Mwigulu: Vijana watumie vyeti vya chuo kama dhamana ya mikopo baada ya kuhitimu

Hiyo mikopo inatolewa na serikali?

Amandla...
 
Ninacho faham mimi ni kwamba dhamana hutumika kama fidia pale unaposhindwa kulipa mkopo. Sasa mtu kachukua milioni tano kawaachia licheti la ugavi mnalipileka wapi? Au vyeti ni biashara siku hizi alaf hamsemi??
Politicians and diapers must be changed often, and for the same reason.
 
Eti naye ni economist mwenye PhD. Mazafakas waache vituko bhana!

Core purpose ya dhamana ni nini in the first place?

In lending, security refers to an asset pledged by a borrower to a lender to secure a loan, ensuring repayment. That means, if the borrower defaults, the lender can seize and sell this asset to recover the loaned money.

I didn’t know that, in Tanzania, an academic award is an asset you can seize and sell to recover loaned money.
 
Niliombea mkopo mrefu vyeti vyangu afu nikaenda kuomba vipya Necta nilipo viitaji ,alie nikopesha sijui ana otea moto ni miaka mingi
 
Kama wanataka kusogeza "keki" wanayokula wao kwa vijana kwa mfumo huo sawa.
Ila kama wanataka sekta binafsi ndio ifanye hayo, anakuwa anaota huyo PM.

Wasogeze "keki" tule wote. Waache upumbavu.
 
Shirika gani hilo la mkopo ambalo liko tayari kuzitupa pesa?
 
Jichanganye pale BANK utajua hujui.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwenye hii nchi mwanasiasa anaweza Sema lolote na wananchi wakashangilia..... lakini kuna neno linaitwa "mchakato" hili neno hua linatumiwa kumchapia mwananchi masikini eti..."lipo kwenye mchakato na serikali ni sikivu, inalifanyia kazi"
 
Iwapo hili litafanywa kuwa la kisera na kisheria itakuwepo maana nzuri japo kwa mazingira ya kitanzania ninayoyajua iwapo mifumo yetu na sheroa zetu ni hizi za kula kwa kamba,wanasiasa wote hasa wala kwa kamba wote watakuwa wahitimu wa phd na wao pekee ndio watakuwa wanufaika wa hiyo fursa! Mungu tupe macho ya kuona na akili za utambuzi wa mambo ya kawaida!
 
Ukishindwa kulipa benki watakifanyia nini cheti chako?
 
Huu ni uhuni kama uhuni mwingine tu. Kaomba fungu kwenye bajeti ya wizara yake? Au wizara husika na vijana kwenye bajeti yao wametenga fungu?
Mwambieni aache fujo za kusaka urais 2030 kwani kura haziombwi hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…