Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

Mawaziri wote ni mabomu, sijajua ni kwanini inatumika nguvu kubwa sana kumchimbia chini Mwigulu.

Mwigulu hatekelezi mipango yake, anatekeleza mipango ya baraza zima la mawaziri.
Sahihi kabisa kiongozi
 
Mwigulu ni kilaza wahed,yupo yupo tu

Waziri mzima anaona fahari kupiga picha kama ndiyo ishara ya yeye kupongezwa Kwa uchumi mzuri

Kweli kupiga picha ndiyo criteria ya kupima uwajibikaji wa majukumu ya mtu kweli!?

Pathetic
Na kuchekacheka ata anapoambiwa hafai
 
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Ninavyokujua ulivyojaa udini mpaka kwenye kucha na mifupa, angekuwa muislam usingeandika haya.

Utakubaliana na Mimi.

MH. Mwigulu piga Kazi!
 
Sahihi kabisa kiongozi
Wanakazana kumzomea Mwigulu utafikiri yeye ndio Rais wa nchi.

Fitna huko ndani ya Chama chao sio mchezo, hapo kuna watu wameshamuona tishio kwenye ndoto zao za uwaziri mkuu na urais hapo baadae.

Kama sivyo basi waje hapa watuambie ni Wizara au Waziri gani anayefanya vizuri. Tena wengine ni mizigo afadhali hata ya huyo Mwigulu.
 
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Kwa Mara ya kwanza
FaizaFoxy umeandika Jambo lenye mantiki.
Keep it up.
Cc. Chizi Maarifa
 
Uchumi haupimwi Kwa macho Wala Kwa hisia
Jitahidi kutafsiri upendavyo.

Kwa hiyo kila mwananchi anapaswa kusomea uchumi ili kujua hali yake kiuchumi ipoje siyo.

Ni msiba mkubwa mtu kukosa akili.
 
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Mbona huwataji waislamu wenzio Mbarawa, Aweso, Bashe Makamba, Ummy na Mchengerwa wanafanya nini cha maana? we ajuza ni mdini sn. Shame on you
 
Back
Top Bottom