Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

Mwigulu anatumia udhaifu wa bunge na baraza la mawaziri kujitengenezea njia.

Mwigulu anakusanya pesa yeye na timu yake kwa ajili ya kuwania urais. Ni hivi tu hapa katikati kumetokea utaratibu wa urais kubadilika, lakini 2025 ndio Mwigulu alitaka afanye yake.

Hizo pesa ndio zitakuwa za kuhonga, kuandaa makundi ya vijana kufanya unyama ili aingie madarakani, propaganda kwenye media nk.

Na fedha nyingine ni ili kuhonga vyombo vya dola ili vishiriki moja kwa moja kwenye zoezi la kupora uchaguzi.
 
Muwe mnawapa wabunge wanaoweza kuongea Bungeni hizi tips..

Ujue CCM huwa wanatumia hii miradi mikubwa kuiba pesa za Nchi..

Kwa staili hii,Katiba mpya inahitajika mapema Sana japo haitamaliza rushwa ila itapunguza.

Nguvu ya umma tu ndio italeta katiba mpya. Bila machafuko sioni watawala wa kiafrika wakikubali katiba mpya. Hii katiba ya kikosi kazi na wanasiasa wa upinzani kwenda ikulu ni kuchorana tu.
 
Yaani hii nchi kwa kweli inatuumiza sana. Hawa ccm ni wezi wote. Mwigulu ndo adui no Moja wa nchi hii. Hafai hata kua mtumishi wa ofisi yoyote ya serikali.
Kuna frem zinajegwa pale sheli njia panda ya generi singida
Nafikir ushaelewa
 
The nation will find it very hard to look up to the leaders who are keeping their ears to the ground.
 
Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo!

Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni). Wakati tunajua umewapa kandarasi CCECC.
Maranja Masese
Mtikila!
Hebu tuache uongo kupindisha ukweli hivi kwa akili yako wewe unamshinda mwigulu uzalendo hebu tuache upumbavu
 
Hebu tuache uongo kupindisha ukweli hivi kwa akili yako wewe unamshinda mwigulu uzalendo hebu tuache upumbavu
Hivi wewe rangi ya Kijana unafikiri sis ni wajinga kiasi hicho. Uzalendo wa mwiguru uko wapi. Wa kurudisha Kodi ya kichwa? Wa kuongeza tozo kila mahali. Wa kukopa kila sku? Ebe acha ujinga ww kijan
 
What if hio figure ni VAT?

What if mkataba ulikuwa VAT Exclusive??

Kama umempania hivi
Shule,
Shule,
Shule.

Ikiwa 1.8Tril ni VAT basi amount bila VAT ni 10Tril. Sasa wewe kwenye hili andishi umeona popote p,ametajwa 10Tril?
 
Hawa jamaa wa ccm ndiyo kusema hawana huruma hata chembe
 
Back
Top Bottom