Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #381
Ukipeleka kikosi kidogo ndo udhalilishwe hivo?Bado sana kumpa hiyo nafasi.
Jeshi letu lilienda kwa mgongo wa UN, Monusco na SADC.
Wajuvi mnajua wazi ukienda kwa mwavuli tajwa hapo juu ni sawa na umefungwa mkono mmoja.
Hauko kwenye mapigano ya moja kwa moja zaidi ya kujihami mnaposhambuliwa.
Pili.
Tulipeleka kikosi kidogo tu hivyo naona wengi tunachangia kimhemko
Yes, ni Utaratibu wa Kawaida ktk Securitu CheckSio kosa, wanatimiza majukumu yao na hakuna udhalilishaji hapo
Mkuu huo ni ukaguzi wa kawaida, hata sisi tusingeruhusu wengine wapite bila kuwakaguaUkipeleka kikosi kidogo ndo udhalilishwe hivo?
ni nini kiliwapeleka huko kama haya unayosema wanayajuajeshi letu la Tanzania ni makini sana hakuna haja ya kumwaga damu za vijana wetu kisa nchi ya watu wajinga walioshindwa kulinda mipaka yao
Jf sijui imekumbwa na nini kila kitu tunaingiza siasa na upandeYes, ni Utaratibu wa Kawaida ktk Securitu Check
Mkuu huo ni ukaguzi wa kawaida, hata sisi tusingeruhusu wengine wapite bila kuwakagua
Hayo mabegi makubwa yamejaa nini?wamebeba nini humo?Jeshi la Tanzania liko mpakani mwa Rwanda na DRC Rubavu Boarder post , wakikaguliwa na polisi wa kawaida wa Rwanda. Hii ilitokea baada ya M23 kuteka jiji lote la Goma, na wakaacha silaha zao zote mikononi mwa M23.
Jeshi huwa ni.makini kwenye midomo ila hamna kitu,jeshi letu la Tanzania ni makini sana hakuna haja ya kumwaga damu za vijana wetu kisa nchi ya watu wajinga walioshindwa kulinda mipaka yao
Walikwenda kulinda amani tu , kwa maelekezo na taratibu za muajiri wao wa muda UN sio kwenda kupigana na Kagame au M23ni nini kiliwapeleka huko kama haya unayosema wanayajua
Yale magogo wanaobebaga uwanja wa mkapa πππππππHayo mabegi makubwa yamejaa nini?wamebeba nini humo?
Sasa unataka wapigane kisa nini ? ugomvi wa M23 na jeshi la DRC sio waoJeshi huwa ni.makini kwenye midomo ila hamna kitu,
Sena hajatokea jeshi akaguliwe na policeNi kama mwanajeshi wetu hakupenda kukaguliwa na hao jamaa ukimuangalia mwanajeshi wetu alikuwa very serious na alikuwa anaheshimu tu mamlaka ya nchi za watu ila ukiangalia wanaomkagua ni wepesi sana kwa mwanajeshi wetu.
Watu wanajadili vitu ambavyo hawavijui ni shida kubwa sanaSasa hapo wamwdharilishwaje, Wakati wamepewa hifadhi baada ya kuzidiwa Mabambano?
Mlitaka wanajeshi wa TZ waingie na bunduki zao Rwanda? Hilo halipo duniani kote
Mama Samia kalidhslilisha jeshi la wananchi wa Tanzania.Yaani TPDF inanyanyasika kiasi hicho sbb ya M23?
Walienda kupambgana mkuu, na siraha nyingi zao zimetekwa na M23, hangalia hio video sio kwamba wamenda kwajiri ya UN, kwani UN Saiv ipo goma,Walikwenda kulinda amani tu , kwa maelekezo na taratibu za muajiri wao wa muda UN sio kwenda kupigana na Kagame au M23