ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Utakula mema ya nchiisasa nitakula amani bintiš
Utakula mema ya nchiisasa nitakula amani bintiš
Hiyo mikopo inatolewa na serikali?Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo, Nchemba amebainisha kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuangalia uwezekano wa kijana kutumia cheti chake cha kuhitimu kama dhamana ya kukopa fedha za kuanzia maisha au biashara.
"Tumeanza kuwaza kwamba kijana aweze kutumia cheti chake alichohitimu kuweza kukopa baada ya kuhitimu, ili kuondoa kikwazo cha kukosa dhamana ambacho kimekuwa kikiwakwamisha wahitimu wengi,"
Politicians and diapers must be changed often, and for the same reason.Ninacho faham mimi ni kwamba dhamana hutumika kama fidia pale unaposhindwa kulipa mkopo. Sasa mtu kachukua milioni tano kawaachia licheti la ugavi mnalipileka wapi? Au vyeti ni biashara siku hizi alaf hamsemi??
Eti naye ni economist mwenye PhD. Mazafakas waache vituko bhana!Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo, Nchemba amebainisha kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuangalia uwezekano wa kijana kutumia cheti chake cha kuhitimu kama dhamana ya kukopa fedha za kuanzia maisha au biashara.
"Tumeanza kuwaza kwamba kijana aweze kutumia cheti chake alichohitimu kuweza kukopa baada ya kuhitimu, ili kuondoa kikwazo cha kukosa dhamana ambacho kimekuwa kikiwakwamisha wahitimu wengi,"
sure thingPoliticians and diapers must be changed often, and for the same reason.
šChai
Huu ni uongo wa kijinga sana na wala mtu yoyote asisadiki. Ni mradi mwingine kama ule wa Bashe wa kilimo.Wamesema ndio kwanza wana waza iwe hivyo .
dira 2050Wamesema ndio kwanza wana waza iwe hivyo .
Iwapo hili litafanywa kuwa la kisera na kisheria itakuwepo maana nzuri japo kwa mazingira ya kitanzania ninayoyajua iwapo mifumo yetu na sheroa zetu ni hizi za kula kwa kamba,wanasiasa wote hasa wala kwa kamba wote watakuwa wahitimu wa phd na wao pekee ndio watakuwa wanufaika wa hiyo fursa! Mungu tupe macho ya kuona na akili za utambuzi wa mambo ya kawaida!Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo, Nchemba amebainisha kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuangalia uwezekano wa kijana kutumia cheti chake cha kuhitimu kama dhamana ya kukopa fedha za kuanzia maisha au biashara.
"Tumeanza kuwaza kwamba kijana aweze kutumia cheti chake alichohitimu kuweza kukopa baada ya kuhitimu, ili kuondoa kikwazo cha kukosa dhamana ambacho kimekuwa kikiwakwamisha wahitimu wengi,"
Ukishindwa kulipa benki watakifanyia nini cheti chako?Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo, Nchemba amebainisha kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuangalia uwezekano wa kijana kutumia cheti chake cha kuhitimu kama dhamana ya kukopa fedha za kuanzia maisha au biashara.
"Tumeanza kuwaza kwamba kijana aweze kutumia cheti chake alichohitimu kuweza kukopa baada ya kuhitimu, ili kuondoa kikwazo cha kukosa dhamana ambacho kimekuwa kikiwakwamisha wahitimu wengi,"