Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mbona kama unatufokea ingawa unaweza kuwa na hoja ,hebu kaangalie macho marehemu tena .Vifo vingine vinatokana na dhuruma kuiba wake za watu nk. Sidhani kama kufikiria serekali ya fisiemu inauwa hawa watu wote ni sahihi
let be reasonable guys. Serekali haiwezi kuuwa watu hovyo ikuuwe ww nani!!?? Yani serekali ije ikuuwe ww tigopesa kuweni na heshima kidogo basi
Kauwawa na Polisi kwa kushirikiana na TRAMfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3177965
Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11 Desemba 2024.
Juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro zinaendelea, baada ya simu zake kuita bila kupokelewa.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu, Desemba 16, 2024 baba mkwe wa Ulomi, Japhet Munisi amesema alipigiwa simu leo asubuhi na mke wa marehemu, akimjulisha kuwa amepata taarifa kuwa mwili wa mumewe uko hospitali.
Pia, Soma:
• Mfanyabiashara Ulomi apotea, familia na Polis wanamtafuta
• TRA: Hatuhusiki na kupotea kwa mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi
• Polisi waanza kumtafuta Ulomi anayedaiwa kupotea
Stick kwenye hoja uliyoielewaWe mbona kama unatufokea ingawa unaweza kuwa na hoja ,hebu kaangalie macho marehemu tena .
Polisi ndio wauaji watajichunguzaje?Dah uchunguzi uanzie kwa walioupeleka mwili hapo hospitali, hii itatoa a lead ya walipoupata na mazingira gani then mambo yatajipambanua tu
Siyo huyu!, unachanganya na yule waliosema kauza gari la harusi nadhani.Halafu ilisikika kima moja ikiwa imevaa magwanda kuwa jamaa kajiteka.
Hapo vipi bado tu mnanibishia ...chadema watabisha😅😅😅Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3177965
Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11 Desemba 2024.
Juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro zinaendelea, baada ya simu zake kuita bila kupokelewa.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu, Desemba 16, 2024 baba mkwe wa Ulomi, Japhet Munisi amesema alipigiwa simu leo asubuhi na mke wa marehemu, akimjulisha kuwa amepata taarifa kuwa mwili wa mumewe uko hospitali.
Pia, Soma:
• Mfanyabiashara Ulomi apotea, familia na Polis wanamtafuta
• TRA: Hatuhusiki na kupotea kwa mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi
• Polisi waanza kumtafuta Ulomi anayedaiwa kupotea
you got thinking capability so lowWewe ni kichaa na mijadala huiwezi. Hoja zangu nimeziweka katika mfumo wa maswali ambayo tukipata majibu tunaweza kupata mwanga kuelekea kwenye viashiria vya chanzo kilichopelekea kifo chake.
Nimeuliza alikuwa na biashara nyingine? Kama alikuwa nazo kwanini hazijaorodheshwa kama ilivyokuwa kwa hizo nyingine za miamala ya kifedha?
Well, kama anazo ni biashara gani? Ni mizigo ya aina gani aliyokuwa anafuatilia?
Wewe ni mjinga kabisa. Kibao aliwauwa na serikali, Ben Saanane aliuawa na serikali tena kwa jambo dogo kabisa la kuhoji elimu ya Magufuli. Mdude alipigwa nusu ya kufa. Sativa alinusuruka kwa kudra. Narudia tena na tena. Wewe ni mpumbavu mkubwa. Subiri kuna siku litakupa wewe au ndugu yako.Vifo vingine vinatokana na dhuruma kuiba wake za watu nk. Sidhani kama kufikiria serekali ya fisiemu inauwa hawa watu wote ni sahihi
let be reasonable guys. Serekali haiwezi kuuwa watu hovyo ikuuwe ww nani!!?? Yani serekali ije ikuuwe ww tigopesa kuweni na heshima kidogo basi
Mjinga babayako matko wwWewe ni mjinga kabisa. Kibao aliwauwa na serikali, Ben Saanane aliuawa na serikali tena kwa jambo dogo kabisa la kuhoji elimu ya Magufuli. Mdude alipigwa nusu ya kufa. Sativa alinusuruka kwa kudra. Narudia tena na tena. Wewe ni mpumbavu mkubwa. Subiri kuna siku litakupa wewe au ndugu yako.
Achana na huyo juha. Mijuha ya aina hii mpaka siku likimpata yeye ndiyo anaamini. Akili za nyumbu.Akili yangu achana nayo, unaweza jibu Hospital amefkishwa na kina nani?
Au wewe ndio mtekaji ? Maana unahalalisha vitu havina kichwa wala miguu..
Narudia tena umeonyesha upumbavu wa hali ya juu. Hao niliorodhesha waliuawa na serikali. Walikuwa na nini cha hatari? Unakuwa ana akili kama kima bwana!Mjinga babayako matko ww
Namimi narudia tena mtko ya bbkoNarudia tena umeonyesha upumbavu wa hali ya juu. Hao niliorodhesha waliuawa na serikali. Walikuwa na nini cha hatari? Unakuwa ana akili kama kima bwana!
Mbona kwenye habari wamesema wazi kwamba aliagiza vifaa vya ujenz wa nyumba yao ndio akapigiwa simu vimefika lakini wakala wa clearing anamujitaj aende bandarini vikakaguliwe kwa msingi kwamba TRA wanataka awepo ili kuepusha kama kuna uharibifu au upotevu..Wewe ni kichaa na mijadala huiwezi. Hoja zangu nimeziweka katika mfumo wa maswali ambayo tukipata majibu tunaweza kupata mwanga kuelekea kwenye viashiria vya chanzo kilichopelekea kifo chake.