Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

Afadhali hata umemuulza wewe hili swali, mana angekuwa mvaa kibandiko angekuwa anamshangilia sanaaa
Kama yule saada mkuya yani yule ndo alikua bogus kabisa na akamfundisha mwigulu ubogus zaidi maana alikua ni naibu wake, hawa mawaziri wa fedha tulipigwa sana
 
Naunga mkono hoja yako FaizaFoxy Mh Rais Samia amtoe Mwingulu na ikimpendeza ampe Charlea Kimei mbunge wa Vunjo.
 
Anafaa kuvaa scarf ya Bendera ya Taifa.
 
Wewe kwa ninavyokujua, unaweza kuwa unamkataa Mwigulu sababu ya dini yake. Haya suggest sasa Ustadh nani awe waziri wa Fedha?
 
Faiza foxy! Wewe ndio hovyo na bure kabisa
 
Hapo tatizo ni Mwigulu kiutendaji au yale mambo yetu mengine? vipi Makamba yeye anafaa kuwepo Nishati?!.
 
Mungu akupe baraka...
Umeandika kwa uelewa. Jamaa hafai..
 
Nilif
Nilifikiri ni mimi pekee yangu nauona ugoigoi wa Bw. Madelu pale wizarani. Ni mharibifu kila kona hashauriki anachofikiria ni tumbo lake na familia yake basi sio masikini wa nchi hizi. Bora wangemuacha yule Paroko hapo wizarani japokuwa hana meno!
 
Cj21125 kwani amekukosea nini ndugu PhD!!! Naona kama una wivu na chuki binafsi na ndio zinazokuletea makasiriko
 
Mbovu ni huyo saa100 kwani amejiteua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…