TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

RIP Ulomi .Mungu awape faraja familia yake ,mke na watoto na ndugu zake na taifa kwa jumla.Uzuri kila nafsi itaonja mauti na ninaamini kuwa waliofanya mshahara wa dhambi ni mauti pia .Ila Safari hii hata hao 'Investor " wameanza kuogopa aisee niko na moja nam process document zake ananiuliza ,mimi naona Tanzania sio salama kama na TRA ,polisi wanaua watu badala ya kuwalinda anafikiria mara mbili mbili saa hii.
 
Vifo vingine vinatokana na dhuruma kuiba wake za watu nk. Sidhani kama kufikiria serekali ya fisiemu inauwa hawa watu wote ni sahihi
let be reasonable guys. Serekali haiwezi kuuwa watu hovyo ikuuwe ww nani!!?? Yani serekali ije ikuuwe ww tigopesa kuweni na heshima kidogo basi
Na sasa ndio wakati sahihi wa serikali kufanya uchunguzi wa kina na kisha kuja na taarifa hadharani ya wahusika katika vifo vyote vya kutatanisha ili watu waache kuifikiria vibaya.

Mzee Kibao tangu ukutwe mwili wake, kuna taarifa nyingine yoyote umma umepatiwa zaidi ya mkuu wa nchi kutuambia kifo ni kifo tu?
 
Narudia tena umeonyesha upumbavu wa hali ya juu. Hao niliorodhesha waliuawa na serikali. Walikuwa na nini cha hatari? Unakuwa ana akili kama kima bwana!
Huna hoja unaharibu kuitetea serikali nijibu swali hili Kuna taratibu za kupeleka mwili hospital hao waliopeleka walikuwa ni akina nani kwanini polisi isiwataje mana polisi Ina uwezo kikatiba kuhoji swala Hilo ni swala la kujibu tu nani kapeleka mwili, ilikuwaje na kwanini
 
Watanganyika, kataeni neno Mitano Tena!
MACHADEMA YAO KILA SEHEMU NI KULETA KAMPENI , HAYANA HATA UTU NA HURUMA KWA WAFIWA. TOENI POLE KWANZA NDIO MUANZE KUMPIGIA KURA HUYO KIONGOZI WENU WA UBELGIJI AMBAYE ANATETEA HAKI ZA WANAUME WA KINONDONI. ETI WATANGANYIKA , NASEMA HIVI MITANO TENA KWA MAMA.... KAMA WEWE YAKUUMA KAHAMIE MACHAME HUKO
 
RIP Ulomi .Mungu awape faraja familia yake ,mke na watoto na ndugu zake na taifa kwa jumla.Uzuri kila nafsi itaonja mauti na ninaamini kuwa waliofanya mshahara wa dhambi ni mauti pia .Ila Safari hii hata hao 'Investor " wameanza kuogopa aisee niko na moja nam process document zake ananiuliza ,mimi naona Tanzania sio salama kama na TRA ,polisi wanaua watu badala ya kuwalinda anafikiria mara mbili mbili saa hii.
Kwasababu ya ujinga wa watu wachache na watawala kufumbia macho haya yanayotokea tunakosa investors ambao wangeleta ajira kwa vijana.
 
RIP Ulomi .Mungu awape faraja familia yake ,mke na watoto na ndugu zake na taifa kwa jumla.Uzuri kila nafsi itaonja mauti na ninaamini kuwa waliofanya mshahara wa dhambi ni mauti pia .Ila Safari hii hata hao 'Investor " wameanza kuogopa aisee niko na moja nam process document zake ananiuliza ,mimi naona Tanzania sio salama kama na TRA ,polisi wanaua watu badala ya kuwalinda anafikiria mara mbili mbili saa hii.
Kwasababu ya ujinga wa watu wachache na watala kufumbia macho haya yanayotokea tunakosa investors ambao wangeleta ajira kwa vijana.
 
