Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

We nae huna akili,sasa nchi na nchi ziingie vitani kisa tu mwanajeshi kapekuliwa kisheria,
 
We nae huna akili,sasa nchi na nchi ziingie vitani kisa tu mwanajeshi kapekuliwa kisheria,
Mimi nimewakilisha maoni ya wananchi waliotaka vita na kuifungia Rwanda mipaka. Na ukiangalia hiyo post ya X utaona baadhi ya maoni ya wananchi mkuu. Mimi nipo kinyume nao. Ndio maana nimewashangaa sana. Na hata kama ni suala la vita, Kagame hayuko peke yake mkuu. So, wanaotaka vita wanapaswa kuwa makini sana. Kwenye suala la vita Rwanda yupo vizuri sana.
 
Ifikie hatu tanzania na yenyewe iwe na jeshi la pembeni(so far mnawaita waasi wanaosumbua nchi zingine) huyu kagame ukimvamia jiandae kushambuliwa kutokea rwanda congo na burundi. Utajua hao wavamizi waliandaliwa lini na nani huwa anawalipa
 
Ifikie hatu tanzania na yenyewe iwe na jeshi la pembeni(so far mnawaita waasi wanaosumbua nchi zingine) huyu kagame ukimvamia jiandae kushambuliwa kutokea rwanda congo na burundi. Utajua hao wavamizi waliandaliwa lini na nani huwa anawalipa
Huyu jamaa wamuache tu kama alivyo. Kumgusa Kagame ni sawa na kutimua mzinga wa nyuki sokoni. Watu watatafutana aisee!

Wakati nikiwa mdogo kulikuwa na aina fulani ya uchokozi, usipokuwa makini unaweza ukajikuta unaumia. Unakuta mvulana mkubwa kamuandaa mvulana au mtoto mdogo aje kukuchokoza.....ukijibu mapigo tu, mvulana mkubwa anatokea na kukupa kipigo cha mbwa mwizi!
 
Acha ujinga kijana. Tofautisha kupigana vita ukiwa chini ya maamuzi ya nchi yako na ya wakubwa wako na kupigana vita ukiwa chini ya usimamizi wa UN.

UN wapo na sheria zao ambazo ki ukweli huwa zinawafunga mikono walinda amani. Mfano waasi huwa na tabia ya kuwatumia watoto kwenye vita vyao kama ngao yao. Ukiwapelekea moto watoto hao UN itaingilia na kupiga kelele kwamba jeshi lako linatumia nguvu kubwa kuuwa watoto wasiokuwa na hatia.

Halikadhalika sometimes huwatumia hadi wanawake kufanya mashambulizi, mkijibu UN inaingilia kati kwamba jeshi lenu limepata kashfa ya kuwashambulia wanawake wasiokuwa na hatia na mbaya zaidi wanajeshi wenu watapewa kesi za kuwabaka wanawake hao hali itakayopelekea waasi wapate ushindi kwa sababu ya mikakati ya aina hiyo.

Leo hii M23 wanatumia mpaka raia wa kawaida kufanya mashambulizi yao kwa vikosi vya jeshi. Ila mtaporusha majibu utasikia UN inalalamika kuwa jeshi lenu linatumia nguvu kushambulia raia. UN inasahau kuwa hao raia mnaowashambulia ni miongoni mwa waasi wanaotumiwa na M23 kufanya mashambulizi kwa wanajeshi wetu.

So kwa sheria za aina hii kuwashinda wapiganaji ambao hawana wa kuwa control hata wakitumia vitoto vichanga kujilinda ni vigumu sana.
 

Attachments

  • Screenshot_20250303-131848.jpg
    292.4 KB · Views: 1
Rwanda ni taifa teule hapa Afrika kama ilivyo Israel kule Mashariki ya Kati. Tuwe makini na tuchukue tahadhari kuepuka uchokozi wowote kutoka Rwanda.
 
