Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
AseeeMtakatifu Pombe utuombee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AseeeMtakatifu Pombe utuombee.
Mtakatifu Bibi Faizafoxy utuombee.Wazungu wamejuwa kuwakamata patamu wajinga ndiyo waliwao.
sahihiA saint is not synonymous to an angel.
Sisi hatuna unafik huo wa wajinga ndiyo waliwao.Mtakatifu Bibi Faizafoxy utuombee.
Hapo umepiga bonge la chenga, Yesu aliongea Kingereza?Wewe changia ya Kurani, ya biblia utayajulia wapi?
Matthew 16:17
Now I say to you that you are Peter (which means ‘rock’), and upon this rock I will build my church, and all the powers of hell will not conquer it.
Wana wa mungu wapo wengi sana kwenye biblia, siy Yesu pekee. Tusidanganyane:Yesu wa kwenye Biblia hana uhusiano na Nabii Isa wa Quran. Msijidanganye. Mtafutieni mtu wenu vitu vyake lakini Yesu Kristu mwana wa Mungu HAWAHUSU kabisa nyinyi Islam
[emoji28][emoji23][emoji1787]Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.
View attachment 2813930
Duh! Leo nimejifunza kitu. Asante sana Madame FaizaFoxyYesu nnamjuwa kuliko umjuwavyo wewe.
Kumbuka, mimi ni Muislam na huwezi kuwa Muislam kama humtambuwi Yesu kuwa ni mtume wa Mwenyezi Mungu.
Unapinga?Yesu hajawahi kuwa na kanisa. Usimzulie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiitwa Mtakatifu, yeye huko kaburini anapata nini?
Au faida haswa ya kuwa Mtakatifu ni ipi?
Being a saint doesn't mean one's whole life was pure and holy.sahihi
Saints vs Angels: What Are Their Differences?
What Are Saints?
The word “saint” comes from the Latin word “Sanctus,” which means “holy.” Saints are people who have been canonized by the Church. This means that they have been recognized by the Church as having lived holy lives and being in heaven.
What Are Angels?
Angels are beings that are sent by God to perform specific tasks. They are found in both the Old Testament and the New Testament of the Bible.
Differences Between Saints And Angels.
1. Saints Are Human, Angels Are Not.
2. Angels Were Created Long Before Humans.
3. Mankind Knew About The Existence Of Angels.
4. The Nature of Angels is Different Than The Nature of Saints.
5. Guardian Angels are Assigned to Each Person.
6. Humans Can Become Saints, But We Cannot Become Angels.
Did Nyerere live a holy life? NEVER! soma kitabu hiki Julius K Nyrere
Servant of God or
Untarnished Tyrant! by Ludovick Mwijage
A GOVERNMENT IS AN INSTRUMENT OF OPPRESSION, GOVERNMENTS USE LAW TO CLING/CONSOLIDATE (TO) POWER, SO IWEJE MTU ALIYEONGOZA INSTRUMENT OF OPPRESSION ATANGAZWE MTAKATIFU? NAOMBA KANISA LINIJIBU. ARCHBISHOP RUWAICHI, SOMA KITABU CHA MWIJAGE UONE ATROCITIES ALIZOZIFANYA NYERERE JULIUS
Law: instrument of oppression or tool of justice?
Fernanda Pirie, Professor of the Anthropology of Law
Laws can be harsh, exclusionary, and oppressive. Authoritarian rulers use them to entrench power and undermine human rights; and they manipulate courts and judges to support undemocratic and illegitimate activities. We only have to consider the Jim Crow laws in the US, which legalized racial segregation for decades, the legal regime of apartheid South Africa, and recent moves in Russian and eastern Europe to undermine the independent judiciary. So why do people continue to place faith in the rule of law? The UN declares it to be fundamental to international peace, economic progress, and the protection of fundamental freedoms; social movements take political battles to the courts; and human rights are enshrined in ever more ambitious legal conventions.
Is law fundamentally an instrument of oppression or a tool of justice? And how can it, in practice, be and do both? In my new book, The Rule of Laws, I go back to the origins of law in Babylon, India, and Rome to ask what history can teach us about this paradox. It turns out that laws have been and done contradictory things since they were first invented by the warlords who competed for power in the Fertile Crescent almost four thousand years ago.
NYERERE WAS GOOD, BUT NOT AN ANGEL TO BE DECLARED A SAINT
Yapeleke kwenye Mahakama ya jimbo ili kuzuia.
Bila Nyerere wengi msingekua wakiristo Wala TEC wasingekua na ashki na siasa na kutoa matamkoNi kivipi anatangazwa mtakatifu?
Chuki yako haiwezi kuzuia chochote.Wala Sihangaiki Hawezi kuwa Mtakatifu
Chuki yako haiwezi kuzuia chochote.
Hata waarabu nao wametukamataWazungu wamejuwa kuwakamata patamu wajinga ndiyo waliwao.