Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
ila dotto sina iman nae kabisaHapo mtu wa kumbana ni Dotto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila dotto sina iman nae kabisaHapo mtu wa kumbana ni Dotto
Hapa Kazi tu,Zege Halilali au Zege Halilali,Hapa Kazi tu.Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa.
Dkt. Mwigulu ameteuliwa hivi karibuni na Mhesh Rais Samia kuongoza Wizara ya Fedha akitokea Wizara ya Sheria na Katiba.
Hapa kazi tu & Zege halilali
MCL
Hafai kabisa maana mtoto wa nyoka ni nyokaila dotto sina iman nae kabisa
Kwa kuanzia ni kuzishitaki bank husika kwa kutoa fedha zako bila idhini ya mteja baada ya hapo bank na TRA watajuana.
Mwigulu tuambie kwanini wakati zinachukuliwa mlikaa kimya na hamkuthubutu kumshauri aache hii tabia?
Mwee! Wewe si ulikuwa mstari wa mbele wa kwaya ya kusifu na kuabudu ya mtakatifu jiwe? By the way komredi jamaa yenu amepaga uongozi wa malaika au kura hazijatosha? Nasikia uchaguzi ulikuwa Jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili tamko waandikiwe kabisa mabenki waandikiwe kabisa TRA wamedsababisha shida kwa wafanyabiashara mfano unadaiwa kodi umepewa order ya mzigo mteja anaweka pesa kwenye Akaunti ili umtumie mzigo au umnunulie TRA wabazibeba !!!
St Jude secondary Arusha walibeba ada za wanafunzi na ni shule ambayo wafadhili ndio hulipia wanafunzi wanaotoka familia maskini
Benki madalali wa mazao hadi wanaziogopa sababu unapewa mzigo uuze kisha umpe tajiripesa yake ukiuza umpe wakikuta pesa benki wanasomba unaonekana mtakatisha pesa au mkwepa kodi
Income badala ya kuangalia business wanaangalia hela zinazoingia kwenye account na ku zi treat kama income wakati pesa ni za customer unayemuwekea kama dalali au aliyekutumia umnunjlie mzigo
Hili la kuangalia deposts na kuziona kama business income na kudai maelezo na ku zi treat kama money laundering si sahihi zina scare depositors
Mungu kalifyekelea mbali!Magu aliharibu sana hii nchi!!
Mmmmh, yamekuwa hayo tena? Wewe nyoko wewe si ulikuwa unashabikia upumbavu kila uchao? Leo umekuwaje tena? Unaona MATAGA msivyokuwa na akili?Hili tamko waandikiwe kabisa mabenki waandikiwe kabisa TRA wamedsababisha shida kwa wafanyabiashara mfano unadaiwa kodi umepewa order ya mzigo mteja anaweka pesa kwenye Akaunti ili umtumie mzigo au umnunulie TRA wabazibeba !!!
St Jude secondary Arusha walibeba ada za wanafunzi na ni shule ambayo wafadhili ndio hulipia wanafunzi wanaotoka familia maskini
Benki madalali wa mazao hadi wanaziogopa sababu unapewa mzigo uuze kisha umpe tajiripesa yake ukiuza umpe wakikuta pesa benki wanasomba unaonekana mtakatisha pesa au mkwepa kodi
Income badala ya kuangalia business wanaangalia hela zinazoingia kwenye account na ku zi treat kama income wakati pesa ni za customer unayemuwekea kama dalali au aliyekutumia umnunjlie mzigo
Hili la kuangalia deposts na kuziona kama business income na kudai maelezo na ku zi treat kama money laundering si sahihi zina scare depositors
I hope Mama atarekebisha hiloHapo mtu wa kumbana ni Dotto
Hapana mkuu,Mwee! Wewe si ulikuwa mstari wa mbele wa kwaya ya kusifu na kuabudu ya mtakatifu jiwe? By the way komredi jamaa yenu amepaga uongozi wa malaika au kura hazijatosha? Nasikia uchaguzi ulikuwa Jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wagombea wengine ni saddam, gadafi, amin dada, hitler, nkuruzinza, mobutu, kabila, bokasa, abacha, mugabeMwee! Wewe si ulikuwa mstari wa mbele wa kwaya ya kusifu na kuabudu ya mtakatifu jiwe? By the way komredi jamaa yenu amepaga uongozi wa malaika au kura hazijatosha? Nasikia uchaguzi ulikuwa Jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Za kuambiwa changanya na zako. Kitu gani kina kupa uhuru wa ma bank kwamba hazito ingiliwa ?Hapana huu si wakati wa kudhoofisha kwa mawazo hasi.
Sidhani kama ndani ya kipindi hichi kutakuwa na yaliyotokea. Tunahitaji mzunguko wa fedha urudi.
Watu waziamini bank zao na fedha zao. Bank ziweze kutoa mikopo hata kwa watu wa chini.
.......anaenda kuongoza mashetani sio??!!Yuko kwenye probation period ya kuongoza malaika, akichemka anatumbuliwa.