Ifikie hatu tanzania na yenyewe iwe na jeshi la pembeni(so far mnawaita waasi wanaosumbua nchi zingine) huyu kagame ukimvamia jiandae kushambuliwa kutokea rwanda congo na burundi. Utajua hao wavamizi waliandaliwa lini na nani huwa anawalipa
Tanzania is not powerful as it used to be, but also not weak as it seems.

Michezo anayoifanya Rwanda mwaka 2025, Tanzania ilianza kuifanya mwaka 1960's, Raisi Paul Kagame akiwa mkimbizi wa miaka isiyozidi 10 kwenye kambi za Mbarara kule nchini Uganda.

Hakuna taifa limewahi kulalamikiwa hapa Afrika hasahasa kule OAU kama Tanzania ya Mzee Nyerere, kwamba inaunga mkono makundi ya waasi wanaovuruga nchi za majirani. Mobuthu, Amini, Moi, Obote, Banda, Gowon na wengine wote waliwahi kulalamika juu ya Tanzania.

Utofauti mkubwa baina ya Tanzania na Rwanda ni huu hapa:
Mosi
, kila kundi la waasi ambalo Tanzania imeliunga mkono limefanikiwa kushika nchi yakiwemo FRONASA la Museveni na RPF ya Rwigyema. Taasisi za kiusalama za Tanzania zina utaalamu wa hali ya juu mno wa kuendesha hizi siasa za makundi (Proxy War and Politica Insurrection) huenda ambaye anaweza kulinganishwa na Tanzania ni Misri, Morocco, Algeria na Ethiopia.

Pili, Tanzania ikiingia kwenye mtafaruku wa kijeshi na ikavurunda kitakachoanguka ni CCM au Raisi ambaye atakuwepo madarakani kipindi hicho. Atatolewa na mwingine ataingia na ukarasa mpya utaanza. Nchini Rwanda, wakiingia kwenye vita na wakavurunda watakaoanguka ni Kagame na Tutsi Elites na nchi itarudi kwenye machafuko mabaya mno.

Tanzania ina madhaifu mengi, lakini ina mbadala wa kisiasa kuanzia ndani ya CCM hadi UPINZANI. Rwanda Kagame mpaka sasa hana mbadala, maana tangu mwaka 1959 tangu Kigeli apinduliwe na Gen Kayibanda, hakuna Raisi wa Rwanda amewahi kuingia kwa njia ya amani. Akiondoka Kagame, Rwanda ndiyo kwisha habari yake hivyo. WE JUST SHOOT THE HEAD AND THE BODY WILL FALL.
========================================================
MUHIMU KUKUMBUKA:
Tanzania haina hata haja ya kutumia nguvu kubwa kupambana na Rwanda. Pale Kivu kuna idadi ya watu Milion 9. Ambapo Milioni 5 ni Bantu Congolese, 3 million Hutu Refugees, huku 70000-150000 ni Banyamulenge (Kinyarwanda Speakers). Ukizingatia hili utafahamu kwamba Watutsi ni Minority kuanzia Rwanda hadi Kivu.

Tanzania na SADC inachotakiwa kufanya ni kile ambacho Rwanda imekuwa ikikiogopa na kukiota usiku kama jinamizi. Kulitambua kihalali kundi la kihutu la FDLR ambalo endapo litatambulika, litapata uhalali kimataifa (Will get out of diplomatic isolation). FDLR wakitambuliwa na SADC watakuwa wanafanya kazi ndani ya nchi zote za SADC na kupata wapiganaji tokea Burundi, DRC na Tanzania.

Ukizingatia idadi ya Wahutu nchini DRC, endapo FDLR itatambulika rasmi, kupewa mafunzo, na silaha, Rwanda na Uganda watatia akili. Ubaya zaidi silaha nyingi ni rahisi kwa Tanzania kuzipata hata kwenye Black-Market na kupitishwa bandarini kirahisi, then Kigoma-Burundi, DRC.

=======================================================

-Rwanda haiwezi kufanya operation kubwa dhidi ya DRC bila Zambia na Angola.
-Rwanda haiwezi kufanya operation dhidi ya Tanzania ikitegemea Mombasa.
-Tanzania ina watu wengi na rasilimali za kuweza kupamba na Rwanda muda mrefu.

