TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

Vifo vingine vinatokana na dhuruma kuiba wake za watu nk. Sidhani kama kufikiria serekali ya fisiemu inauwa hawa watu wote ni sahihi
let be reasonable guys. Serekali haiwezi kuuwa watu hovyo ikuuwe ww nani!!?? Yani serekali ije ikuuwe ww tigopesa kuweni na heshima kidogo basi
We mbona kama unatufokea ingawa unaweza kuwa na hoja ,hebu kaangalie macho marehemu tena .
 
Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3177965
Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11 Desemba 2024.

Juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro zinaendelea, baada ya simu zake kuita bila kupokelewa.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu, Desemba 16, 2024 baba mkwe wa Ulomi, Japhet Munisi amesema alipigiwa simu leo asubuhi na mke wa marehemu, akimjulisha kuwa amepata taarifa kuwa mwili wa mumewe uko hospitali.

Pia, Soma:

Mfanyabiashara Ulomi apotea, familia na Polis wanamtafuta
TRA: Hatuhusiki na kupotea kwa mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi
Polisi waanza kumtafuta Ulomi anayedaiwa kupotea
Kauwawa na Polisi kwa kushirikiana na TRA
 
Hapo vipi bado tu mnanibishia ...chadema watabisha😅😅😅
 
Wewe ni kichaa na mijadala huiwezi. Hoja zangu nimeziweka katika mfumo wa maswali ambayo tukipata majibu tunaweza kupata mwanga kuelekea kwenye viashiria vya chanzo kilichopelekea kifo chake.

Nimeuliza alikuwa na biashara nyingine? Kama alikuwa nazo kwanini hazijaorodheshwa kama ilivyokuwa kwa hizo nyingine za miamala ya kifedha?

Well, kama anazo ni biashara gani? Ni mizigo ya aina gani aliyokuwa anafuatilia?
you got thinking capability so low
 
Vifo vingine vinatokana na dhuruma kuiba wake za watu nk. Sidhani kama kufikiria serekali ya fisiemu inauwa hawa watu wote ni sahihi
let be reasonable guys. Serekali haiwezi kuuwa watu hovyo ikuuwe ww nani!!?? Yani serekali ije ikuuwe ww tigopesa kuweni na heshima kidogo basi
Wewe ni mjinga kabisa. Kibao aliwauwa na serikali, Ben Saanane aliuawa na serikali tena kwa jambo dogo kabisa la kuhoji elimu ya Magufuli. Mdude alipigwa nusu ya kufa. Sativa alinusuruka kwa kudra. Narudia tena na tena. Wewe ni mpumbavu mkubwa. Subiri kuna siku litakupa wewe au ndugu yako.
 
Mjinga babayako matko ww
 
TUKIWAAMBIENI WANAWAKE KUWA VIONGOZI NI UPUMBAVU HUWA AMUELEWI ...IMEHALIBIKIWA JAMII ILE AMBAYO MAMBO YAKE YANA AMULIWA NA WANAWAKE ....NI MIPUMBAVU MITOTO ILE INAYOSEMA BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU 😁😁😁😁 .

Samia umejaa laana na abdul mzawa watumbo lako kalaaniwa tokea sasa vizazi vyote watakuita mlaaniwa.
 
Wewe ni kichaa na mijadala huiwezi. Hoja zangu nimeziweka katika mfumo wa maswali ambayo tukipata majibu tunaweza kupata mwanga kuelekea kwenye viashiria vya chanzo kilichopelekea kifo chake.

Nimeuliza alikuwa na biashara nyingine? Kama alikuwa nazo kwanini hazijaorodheshwa kama ilivyokuwa kwa hizo nyingine za miamala ya kifedha?

Well, kama anazo ni biashara gani? Ni mizigo ya aina gani aliyokuwa anafuatilia?
Mbona kwenye habari wamesema wazi kwamba aliagiza vifaa vya ujenz wa nyumba yao ndio akapigiwa simu vimefika lakini wakala wa clearing anamujitaj aende bandarini vikakaguliwe kwa msingi kwamba TRA wanataka awepo ili kuepusha kama kuna uharibifu au upotevu..

Ndio kwenda na piki pik na kupotea mazima... Kaubukia mortuary ya Mwananyamala RH
 
Back
Top Bottom