mtu kwenye kanpeni anakwambia nchi mkiwapa wapinzani mnaikabidhi kwa wanyanganyi na mabeberu.
Jibu ni Hapana! ila uchumi ukidondoka hizo pesa hazina maana kibiashara tena. Labda ziwe ni dola, na kama ni dola si utahitaji kuzibadili siku moja? In long run ni lazima tuaminiane serikali na wafanyabiashara unless Labda kama ni hela chache chache.Kwaiyo ni bora kupeleka bank pesa ambayo huna uhakika nayo wa kesho kuwa yako tena ?
Serikali inatakiwa ijiaminishe kwa wafanya biashara, kisheria kwa kutengua sheria kadhaa za kodi ambazo ni kandamizi. Ikiwemo hiyo ya kuwapa TRA nguvu za kufungia account kunatakiwa kuwa na procesure ya kimahakama iliyo huru tena pasipo sheria ngumuJibu ni Hapana! ila uchumi ukidondoka hizo pesa hazina maana kibiashara tena. Labda ziwe ni dola, na kama ni dola si utahitaji kuzibadili siku moja? In long run ni lazima tuaminiane serikali na wafanyabiashara unless Labda kama ni hela chache chache.
Kama utaficha pesa na serikali inadanganya na inampango mmbaya in long run huwezi toboa unless ww ni mfanya biashara mdogo au wa kati.
Kwa biashara kubwa hakuna namna zaidi ya kuonyesha kuwa kuna utayari wa kuiamini tena serikali. Ikisaliti basi watakuwa wajinga first class kuua biashara nchini.
Ts okey to trust Banks once again kwa ajili ya uchumi wetu,. Ila kama masuala yako ya kodi yapo vibaya ni sawa ukiwa na shaka na kuyasuluhisha kwanza.
Mzee alikuwa sadist aisee jinsi mkilalamika kuumia ndo anazidi kukaza sijui alikuwa ana roho gani, dah Mimi niliacha kumfatilia mda mrefu Sana, utawala wake ulikuwa na machungu mno, lisipokukuta wewe Basi ndugu yako ana msala mzito, Mara watu wavunjiwe nyumba kahDah ila kusema kweli Magu aliumiza sana watu japo kuna mambo mazuri pia aliyofanya.
Digiteta is no more! MATAGA tayari yameanza kumzodoa marehemu!huyu ni waziri bogus na mnafiki. alikuwa wapi kusema haya kwa Dikteta. anashindwa hata kulinda heshima kidogo ya Dikteta