=======================================================
Tutsis are way over their heads:

King Mutesa welcomed them to Uganda as refugees, but they turned against him and massacred thousands of Buganda people when Museveni took over.

Museveni gave them a country and when they got back, they dared to cause of massacre of more than 2000 UPDF Soldiers at Kisangani. Minerals and Greed.

Kabila welcomed them in 1997, and they wanted to curve a country for themselves and turn it into a Tutsi fiefdom. They later invaded DRC and assassinated Kabila.

This time, their hubris has gone too far. Ni suala la muda tu....
 
Rwanda ni nchi ndogo kijiografia lakini ni kubwa kijeshi. Rwanda na iheshimiwe na watu wote.
 
Thubutu ukione kilichomtoa kanga manyoya
 
Thubutu ukione kilichomtoa kanga manyoya
Mwaka 2013, waliomtandika Rwanda na kufanya ukusanyaji wa taarifa ni FDLR.

Kiukweli, endepo Rwanda atajidanganya na watusi waliopo Tanzania wakaingia kwenye huo mkumbo wa kipumbavu. Then, believe me, they'll be a bloodbath.

Tatizo ni kwamba Tanzania inafanya Security through Opacity.
 
Hatua unazosema ndo zinazopaswa kuchukuliwa.
 
Ukitathmini mapungufu ya kuwa na lugha ya kiswahili..moja kubwa ni kuwabadilisha watanzania tabia yao..lugha ya kiswahili imewafanya watanzania kuwa waongo, wenye maneno mengi, wababaishaji na wagumu kuelewa..akiongea mtanzania kuhusu mpira au timu ya taifa unaweza amini Taifa stars ndio timu bora kushinda zote africa..waweke uwanjani uone, huwezi amini yale yalikuwa yanasemwa kuipamba timu..! Kadhalika mambo mengine pia ikiwemo ubora wa jeshi kivifaa, ujuzi na uzoefu..tangu vita vya ukombozi viishe na baada ya vita ya uganda takriban miaka 40 sasa hakuna serious mission yoyote ambayo jeshi limeshiriki..kuna wanajeshi wanaandikishwa jeshi hadi wanastaafu hajawahi kushiriki mission yoyote! halafu unategemea huyo apigane ashinde vita? Thubutu..! Vita haisomewi na vyeo vya jeshi si umahiri wa nadharia ni vitendo..front line! msilete uchawa kwenye mambo haya..kila leo vinaanzishwa vyuo vya kijeshi mara kunduchi mara sijui wapi, uimara wa jeshi si nadharia ni vitendo! Sidhani jeshi letu kwa sasa ni imara kiasi hicho na hasa ukizingatia aina ya viongozi (marais) nchi imekuwa inapata..ni mizaha tu, mambo mengi ya hovyo wanasiasa wanafanya na jeshi lipo tu..na sasa wamewekewa vyeo/nafasi za rushwa ya kisiasa kupewa vyeo vya uenyekiti wa bodi kwenye mashirika ili kuwa,iba mdomo walambe asali..kuna jeshi hapo..? Mwanajeshi na kuwa board chairman wa maji wapi na wapi? Vyeo vya kijeshi kwa mtu ambaye ametumikia kikamilifu muda wa kustaafu ukifika huwezi kumshawishi awe Mwenyekiti wa bodi ngorongoro..lazima atataka kupumzika! angalau apate hata muda wa kuandika kitabu kutoa urithi kwa kizazi kipya..si hivyo! ni ubabaishaji tu..halafu unajipima upigane na watu wako vitani kila leo toka miaka ya 90 na wamewekeza heavily kwenye intelligence useme utawashinda? Haya jaribu..
Kiongozi wa Rwanda anapata marafiki sababu ni mtu shupavu hana mizaha na kejeli za kijinga..kwake uongozi ni utumishi 100% si KULA NA KUFANYA ANASA km viongozi wa hapa Tanzania na hivyo usidhani amepata marafiki kwa kutembeza bakuli la omba omba na kujipendekeza! Tuongee uhalisia ulivyo!
 
