Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

Nguvu ya umma tu ndio italeta katiba mpya. Bila machafuko sioni watawala wa kiafrika wakikubali katiba mpya. Hii katiba ya kikosi kazi na wanasiasa wa upinzani kwenda ikulu ni kuchorana tu.
Anzia wewe mkuu mimi sitokuwepo kiukweli 😂😂
 
MKUU

Hiyo pesa aliopiga unatisha kununua mabasi mapya ya Mwigulu yaanze Safari mikoani!
TUSUBIRI
Sasa fleet ya mabasi ukiwa na billion 15 tu si unayanunua ya kutosha tu kisha unayasimamia vyema kabisa.

Chukulia tu basi la mchina ni 2OOM kwenye B1 una mabasi 5..Ina maana ukitumia 1OB utajikuta una mabasi 5O which is more than enough kwa ruti za mikoani. Kila njia ukiweka mabasi 1O na mengine yatabaki Yard kwa ajili ya Emergency.
 
Kuna kila dalili ya mnyukano wa ndani hapa!! Kuna mtu wa ndani inaelekea kanyimwa kitumbua wakati anajua kila kitu kwenye mchezo huu sasa naona ameamua kumwaga mboga!! Analazimisha apewe kiziba mdomo!!
 
Shule,
Shule,
Shule.

Ikiwa 1.8Tril ni VAT basi amount bila VAT ni 10Tril. Sasa wewe kwenye hili andishi umeona popote p,ametajwa 10Tril?
Kunaweza kuwepo items ambazo ni VAT Exempt hivyo figure isichukuliwe by default kwa relationship ya 18/118

Aseme labda VAT sh ngapi
Ili ijulikane hii sio case ya VAT
Ndipo watu wajikite kujadili ni nini

Na btw ana documents zozote kuconclude ama ana assume kwa sababu hana taarifa kamili?

Kuna baadhi ya vitu naamini ukiwa exposed na taarifa utaona hamna issue

Informations affects judgement
 
m

Mbona umekomaa sana kutetea!!
 
Back
Top Bottom