Mwigulu: Vijana watumie vyeti vya chuo kama dhamana ya mikopo baada ya kuhitimu

Mwigulu: Vijana watumie vyeti vya chuo kama dhamana ya mikopo baada ya kuhitimu

kujiajiri kwenye pharmacy anakokuongelea haikinzani na bima ya afya kwa wote ?
 
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo, Nchemba amebainisha kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuangalia uwezekano wa kijana kutumia cheti chake cha kuhitimu kama dhamana ya kukopa fedha za kuanzia maisha au biashara.

"Tumeanza kuwaza kwamba kijana aweze kutumia cheti chake alichohitimu kuweza kukopa baada ya kuhitimu, ili kuondoa kikwazo cha kukosa dhamana ambacho kimekuwa kikiwakwamisha wahitimu wengi,"

Hakuna mjinga wa kukupa pesa Kwa Ajili ya Hilo karatasi lako.

Anaweza kufanya hivyo ni Serikali tuu.
 
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo, Nchemba amebainisha kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuangalia uwezekano wa kijana kutumia cheti chake cha kuhitimu kama dhamana ya kukopa fedha za kuanzia maisha au biashara.

"Tumeanza kuwaza kwamba kijana aweze kutumia cheti chake alichohitimu kuweza kukopa baada ya kuhitimu, ili kuondoa kikwazo cha kukosa dhamana ambacho kimekuwa kikiwakwamisha wahitimu wengi,"

Tangu lini mbwa ninyi mkawa na uchungu na vijana wa Tanzania takataka Kabisa .Wale mliowaua tarehe 29 October ni wakenya au ?
 
Huo ni uwongo hakuna taasisi ya fedha inayoweza kukubali huo upuuzi.

Nchi ya matamko

Hawa jamaa washachanganyikiwa, hawana sera wala mipango, ni kutoa majibu mepesi.
Majibu mepesi yasiyo na maana kwa maswali yanayohitaji strategic thinking na planning ,hapa ndipo tulipokwama Kama taifa na hatutoboi mpaka hiyo hali ibadirike
 
Kwenye hii nchi mwanasiasa anaweza Sema lolote na wananchi wakashangilia..... lakini kuna neno linaitwa "mchakato" hili neno hua linatumiwa kumchapia mwananchi masikini eti..."lipo kwenye mchakato na serikali ni sikivu, inalifanyia kazi"
Hata sisi Wanaume mabahili UWABATA tunatumia kwa kusema "Kuna hela naisikilizia " au "Kuna mchongo bado naisikilizia"
 
Mwigulu sijui huwa ana akili gani? Ana propaganda za kitambo sana bank unakua na
Kazi mkononi ambayo wanajua serikali itakulipa lakini wapi wanagoma kukupa mkopo mpaka huwe na dhamana
 
Ninacho faham mimi ni kwamba dhamana hutumika kama fidia pale unaposhindwa kulipa mkopo. Sasa mtu kachukua milioni tano kawaachia licheti la ugavi mnalipileka wapi? Au vyeti ni biashara siku hizi alaf hamsemi??
Mwigulu mzee wa propaganda
 
Cd ya kushikwa bega imechubuka sasa Cd ya mikopo vijana lukeni iyoo nayo kuna masebene wasanii wanu wasiojua kuimba ila wanalopoka matusi mtajua nyie
 
Back
Top Bottom