Wewe ni mjinga kabisa. Kibao aliwauwa na serikali, Ben Saanane aliuawa na serikali tena kwa jambo dogo kabisa la kuhoji elimu ya Magufuli. Mdude alipigwa nusu ya kufa. Sativa alinusuruka kwa kudra. Narudia tena na tena. Wewe ni mpumbavu mkubwa. Subiri kuna siku litakupa wewe au ndugu yako.
CCM ITAENDELEA , MNATUMIA VIFO KUPIGA KAMPENI KWA SABABU HAKUNA MLICHOFANYA MIAKA MLIYOKUWA BUNGENI. NATAMANI HILI LICHAMA LA CHADEMA LIFUNGIWE KUWE NA CHAMA KIMOJA. MAMA SIMPINGI AU KUMKOSOA ILA KUWAACHIA HAWA MAJAMAA WA CHADEMA KUFANYA KAMPENI NAHISI KWA UPANDE WANGU SIO JAMBO JEMA...
 
Kama ni kweli hivi vikundi vinavyoendesha huu uharamia havihusiki na serikali na serikali imeshindwa kuvishughulikia ili kukomesha hayo mauaji basi ni dhahiri uongozi uliopo madarakani haufai kuendelea kutuongoza.
Nimeshawahi kutoa ushauri humu kwamba uongozi wa polisi ubadilishwe na naendelea kushauri tena ni muda muafaka sasa kubadilisha uongozi wa vyombo vyote vinavyohusika na usalama wa raia maana hali imezidi kuwa mbaya na hatuoni juhudi za dhati kukomesha mauaji yanayoendelea kutokea kila kukicha zaidi ya kauli za kejeli za watawala kwa watu wanaopiga kelele kuhusu hiki kinachoendelea kwamba eti wanaopotea wanajiteka wenyewe!
 
CCM ITAENDELEA , MNATUMIA VIFO KUPIGA KAMPENI KWA SABABU HAKUNA MLICHOFANYA MIAKA MLIYOKUWA BUNGENI. NATAMANI HILI LICHAMA LA CHADEMA LIFUNGIWE KUWE NA CHAMA KIMOJA. MAMA SIMPINGI AU KUMKOSOA ILA KUWAACHIA HAWA MAJAMAA WA CHADEMA KUFANYA KAMPENI NAHISI KWA UPANDE WANGU SIO JAMBO JEMA...
Umetumwa kunyutrolaizi..sio bure unalipwa ndio maana unatufokea kwa herufi kubwa
 
Achana na huyo juha. Mijuha ya aina hii mpaka siku likimpata yeye ndiyo anaamini. Akili za nyumbu.
SIKU UKIJA VAMIWA NA MAJAMBAZI UNAKIMBILIA POLISI, NATAKA WAKUJIBU "NENDA UKAPINGE MITANO TENA" NDIO UTAONA KAMA NI VYEMA KUWATUMIA WATU WALIOPATA MISIBA KUFANYA KAMPENI. UKIUMIZWA KIDOGO UNAKIMBILIA POLISI UNAOWAITA WAUAJI. SI UENDE MACHAME HUKO MKAUNGAME MJE WATAFUTA WEZI. POLISI MNATAKA WA NINI?
 
Narudia tena umeonyesha upumbavu wa hali ya juu. Hao niliorodhesha waliuawa na serikali. Walikuwa na nini cha hatari? Unakuwa ana akili kama kima bwana!
Saliva alitakiwa afungwe jela ، anatoa habari za uongo, matusi, kejeli etc. Ila mama ana huruma zilizozidi. Mi nahisi lazima mama ashauriwe hawa majambazi na wachochezi wafungwe Ndani wapokonywe account zao
 
Umetumwa kunyutrolaizi..sio bure unalipwa ndio maana unatufokea kwa herufi kubwa
CHADEMA NI KELELE ZA MITANDAONI. UKITOA HOJA HAKUNA ANAYEJIBU. NI MATUSI NA KULALAMIKA KWAMBA TUMETUMWA. MAJUKWAA YENU YOTE NI KUISEMA CCM, NA MNAFANYA HIVI KWA SABABU CCM IMEWASHINDA KIMAENDELO NDIO MAANA MNA CHUKI NAYO. WANANCHI HAWAHITAJI CHAMA KINGINE KISICHOJIELEWA KAMA CHADEMA, CHAMA CHA KIDICTETA MWENYEKITI ANAKAA MIAKA ZAIDI YA KUMI HATAKI KUACHIA NGAZI.
 
Back
Top Bottom