Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

Sawa Mwingulu Nchemba umesikika ila uchumi hauhitaji siasa, Mwingulu umewahi kuwa sijui manager wa bank huko Arusha ulileta matokeo yapi kwenye hiyo Bank ambayo unaweza kujivunia?
Charles Kimei Alikuwa CEO wa CRDB na mchango wake unaoneka.
 
Tulishasema wizara tatu ziko vacant nazo ni wizara ya fedha,wizara ya nishati na wizara ya habari huko ndiko Samia ameona comerd ziendelee tu kwa sababu ameona ndio wizara zinazopaswa kukaliwa na watu wasio na Akili na wengine eti ni madokta,Sijua udokta wa siku hizi ukoje na unatolewaje na ni vyuo vipi vinafanya kazi ya kutoa madokta vilaza wa namna hii.kazi ni kubwa sana ktk Taifa hili linaloumwa.
 
Duh,...Faiza Fox, you've finally begun to see the hidden truth about CCM crooks,ili Tanzania iwe salama,ni lazima kwanza Takataka CCM itupwe kule chooni
 
Sio tuu Samia , Mwigulu ni Waziri senior hata Mwendazake alijikuta mwenyewe anamrudisha Serikalini na amekuwa huko kwenye rader za ccm Toka enzi za JK,mara muweka hazina wao nk..

So Mwigulu yupo hapo Hadi 2030 Wala usijisumbue
Ataondoka tu nchi sio ya mama yake.
 
Ujuaji siyo jambo la kujivunia.

Mara nyingi mjinga huwaona werevu ni wajinga wenzake.

Alisema Mwalimu Nyerere kuwa kuna watu wanasoma sana na kuhitimu kisha mwishowe badala ya kuelimika ndo wanakuwa wapumbavu.

Sijawahi kuona kaburi la mjinga.

Jibu hoja punguza kujifaragua maana akili haikufanyi kuwa binadamu sana kuliko wengine.

Hapo kwenye suala la utitiri wa kodi serikali inapaswa kukaa na wadau kujadili way forwards badala ya maafisa wanapsababisha hup utitiri kujifanya wanaweza kubuni njia mbadala.

Mimi siyo mtaalam wa uchumi, mimi naongelea mtazamo wangu ambao macho yangu yanauona kila siku

Tatizo la viongozi wengi hudhani nafasi za uongozi huwapa akili za ziadq kuliko waongozwa.
 
Hoja ipi ambayo haijajibiwa? Naona kama unajivua nguo..
 
Hoja ipi ambayo haijajibiwa? Naona kama unajivua nguo..
Kwenye hoja yangu juu nimemtaja Madelu?
Naongelea sekta nipate uzoefu ambao sina.

Ukiwa ndani ya gari unaipima kasi ya gari kwa kusoma unavyokata miles kwa saa. Aliye nje ya gari huona mwendokasi wa gari kwa kupima kwa macho.....

Tofautisha hapo. Usiniambie kuwa aliye nje ya gari hajui lolote kuhusu kasi kali au ndogo gari inavyokwenda.

Wewe tetea ugali wako. Sisi tunaiangalia kesho kwa hofu inayoletwa na upuuzi na ujivuni wa wanaojiona wao ndiyo watu na sisi vikaragosi
 
Uchumi haupimwi Kwa macho Wala Kwa hisia
 
Mustafa Mkulo ndiye alikuwa mbovu kuliko Mwigulu. JK sijui alitoka naye wapi. Uzuri alimtumbua fasta
 
Mwigulu, Makamba, Nape ni vijana wa JK, kawalea, kawakuza na kuwapa ramani ya maisha ya kisiasa

Mama amewateua Kwa maelekezo ya JK
Je, na yule msomali naye kaweza nini?
1. Wakulima wa njombe kuuziwa mchanga kama mbolea ya minjingu
2. Kugawa pikipiki kwa maafisa ugani lakini tija haijaonekana
3. Kugawa 50m kwa vijana wakalime badala ya vijana kulima wamenunulia utamu
4. Kuuza mchele. Mahindi, maharage nje ili kuwatajirisha wakulima. Matokeo wakulima wamekuwa masikini zaidi
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…