Mwigulu Nchemba: Wafanyabiashara msiogope kuweka fedha benki hazitachukuliwa

Mwigulu Nchemba: Wafanyabiashara msiogope kuweka fedha benki hazitachukuliwa

'… Please transfer the availabe balance of Account no..... to consolidated Account no. Maintained at the Bank of Taiwan (BOT) …'

Wangeanza kwa kuwarudishia chao waliofanyiwa hivyo

Mungu anasema hamsamehi Dhulumati hadi asamehewe na aliowadhulumu…

Tumtakie kheri Mchapakazi na Mzalendi wetu huko alipo kwa kurudisha za waliochukuliwa kinyume na haki
Mmmmh, yamekuwa hayo tena? Wewe nyoko wewe si ulikuwa unashabikia upumbavu kila uchao? Leo umekuwaje tena? Unaona MATAGA msivyokuwa na akili?
Hata huyo juu naw Ni mmoja wao
 
Hata huyo juu nae Ni mmoja wao
Digiteta is no more! MATAGA tayari yameanza kumzodoa marehemu!
Nazenyewe zimeungana nasi kusema ASULUBIWE
 
Mzee alikuwa sadist aisee jinsi mkilalamika kuumia ndo anazidi kukaza sijui alikuwa ana roho gani, dah Mimi niliacha kumfatilia mda mrefu Sana, utawala wake ulikuwa na machungu mno, lisipokukuta wewe Basi ndugu yako ana msala mzito, Mara watu wavunjiwe nyumba kah
Amekumbana na mkono wa Mungu, ptwaaaaa digiteta chaliii! Sasa hivi anapambana na giza totoro! Alivyotufanyia watumishi wa umma siyo sawa kabisa halafu kajinga kalikuwa na majibu ya hovyo sana!
 
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba akiongoza kikao kazi cha kuchakata maagizo ya Rais Samia kwa Wizara hiyo.

Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa.

Dkt. Mwigulu ameteuliwa hivi karibuni na Mhesh Rais Samia kuongoza Wizara ya Fedha akitokea Wizara ya Sheria na Katiba.

Hapa kazi tu & Zege halilali

MCL

=============

Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara wanaoficha fedha majumbani kuacha tabia hiyo kwa maelezo kuwa fedha zao haziwezi kuchukuliwa.

Dk Mwigulu ameeleza hayo leo Jumamosi Aprili 3, 2021 katika kikao na watendaji wa wizara hiyo na Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) na Msajili wa Hazina (TR).

“Kwa wale wafanyabiashara walioona wakiweka fedha zao zitaonekana mtandaoni labda zitachukuliwa zote nitoe rai warudishe fedha kwenye mabenki zitaliwa mchwa au panya bila sababu, uchumi wa kisasa sio wa kuweka fedha kwenye boksi.”

“Kodi itatozwa tu kwa sehemu ya fedha inayotakiwa kukusanywa na sisi tujenge utaratibu wa kutii sheria kulipa kodi na kuwa wazalendo kwa nchi yetu.” Amesema Mwigulu.
Tutasikia maovu mengi yakifichuliwa na wenyewe
 
Makonda hawezi kurudi kwenye utawala WA mama. Kijana dhulmati hatari.
 
Amekumbana na mkono wa Mungu, ptwaaaaa digiteta chaliii! Sasa hivi anapambana na giza totoro! Alivyotufanyia watumishi wa umma siyo sawa kabisa halafu kajinga kalikuwa na majibu ya hovyo sana!
Mzee alikuwa hashikiki wala kushaurika aisee, na jinsi watanzania huwa ka makondoo tukamwachia Mungu atusaidie, na angekuwepo angejiongezea MDA ndo tungekoma hapo ka uchaguzi tu ulikuwa wa hovyo vile loh. Ila Mungu anatupenda watanzania wallah
 
Kama Watanzania tunajielewa huu ndio wakati mwafaka wa kumtukuza Mungu kwa haki na kweli! Mungu ametutendea makuu kwa kutuondolea zimwi!
 
Serikali inatakiwa ijiaminishe kwa wafanya biashara, kisheria kwa kutengua sheria kadhaa za kodi ambazo ni kandamiza. Ikiwemo hiyo ya kuwapa TRA nguvu za kufungia account kunatakiwa kuwa na procesure ya kimahana iliyo huru tena pasipo sheria ngumu
Kabisa mkuu
 
1617453845744.png

Tuko tunamlilia digiteta! Njooni tuungane wandugu!
 
Mwigulu asiseme kwamba pesa kwenye ma bank hazitachukuliwa sababu hii itakua imekaa kisiasa zaidi ya kiutendaji..... Bali aseme ni pesa gani ambazo hazitachukuliwa ili kuwasaidia watanzania kuwa makini na pesa zinazopita kwenye mikono yao

Nchi hii inaendeshwa kwa sheria na taratibu, pesa kama zile bilion4 kasoro za TPA zitatafutwa popote zilipo na kurudishwa mikononi mwa serikali

Pesa kama zilizosemekana kukwapuliwa BOT kama ni kweli zitatafutwa kwenye accounts zozote na zitachukuliwa
 
Tangu lini Waziri wa fedha alitokea mkoa wa singida? Huyu anatafuta kiki ya kugombea urais 2025.

Kama anastshili na chama chake kikaridhia; na ni mpango wa Mungu atapata na sio vinginevyo

Mamlaka zote zapata kibali kwa Mungu
 
Back
Top Bottom