Hapa sio china mzee.Sisi wananchi tunachotaka ni bidhaa kwa bei ya chini nyie madalali mtajijua dunia ni soko huria ,kariakoo walijaa Wachagga wezi wezi tu kuibia WATU wasiojua bei acha wachina wawavunde tena serikali iwahi haraka
USSR
CorrectPale imejengwa ofis na karakana za mwendo kasi
Kuwe na level playing field. Nimesoma hapo kuwa hawa watauza halafu ndio walipe kodi. Wakati wa kariiakoo analipa kodi kabla Huoni kuna issue hapo?Siyo ujinga. Monopoly ni mbaya kwa mteja na competition ni nzuri.
Kama Wachina watauza kwa bei ya chini bidhaa zile zile ni heri kwa mteja. Na hilo ni jambo jema...
Turuhusu competition ya watoa huduma na makampuni. Ndivyo mambo yalivyo huko nchi za wenzetu. Monopoly ni adui!
Kariakoo ndilo soko la nje (open market) kubwa zaidi Africa mashariki kati na kusini. Inashangaza serikali kutaka kuuwa soko hili maarufu Africa!Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakua na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.
Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Sera ya uchumi ya serikali ya JMT Ni ipi hasa?Wanaibia wanunuzi na serikali kwa ujumla kwa tamaa ya faida kubwa isiyoendana na huduma (bidhaa). Mfano kiatu anauza 50,000 apate faida ya 15,000 nje ya kodi. Kiatu hichohicho nikiagiza china kinagharimu 30,000 kila kitu hadi nakivaa
Rais atengue uteuzi wa Mwigulu japo ni mshikaji wake, ataliangamiza taifa kwa kiburi chake na ubinafsi uliopitilizaKati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakua na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.
Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
nawaza kotekote, naona kama ni sawa tu, badala ya kwenda china wafanyabiashara wanunue hapo wapeleke kwenye maduka yao kariakoo, lakini pia tuikumbuke tanzania yote si kariakoo tu. wafanya biashara wa mikoani kote tanzania waende hapo watuletee bidhaa huku vijijini kwa bei chee. naamini serikali itakusanya kodi maradufu kuliko inavyokusanya saa hivi kariakoo maana na cc watz ni janjawiid sana kwenye kodi. hebu waje tuwaone tuzione changamoto zake, tukiona haina manufaa tunawafurushia mbali sana, tunaanza upya. TUSIOGOPEKati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakua na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.
Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Katakuwa hakajui mambo ya market segment! Kanafikri watu wote huwa wanakimbilia kwenye bei ya chini!Tuache mihemko,, Duniani kote kwenye inchi zilizoendelea magulio yapo kila kitongoji.
Tusikariri maisha kwamba lazima watu wote wajazane kkoo..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Kwa muuzaji unashauri hicho kiatu auze bei gani kwenye duka lenye Lundo la Tozo na gari lenyewe linalopaki bara barani huko lina Tozo pia..Wanaibia wanunuzi na serikali kwa ujumla kwa tamaa ya faida kubwa isiyoendana na huduma (bidhaa). Mfano kiatu anauza 50,000 apate faida ya 15,000 nje ya kodi. Kiatu hichohicho nikiagiza china kinagharimu 30,000 kila kitu hadi nakivaa
Mwigulu anatakiwa kuwepo kwenye nafasi yake kwa miaka yote 10 ya Dr. Samiah.Rais atengue uteuzi wa Mwigulu japo ni mshikaji wake, ataliangamiza taifa kwa kiburi chake na ubinafsi uliopitiliza
Unawapangia miaka 10 ijayo wakati hata kesho yao hawaijui. Jifunze kwe yule mwehu aliyetaka kubadilisha katiba ili awe rais wa maisha sasa hivi anasumbuana na mashetani wenziwe huko jehanumMwigulu anatakiwa kuwepo kwenye nafasi yake kwa miaka yote 10yaDr.
Mimi kama mteja kwa kweli sijali. Nitakwenda kwa atakayeuza ninachokihitaji kwa bei rahisi. Hayo ya kodi wafanyabiashara watajuana na TRA yao huko. Si wana umoja unaowatetea ama?Kuwe na level playing field. Nimesoma hapo kuwa hawa watauza halafu ndio walipe kodi. Wakati wa kariiakoo analipa kodi kabla Huoni kuna issue hapo?
Tufee tuu Kwanza hatuna msaada na mchango wowote unproductive people.Twafaa
Ujumbe wako ni mzuri ila umeharibu tu unaoonesha chuki zako kwa Wachaga.Sisi wananchi tunachotaka ni bidhaa kwa bei ya chini nyie madalali mtajijua dunia ni soko huria ,kariakoo walijaa Wachagga wezi wezi tu kuibia WATU wasiojua bei acha wachina wawavunde tena serikali iwahi haraka
USSR
Dah makontena ya madawa ya kulevyaUsikute hii hasara ya nchi ni katika lile dili la kumuokoa Ridhiwani asinyongwe China pale alipokamatwa na makontena ya madawa ya kulevya. Sitoshangai kama Kikwete alihusika hapa, Ridhiwani kalitia hili taifa hasara sana eti leo kawa naibu waziri?