TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

Hoja gani umetoa kwani haijajibiwa..tuanzie hapo kwanza..lol
 
Hoja gani umetoa kwani haijajibiwa..tuanzie hapo kwanza..lol
CHADEMA MNATUMIA MISIBA KUFANYIA KAMPENI, KWANZA HAMNA USHAHIDI WOWOTE ، CHA PILI CHADEMA HAKUNA MLICHOFANYA MLIVYOKUWA BUNGENI MPAKA WANANCHI WAKAWAFUKUZA NYOTE KWA KUWANYIMA KURA, TUNAMSUHUKURU HAYATI MAGUFULI KWA KAZI NZURI ALIZOFANYA MPAKA WATU WAKAONA COVID 19 YA WABUNGE IKAE PEMEBENI. HAYATI MAGUFULI AKAWAONEA HURUMA AKAWALETA BUNGENI KAMA VITI MAALUM SIJUI, HAKUTUFANYIA JAMBO ZURI ILA HATUWEZI MLAUMU COZ AMEFANYA MAZURI MENGI NA TULIAMINI ANAWALETA BUNGENI KUNA KITU AMEONA. ILA CHADEMA HAISTAHIKI HATA KUPEWA MTAA KUONGOZA. MAMA ANA HURUMA ANAWEZA WAPA UBUNGE BAADHI LAKINI NAMSIHI AFUATE KURA. KAMA WANANCHI TUMEAMUA KUWAWEKA BENCHI COVID 19 TUNAOMBA WASIINGIZWE KWENYE BUNGE. KODI ZETU NDIO ZINAWALIPA SIO VIONGOZI. SIWAPANGII KAZI VIONGOZI ILA NI OMBI HILO KWA MAMA SAMIA، IKIWA TUMEWATOA CHADEMA TUNAOMBA KURA ZETU ZITHAMINIWE NA WASILETWE BUNGENI KUJA TOA MATUSI. RAISI ANA HAKI YA KUCHAGUA MTU YYTE ILA HAWA VIUMBE WA MACHAME WASICHAGULIWE
 
Police pamoja na mama wameshindwa ku protect watanzania wenzetu...nyingine zote sijui umetoa wapi..lol
 
My observatiosn;
1. Umekutwa Mwananyamala, nani ameupeleka? coz haujajipeleka kutoka khuko kwenye tukio
2. Una majeraha? kama una majeraha ni ya namna gani, ajali, kuchomwa na kitu chenye ncha kali au kupigwa na vitu butu kama hana majeraha kuna dalili gani za sababu ya kifo mfano kifo kinachosababishwa na kemikali zozote zile kula kunywa , kufukizwa etc, Postermotum itoe majibu
3. Alitoka na pikipiki sinza kijiweni, je pikipiki imepatikana? iko katika hali gani ya ajali, kufichwa au vinginevyo?
4. Mawasiliano yake ya mwisho yakoje kuanzia yule Agenti ugomboaji mizigo na kuendelea.

Tupate majibu haya then tusonge mbele!!!
 
Yani upo sahihi kabisa mkuu mi nashangaa wanaoitupia lawama Gavoo, mtu kama umeishi nchi zenye matukio utaelewa mambo ya kisasi unaweza mpiga mtu ukampasua ila kisasi chake akikudaka anakumwagia njugu
 
Hayo yote yatajulikana katk uchunguzi hakuna uhalifu usioacha footprint
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…