Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

bibi faiza leo akili zemekaa sawa au bado unaendekeza mahaba na.waarabu waliondikwa kwenda mbinguni na sisi weusi motoni.
mama anauza nchi kwa mahaba ya msaafau
 
Sijawahi muelewa huyo jamaa kila kukicha analiingiza Taifa kwenye hasara cha kushangaza yupo mbele kweli aisee utadhani tumerogwa kuwa na kiongozi wa Fedha mwenye uwezo ule...
 
DARK DAYS 17/03/2021. Hivi ni kuwasilisha au kuwakilisha?.
 
bibi faiza leo akili zemekaa sawa au bado unaendekeza mahaba na.waarabu waliondikwa kwenda mbinguni na sisi weusi motoni.
mama anauza nchi kwa mahaba ya msaafau
Huu uzi ni kwa Mwigulu tu, usitake kubadili mada.

Kuhusu mwengine yeyote kamwanzishie uzi tutakuja kukujibu.
 
Mwigulu sitaki kusikia sauti yake wala kuona picha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…