Thubutu uone Marekani anavyokupasua akiwa New York. Vita ya sasa hivi imekuwa rahisi sana. Huhitaji kutumia maguvu iili ushinde. Ni teknonolojia tu ina apply .mkuu.
 
😂😂😂AIBU kazi kupiga watu wakivaa vitambaa vya baka baka ,zile video mki wapiga m23 na Bm ziko wapi
 
😂😂😂AIBU kazi kupiga watu wakivaa vitambaa vya baka baka ,zile video mki wapiga m23 na Bm ziko wapi
Hahahaha! Ndiyo kazi wanayoweza. Hawamuwezi Kagame.
 
Huu ni upuuzi mtupu.

Rwanda kuitoa serikali ya Hyabarimana na kuiendelea kuitesa DRC nchi yenye Bureaucratic Paralysis haikuifanyi Rwanda kuwa na jeshi bora kuliko Tanzania. Let this sink in, in your head.

Endapo vita itatokea baina ya Rwanda na Tanzania, basi itakuwa ni ile kitaalamu tunaiita Mass Mobilization Industrial Warfare, ambayo GDP nzima ya nchi inasimama na kuanza kufanya shughuli za kivita (Industrial Economy).

Sasa Rwanda, ili apambane na nchi kubwa kama Tanzania, kwanza ni lazima ajihakikishie vitu vikuu viwili, DIPLOMATIC VICTORY na INDUSTRIAL CAPABILITY/STEADY SUPPLY OF ARMAMENTS. Bahati mbaya sana hakuna taifa la Afrika ukiyatoa Egypt na Algeria yenye uwezo wa kupambana kijeshi kwa kutumia mbinu za Blitzkrieg, kwamba anafanya COMBINED OPERATIONS kuhakikisha adui anamalizika ndani ya wiki tu.

Tanzania na Rwanda, tukipambana itakuwa ni A WAR OF ATTRITION, ambapo itategemea sana HEAVY ARTILLERY na MANPOWER. Atakayefanikiwa kumchosha mwenzake kwa muda mrefu ndiyo anaibuka mshindi. Hapa itategemea A STEADY SUPPLY OF ARMAMENTS jambo ambalo kwa Rwanda na Tanzania ni changamoto ukizingatia, hatuna silaha za viwanda vya silaha na sisi ni wanunuzi tu. Lakini kubwa zaidi uwezo wa Rwanda na Tanzania kufanya Voluntary Conscription.

Tanzania Active Military Personnel ni 30000, huku Reserve ni 90,000. Hivyo jumla tunaweza kukusanya wanajeshi 120,000. Huku tukiwa na uwanja wa kukusanya wanajeshi zaidi ya 700,000 kupitia Voluntary Conscription. Huku Rwanda wakina na Active Personnel 35000, na akiba wakifika 40000-50000, wakiwa na uwezo wa kukusanya wanajeshi wasiopungua 100,000.

Sasa mtu mwenye akili lazima afahamu kwa GDP ipi na rasilimali zipi, Rwanda anaweza kupigana vita vya muda mrefu na Tanzania halafu kisiwakute wote wawili. FRONASA tu kwenye The Ugandan Bush War walitumia miaka 5 mpaka kufanikiwa kushinda, tena walipambana na serikali ya Obote ambayo ilikuwa ni dhaifu kabisa. Tanzania ilitumia miezi sita tu, kuitoa serikali ya Iddi Amini ambayo ilikuwa na nguvu kuliko ile ya Obote.

Yaani, unataka useme kwamba Rwanda wataipiga tu Tanzania kwasababu, Tanzania haijawahi kufanya operesheni ya kijeshi ambayo wewe unaijua. Huu ni upuuzi mwingine. Kwamba, kwasababu Rwanda anapigana kule DRC, basi Tanzania imelala tu. Hivi unaizungumzia Tanzania hiihii, yenye maafisa waliosoma West-Point Academy, Frunze na Buddyonny kina General Mabeyo wenye Masters-In Science of War au wengine ???

