TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

Inasikitisha sana ,shida ni nini hasa? Na watu wanaoua wengine kwani wao wanafaidikaje? Tujuzane
 
akili huna au unauwezo mdogo wa kufikiri watu invest sehemu tofauti mtu anaweza kua wakala lakini ana deal na vifaa vya magari,vya ujenzi n.k
 
Unakwepesha lawama kwa nguvu kubwa sana..

Kazi ya Kulinda Raia na Mali zao ni ya nani?

Mfano tukadhulumiana hapa ukapotea mwili ukutwe mochwari... Will that be okay?

Unajua taratibu za kupeleka mwili mochwari? Au hata mahtuti tu hospitalini?

Aliempeleka Mochwari huyo bwana ni nani? Waliompokea ni kina nani? Maelezo ya awali yalikuwaje mpaka hospital ikakubali kuupokea..

Wacha bla bla mkuu, hili ni letu sote, yakikukuta au kumkuta ndugu yako wa karibu ndio utajua ukwel kwenye hili..
Hakuna sababu yeyote kutoa uhai wa mtu....
 
Hakuna nguvu yyte hapo. Akili yako fupi tu
 
Utawala wa Magufuli na Samia ni wa kishetani, walaaniwe wote na uzao wao
 
akili huna au unauwezo mdogo wa kufikiri watu invest sehemu tofauti mtu anaweza kua wakala lakini ana deal na vifaa vya magari,vya ujenzi n.k
Wewe ni kichaa na mijadala huiwezi. Hoja zangu nimeziweka katika mfumo wa maswali ambayo tukipata majibu tunaweza kupata mwanga kuelekea kwenye viashiria vya chanzo kilichopelekea kifo chake.

Nimeuliza alikuwa na biashara nyingine? Kama alikuwa nazo kwanini hazijaorodheshwa kama ilivyokuwa kwa hizo nyingine za miamala ya kifedha?

Well, kama anazo ni biashara gani? Ni mizigo ya aina gani aliyokuwa anafuatilia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…