Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Sawa Mwingulu Nchemba umesikika ila uchumi hauhitaji siasa, Mwingulu umewahi kuwa sijui manager wa bank huko Arusha ulileta matokeo yapi kwenye hiyo Bank ambayo unaweza kujivunia?Ona boga jingine hili,huyo ajuza pamoja na mambo mengine amedai Mwigulu hana art kwenye presentation,Sasa Kimei na kigugumizi Cha mara 10 ya Mwigulu anajua hata kuongea yule? Mtu anangea kama amemeza uji wa moto anashindwa kumeza au kutema ndio anaweza jibu hoja za Kisiasa mle Bungeni? Si mtamuua Sasa huyo Kimei Kwa pressure?
La mwisho hata hamjui falsasa za Kimei,mara nyingi amepinga kuweka ceiling ya inflation kwenye 5% akisema inapunguza Kasi ya kukua Kwa uchumi hivyo yeye anapendelea inflationary policies,Sasa nyie mbuzi si mtakufa Kwa kihoro Kimei akiwa Waziri kama saiizi mnasema vitu vina bei akina huyo na vile hajui kuongea siasa mtafanyaje? 😆😆😆
Charles Kimei Alikuwa CEO wa CRDB na mchango wake unaoneka.