Haya tuje kwenye suala zima la Logistics tu: Rwanda anatagemea bandari ya Dar Es Salaam na Mombasa kupitisha silaha zake halali, pamoja na vitu muhimu kama vipuli na nishati. Unadhani silaha zitakuwa zinapita tu bandari ya Mombasa kila siku na kuingia Rwanda ??? Unaweza ukadhani hii ni hoja, endapo tu wewe ni mjinga sana usiyefahamu jinsi bandari na biashara ya baharini vinafanya kazi.

Cargo Ships, huwa haziji tu kila siku bandarini. Zinaweza kukaa baharini zaidi ya wiki hadi kufika. Tena wakati wa vita Freight Charge inakuwa kubwa kwasababu ya Risk inayotokana na INSURANCE kuwa juu.

Jingine, Bandari ya Mombasa haina uwezo wa kufanya Logistics za kupakua mizigo ambayo imeacha kuingia bandari ya Tanzania na kwenda Rwanda kirahisi hivyo kama mnavyodanganyana hapa. Hivyo njia rahisi kabisa itakuwa ni kutumia ndege, kama ambavyo imekuwa ikifanyika hapa Afrika na Mashariki ya kati. Nikupe mfano hai: Mwaka 1975-80 kipindi cha ANGOLAN CIVIL WAR, serikali ya MPLA waliingiza manowari zaidi ya 27 za silaha na ndege zaidi ya 40 zilizobeba T-54 Tanks, T-34 Tanks, na MiG-21. Logistic ya namna hii itafanywa kupitia bandari ya Mombassa kirahisi ???

Jingine kuhusu Logistics: Mwaka 1997 wakati, Rwanda anavamia Kinshasa, msaada alipewa na SADC. Kagame na Kabila walipelekwa kwa Mzee Chiluba na Nyerere waombe kutumia Zambia kupitisha vikosi vyao kwenda Kinshasa. Mwaka 1998, Kagame alivyotibuana na Kabila, akaenda tena kwa Mzee Chiluba kuomba apitishe vikosi, Mzee Chiluba akamwambia, hivi "Ulikuja na mwenzako nikakuruhusu kwasababu mlikuwa mnamtoa dikteta, ila sasa unataka kunipa sababu gani ?" Mzee akamkatalia.

Kagame na Kaberebe ili kufika Kinshasa, wakaamua kutumia ndege za Abiria kwenye OPERESHENI KITONA, ambayo wanajeshi wa Rwanda waliuwawa kweli na wanajeshi wa Angola na Zimbabwe, wakaamua kukimbia na kusitisha mkakati. Sasa ili Rwanda afike Dar Es Salaam itabidi aidha apitie Kenya au Msumbuji. Huku akitakiwa atengeneza A Long Supply Route kwa ajili ya service na supply of equipment, jambo ambalo sidhani kama ana huo uwezo.

AN ELEPHANT IN THE ROOM: Rwanda atakuwa na Fronts zisizopungua tatu. Moja ni kwenye mpaka wake wa DRC ambapo atakuwa anapambana na FARDC na FDLR, ya Pili, ni kwenye mpaka wake na Burundi, ambapo atakuwa anapambana na FDNB, na Tatu ni kwenye mpaka wake na Tanzania. Those Tutsis will never stand a chance, and it'll be a bloodbath and a second genocide.

Tanzania itaumia mno kiuchumi, lakini Rwanda itapasuka vipande vipande kabisa, na ndiyo utakuwa mwisho wa utawala wa Kitutsi huu ukanda. FDLR wakianza kupambana na Rwanda, wahutu wa Rwanda, DRC, Burundi na Tanzania watajiunga wengi mno, na tutawaruhusu waingie hadi kule Ngara, Kigoma na Bukoba watusaidie kusafisha virusi.

