Hawa watu wanadakwa na kuuliwa bila maelezo ukute ndio hawa hawa wanaochangia mitandaoni.. Tulinde accounts zetu
Uko sahihi mkuu. Kuna accounts tokea wamwue yule mzee wa Chadema, humu zimepotea.
johnthebaptist, imhotep au nasema uongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu wanadakwa na kuuliwa bila maelezo ukute ndio hawa hawa wanaochangia mitandaoni.. Tulinde accounts zetu
Hao hao mawakala wadakwe wahojiwe vizuri na wachunguzwe yani hakuna uhalifu usioacha alama , ukishakuwa tajiri bila kuwa na akili za kimafia unakufa mapemaMbona kwenye habari wamesema wazi kwamba aliagiza vifaa vya ujenz wa nyumba yao ndio akapigiwa simu vimefika lakini wakala wa clearing anamujitaj aende bandarini vikakaguliwe kwa msingi kwamba TRA wanataka awepo ili kuepusha kama kuna uharibifu au upotevu..
Ndio kwenda na piki pik na kupotea mazima... Kaubukia mortuary ya Mwananyamala RH
Aiseeee🙌🏿🙌🏿Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3177965
Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11 Desemba 2024.
Juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro zinaendelea, baada ya simu zake kuita bila kupokelewa.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu, Desemba 16, 2024 baba mkwe wa Ulomi, Japhet Munisi amesema alipigiwa simu leo asubuhi na mke wa marehemu, akimjulisha kuwa amepata taarifa kuwa mwili wa mumewe uko hospitali.
Pia, Soma:
• Mfanyabiashara Ulomi apotea, familia na Polis wanamtafuta
• TRA: Hatuhusiki na kupotea kwa mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi
• Polisi waanza kumtafuta Ulomi anayedaiwa kupotea
Kiutani tu jamaa ameenda!Ila jamani....Nimeumia sana😭
Nani kaupeleka huo Mwili? Taifa sio mbali mawe ndio yataongea kwa niaba ya Mazezeta ya Tanzania
BAK yupo wapi jamani..Uko sahihi mkuu. Kuna accounts tokea wamwue yule mzee wa Chadema, humu zimepotea.
johnthebaptist, imhotep au nasema uongo?
Watasema alipata ajali ya pikipiki akaletwa hapo na hiyo pikipiki yenyewe😀Dah uchunguzi uanzie kwa walioupeleka mwili hapo hospitali, hii itatoa a lead ya walipoupata na mazingira gani then mambo yatajipambanua tu
Kwa kutumia polisi gani? Hio imeisha hio hakuna muendelezo hapoDah uchunguzi uanzie kwa walioupeleka mwili hapo hospitali, hii itatoa a lead ya walipoupata na mazingira gani then mambo yatajipambanua tu
Ti elo esi 😂😂BAK yupo wapi jamani..
Una uhakika alipata ajali?Dah! Ama kweli pikipik sio usafr wa kuamin hata kidogo hasa hapo mjini, bora kupanda hata daladala ila pikipiki inakatisha ndoto za vijana wengi