Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu linatoke zoba linasema alikuwa raisi wa Africa. Shame!!!Magu aliharibu sana hii nchi!!
Hii bank inaelekea kufilisika....Hv mtu unaweka pesa CRDB unatarajia nn
Kwamba sio bank au?Hv mtu unaweka pesa CRDB unatarajia nn
Mkuu unaishi wapi nije kufanya msako na bundukiMkuu mimi nakomaa kuweka ndani tu, bank siweki zaidi ya Milioni 3.
Umesahau mwanzilishi wa haya ni nani?Hili tamko waandikiwe kabisa mabenki waandikiwe kabisa TRA wamedsababisha shida kwa wafanyabiashara mfano unadaiwa kodi umepewa order ya mzigo mteja anaweka pesa kwenye Akaunti ili umtumie mzigo au umnunulie TRA wabazibeba !!!
St Jude secondary Arusha walibeba ada za wanafunzi na ni shule ambayo wafadhili ndio hulipia wanafunzi wanaotoka familia maskini
Benki madalali wa mazao hadi wanaziogopa sababu unapewa mzigo uuze kisha umpe tajiripesa yake ukiuza umpe wakikuta pesa benki wanasomba unaonekana mtakatisha pesa au mkwepa kodi
Income badala ya kuangalia business wanaangalia hela zinazoingia kwenye account na ku zi treat kama income wakati pesa ni za customer unayemuwekea kama dalali au aliyekutumia umnunjlie mzigo
Hili la kuangalia deposts na kuziona kama business income na kudai maelezo na ku zi treat kama money laundering si sahihi zina scare depositors
Zitafutwe kwenye account gani? Yule mungu mtu wenu ndo alikuwa anatenda yote haya. Watanzania Tunapumua sasa baada ya jitu lenye roho mbaya kunyakuliwa.Mwigulu asiseme kwamba pesa kwenye ma bank hazitachukuliwa sababu hii itakua imekaa kisiasa zaidi ya kiutendaji..... Bali aseme ni pesa gani ambazo hazitachukuliwa ili kuwasaidia watanzania kuwa makini na pesa zinazopita kwenye mikono yao
Nchi hii inaendeshwa kwa sheria na taratibu, pesa kama zile bilion4 kasoro za TPA zitatafutwa popote zilipo na kurudishwa mikononi mwa serikali
Pesa kama zilizosemekana kukwapuliwa BOT kama ni kweli zitatafutwa kwenye accounts zozote na zitachukuliwa
Zile mlizokua mnapora kinguvu kwenye mabenki mlikua nmategemea nn?Safi sana, huu ndo uongozi sasa tunaoutaka.
Watanzania hatutaki dhulma na uonevu
Kumbe zilikuwa zinachukulixaHazitachukuliwa na nani kwani! Tena kinyume cha utaratibu?
Wakati si mileleDa Mkuu hata wewe leo wa kuyasema haya?
Wizara zote Mama kapatia ila hapa tumepigwaTaarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba akiongoza kikao kazi cha kuchakata maagizo ya Rais Samia kwa Wizara hiyo.
Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa.
Dkt. Mwigulu ameteuliwa hivi karibuni na Mhesh Rais Samia kuongoza Wizara ya Fedha akitokea Wizara ya Sheria na Katiba.
Hapa kazi tu & Zege halilali
MCL
=============
Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara wanaoficha fedha majumbani kuacha tabia hiyo kwa maelezo kuwa fedha zao haziwezi kuchukuliwa.
Dk Mwigulu ameeleza hayo leo Jumamosi Aprili 3, 2021 katika kikao na watendaji wa wizara hiyo na Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) na Msajili wa Hazina (TR).
“Kwa wale wafanyabiashara walioona wakiweka fedha zao zitaonekana mtandaoni labda zitachukuliwa zote nitoe rai warudishe fedha kwenye mabenki zitaliwa mchwa au panya bila sababu, uchumi wa kisasa sio wa kuweka fedha kwenye boksi.”
“Kodi itatozwa tu kwa sehemu ya fedha inayotakiwa kukusanywa na sisi tujenge utaratibu wa kutii sheria kulipa kodi na kuwa wazalendo kwa nchi yetu.” Amesema Mwigulu.
Mwigulu ni kiongozi mbovu snYuko kwenye probation period ya kuongoza malaika, akichemka anatumbuliwa.
Kumbe ni kweli walinyan'ganya watu fedha zao!Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba akiongoza kikao kazi cha kuchakata maagizo ya Rais Samia kwa Wizara hiyo.
Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa.
Dkt. Mwigulu ameteuliwa hivi karibuni na Mhesh Rais Samia kuongoza Wizara ya Fedha akitokea Wizara ya Sheria na Katiba.
Hapa kazi tu & Zege halilali
MCL
=============
Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara wanaoficha fedha majumbani kuacha tabia hiyo kwa maelezo kuwa fedha zao haziwezi kuchukuliwa.
Dk Mwigulu ameeleza hayo leo Jumamosi Aprili 3, 2021 katika kikao na watendaji wa wizara hiyo na Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) na Msajili wa Hazina (TR).
“Kwa wale wafanyabiashara walioona wakiweka fedha zao zitaonekana mtandaoni labda zitachukuliwa zote nitoe rai warudishe fedha kwenye mabenki zitaliwa mchwa au panya bila sababu, uchumi wa kisasa sio wa kuweka fedha kwenye boksi.”
“Kodi itatozwa tu kwa sehemu ya fedha inayotakiwa kukusanywa na sisi tujenge utaratibu wa kutii sheria kulipa kodi na kuwa wazalendo kwa nchi yetu.” Amesema Mwigulu.
Unyang'anyi wa TraTuelezane kwanza kwani zilikuwa zinachukuliwa ?