=======================================================
Mambo makuu mawili kwenye vita ambayo hata mataifa makubwa yanasumbua:

Mosi, MILLITARY OCCUPATION: Kumpiga adui ni rahisi, lakini kukalia ardhi yake kisawasawa hadi kuhakikisha umeufuta utawala wake ni jambo jingine kabisa. The Wehrmacht baada ya kupiga Ufaransa mwaka 1941, ilipata shida mno na OCCUPATION. Kufika Ukraine wakakutana na tabu ileile ambayo iliua wanajeshi wengi wa Ujarumani kuliko hata vita.

Tanzania baada ya kuingia Uganda mwaka 1979, iliondoka mapema baada ya kugundua OCCUPATION ingekuwa ni ngumu kuliko vita. Ndiyo maana ukisoma magazeti mengi ya mwaka March na April 1980 utaona dunia inashangaa kwanini Tanzania imeondoka ghafla Uganda. Marekani miaka zaidi ya Ishirini kashindwa kufanya Effective Occupation ya Iraq na Afghanistani. Huku Urusi mpaka sasa anapata tabu kushikilia majimbo ya Donbass, ndiyo maana kapunguza Speed.

Pili, INTERNAL DISPLACEMENT and REFUGEES: Inapotokea vita watu huhama na kukimbia, jambo ambalo huzorotesha uzalishaji wa nchi na kukosekana kwa nguvu kazi ya kijeshi (Military Manpower). Amini nakwambia, Tanzania ina uwezo mkubwa wa kuhamisha raia kutoka Kagera, Kigoma na Mwanza, kuliko ambavyo Rwanda ina uwezo wa kuhamisha watu kutoka Rwamagana.

UNHCR wanasema kwamba, Tanzania ndiyo taifa hapa barani Afrika lenye uwezo mkubwa na wa kitaalamu wa kuweza kukabiliana na REFUGEE CRISIS and INTERNAL DISPLACEMENT. Rwanda itatokea CHAOS.

NB: Believe Me, viongozi wengi wa Tanzania huwa wanawatamani sana Watutsi wakosee njia. Tena kipindi hiki cha CCM ya majambazi, sidhani kama ikitokea vita kutakuwa na VOICE OF REASON, kama kipindi kile General Paul Buyoya kadanganywa na Kagame na Museveni, akakosea na kuvamia Tanzania eti kisa kuna Wahutu wako kwenye kambi za wakimbizi wanataka kuipindua serikali yake. Binafsi, huwa nawazoom watutsi hapa TZ wakidhani sisi ni mafala, naishia kusema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii (Ya Kihutu)

 
Thubutu uone Marekani anavyokupasua akiwa New York. Vita ya sasa hivi imekuwa rahisi sana. Huhitaji kutumia maguvu iili ushinde. Ni teknonolojia tu ina apply .mkuu.
Binafsi, huwa natamani sana hata siku moja watutsi wakosee.....
Hasahasa wale wanaoishi hapa Tanzania.....
 
Umesema vizuri kabisa. Ila kwa maoni yangu, vyovyote vile tunahitaji kufanya jambo ambalo halikuwahi kufikiriwa ili tuanze upya vizuri na tuwe vizuri.

Jambo hilo ni kuiondoa CCM na mizizi yake. Pili tubadilishe Katiba kuondoka mamlaka kwa Wanasiasa na badala yake nchi iongozwe na kudhibitiwa na mifumo kitaalam.

Kumlaumu Samia wakati tunajua mzizi wa haya yote ni KATIBA MBOVU inayowapa mizizi na umungu wanasiasa ambao ndo hao CCM na Rais wao tutakuwa tunakwepa ukweli mchungu ambao ni lazima tu u face ili tuweze kusonga mbele
 
Pole sana jeshi la ccm lime dharirishwa vibaya ninefurahi mno
Mimi siyo ccm fatilia michango yangu humu. Ila kwenye jeshi nipo na tofauti kubwa na watu mliojaa propaganda za kipuuzi Kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…