Mwizi maarufu wa Kawe/Mbezi Beach 'Minyembe' auawa na Wananchi

Huu ni udaku kama udaku mwingine
 
Kumbe alishafikia kwenye level ya udaktari! Basi huyo alikuwa ni hatari sana, R.I.P...
 
Mzee baba, unatuaibisha wanaume wa Da'slam. Unasachiwaje na kibaka kisha unamuacha?

Nilipokuwa naishi Masana nilimuhamisha kibaka almaarufu Dotto baada ya kuvunja kwangu nikiwa safarini.

Polisi niliwaambia huyu namleta mwenyewe, mshikemshike nilioufanya alienda likizo isiyo na malipo hadi nilipohama
 
Kwa kipindi chote hicho ilikuwaje ukashindwa kumwekea mtego ili akamatwe kama ulifikia hatua ya kumtengea chake kabisa ina maana mlikuwa karibu
Pole kwa msiba!
 


RIP kaka jambazi, msalimie jombi huko ulipo, mwambie maisha bila wizi yanawekana
 
Shida kubwa kuna nyumba zolikuwa zikishiriki kutunza HAO wezii na malizaoo so mpaka tukakaa kikaoo tukatangaza wahusika tutachoma moto hapoo na WENGINE wakafukuzwa kabisa hizo nyumbà wakaenda kupanga KAWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…