Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

Ona boga jingine hili,huyo ajuza pamoja na mambo mengine amedai Mwigulu hana art kwenye presentation,Sasa Kimei na kigugumizi Cha mara 10 ya Mwigulu anajua hata kuongea yule? Mtu anangea kama amemeza uji wa moto anashindwa kumeza au kutema ndio anaweza jibu hoja za Kisiasa mle Bungeni? Si mtamuua Sasa huyo Kimei Kwa pressure?

La mwisho hata hamjui falsasa za Kimei,mara nyingi amepinga kuweka ceiling ya inflation kwenye 5% akisema inapunguza Kasi ya kukua Kwa uchumi hivyo yeye anapendelea inflationary policies,Sasa nyie mbuzi si mtakufa Kwa kihoro Kimei akiwa Waziri kama saiizi mnasema vitu vina bei akina huyo na vile hajui kuongea siasa mtafanyaje? 😆😆😆
Sawa Mwingulu Nchemba umesikika ila uchumi hauhitaji siasa, Mwingulu umewahi kuwa sijui manager wa bank huko Arusha ulileta matokeo yapi kwenye hiyo Bank ambayo unaweza kujivunia?
Charles Kimei Alikuwa CEO wa CRDB na mchango wake unaoneka.
 
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Tulishasema wizara tatu ziko vacant nazo ni wizara ya fedha,wizara ya nishati na wizara ya habari huko ndiko Samia ameona comerd ziendelee tu kwa sababu ameona ndio wizara zinazopaswa kukaliwa na watu wasio na Akili na wengine eti ni madokta,Sijua udokta wa siku hizi ukoje na unatolewaje na ni vyuo vipi vinafanya kazi ya kutoa madokta vilaza wa namna hii.kazi ni kubwa sana ktk Taifa hili linaloumwa.
 
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Duh,...Faiza Fox, you've finally begun to see the hidden truth about CCM crooks,ili Tanzania iwe salama,ni lazima kwanza Takataka CCM itupwe kule chooni
 
Sio tuu Samia , Mwigulu ni Waziri senior hata Mwendazake alijikuta mwenyewe anamrudisha Serikalini na amekuwa huko kwenye rader za ccm Toka enzi za JK,mara muweka hazina wao nk..

So Mwigulu yupo hapo Hadi 2030 Wala usijisumbue
Ataondoka tu nchi sio ya mama yake.
 
Unaeleza maelezo meengi yasiyo na msingi Kwa muktadha wa mada tajwa hapo Juu..

Mambo mengi hapo ni masuala ya sekta mtambuka,Malori yamekwama Kwa sababu hayana export permit unakuja kusema Mwigulu na Agoa sijui nini,
Hakuna mahala exports zimepungua na Kwa taarifa Yako zimeongezeka sana plus Madini plus Watalii ila shida inabakia pale pale Kasi ya Ongezeko la bei kwenye soko la Kimataifa ni kubwa na ndio lime impacts dollar shortage..

Kuna interventions za mda mfupi kama.hizi za rationing na kuzuia udalali na Kuna interventions za mda mrefu ambazo ni multisector kama kupunguza utegemezi wa kuagiza Baadhi ya bidhaa kutoka Nje ambazo tunaweza kuzalisha ndani kama mafuta ya kula nk.and the goveryid doing..

Swala pia la utitiri wa Kodi Wala haliko TRA pekee Bali liko pia kwenye Wizara za kisekta na hizo tozo sio Wizara ya Fedha imewapangia Sasa kuondoa hayo ni mpaka Baraza la Mawaziri likajadili na baada ya hapo yaende Bungeni..

Serikali Kupitia Waziri wa Fedha imeongea mara nyingi sana kwamba inatamani kupunguza wingi wa Kodi,Ukubwa wa Kodi na watozaji wa Kodi ila haiwezi kufanya over night ila itafanya hatua Kwa hatua maana ikifanya hivyo inakuwa na athari kwenye Bajeti,pesa za kufidia zitatoka wapi? Kupunguza hayo ni betting usidhani kwamba ukifanya hivyo ndio automatically itakulipa ndani ya mda mfupi au wa kati,unaweza kuliwa maxima..

