Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

Mama ni mchapa kazi na mbunifu sana, ni mtu wa kutatuwa matatizo.

Kwa Mwigulu mama inabidi amuondoe tu wizarani.

Waziri gani anakosolewa zaidi ya mara moja na Spika?
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
 
Aliyemteua akiendelea kumuwacha ndiyo atakuwa kafanya kosa.
 

Mawaziri wote ni mabomu, sijajua ni kwanini inatumika nguvu kubwa sana kumchimbia chini Mwigulu.

Mwigulu hatekelezi mipango yake, anatekeleza mipango ya baraza zima la mawaziri.
Mwigulu wizara yake inatakiwa iwe na ubunifu wa wakati tunaoenda nao.

Waziri anatangaza kwenye hotuba ya bajeti yake eti ataongeza doria mipakani ili kuongeza mapato.

Si ujinga huo.
 
Mwigulu hana haiba wala busara za kuwa kiongozi, mwanasiasa au mwakilishi wa wananchi...

Ana tabia zile za watu wa Singida, hawa ndugu zetu ni watu wenye dharau/wajivuni sana juu ya watu wengine haswa wakishafikia daraja fulani la kisomo (mifano ipo wazi kwa kina Lissu, Nyalandu n.k)

Inawezekana akawa ni mtaalamu wa uchumi, na ingetosha tu akawa mtendaji kama Katibu Mkuu wa wizara, Gavana au Mshauri wa Uchumi...
 
kwa ushahidi upi?
 
🤣🤣faiza,nawe umeona mwigulu hajui kuongea eeh?anaongea kama mtoto mwenye uji mdomoni, hata hivyo mtu wa iramba na art ya kuzungumza wapi na wapi?
 
Kwa muono wangu nchi imepata waziri wa fedha Bora kabisa kiwahi kutokea.
 
Unataka amtoe amuweke nani. Nchi hii ina vilaza wa kufikiri kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…