Mwisho Serikali inatekeleza kitu inaitwa blue print katika kuondoa vikwazo hivyo na ndio maana keshokutwa Rais mwenyewe atakuwa na kikao Cha Baraza la Taifa la Biashara na mapendekezo ndio hayo kabla ya read out ya bajetya ujumla wiki ijayo..

Sasa sijui hapa shida ya Mwigyniyni ipi,mbona hamjitokesi kusema wawateue nyie na msipodeliver sio tuu mtumbuliwe Bali mchukuliwe hatua Kali Kwa kutudanganya..

Mambo ingekuwa rahisi hivyo saizi Ruto angeshakuwa ametekeleza nusu ya aliyoahidi kwenye Kampeni badala yake baada ya ku face reality ameanza kutoa Vitisho 😆😆😆😆
Ujuaji siyo jambo la kujivunia.

Mara nyingi mjinga huwaona werevu ni wajinga wenzake.

Alisema Mwalimu Nyerere kuwa kuna watu wanasoma sana na kuhitimu kisha mwishowe badala ya kuelimika ndo wanakuwa wapumbavu.

Sijawahi kuona kaburi la mjinga.

Jibu hoja punguza kujifaragua maana akili haikufanyi kuwa binadamu sana kuliko wengine.

Hapo kwenye suala la utitiri wa kodi serikali inapaswa kukaa na wadau kujadili way forwards badala ya maafisa wanapsababisha hup utitiri kujifanya wanaweza kubuni njia mbadala.

Mimi siyo mtaalam wa uchumi, mimi naongelea mtazamo wangu ambao macho yangu yanauona kila siku

Tatizo la viongozi wengi hudhani nafasi za uongozi huwapa akili za ziadq kuliko waongozwa.
 
Hoja ipi ambayo haijajibiwa? Naona kama unajivua nguo..
 
Hoja ipi ambayo haijajibiwa? Naona kama unajivua nguo..
Kwenye hoja yangu juu nimemtaja Madelu?
Naongelea sekta nipate uzoefu ambao sina.

Ukiwa ndani ya gari unaipima kasi ya gari kwa kusoma unavyokata miles kwa saa. Aliye nje ya gari huona mwendokasi wa gari kwa kupima kwa macho.....

Tofautisha hapo. Usiniambie kuwa aliye nje ya gari hajui lolote kuhusu kasi kali au ndogo gari inavyokwenda.

Wewe tetea ugali wako. Sisi tunaiangalia kesho kwa hofu inayoletwa na upuuzi na ujivuni wa wanaojiona wao ndiyo watu na sisi vikaragosi
 
Uchumi haupimwi Kwa macho Wala Kwa hisia
 
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Mustafa Mkulo ndiye alikuwa mbovu kuliko Mwigulu. JK sijui alitoka naye wapi. Uzuri alimtumbua fasta
 
Mwigulu, Makamba, Nape ni vijana wa JK, kawalea, kawakuza na kuwapa ramani ya maisha ya kisiasa

Mama amewateua Kwa maelekezo ya JK
Je, na yule msomali naye kaweza nini?
1. Wakulima wa njombe kuuziwa mchanga kama mbolea ya minjingu
2. Kugawa pikipiki kwa maafisa ugani lakini tija haijaonekana
3. Kugawa 50m kwa vijana wakalime badala ya vijana kulima wamenunulia utamu
4. Kuuza mchele. Mahindi, maharage nje ili kuwatajirisha wakulima. Matokeo wakulima wamekuwa masikini zaidi
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
greed elite ktk eneo lake la ufanisi
FB_IMG_16839628680320307.jpg
 
Back
Top Bottom