Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Usichukuliwe na maneno ya huyu mwehu..One mistake can destroy your whole career.
sasa ndio kaongea upupu gani huyu
Huyu jamaa hajaanza Leo hizi kampeni zake alileta mjadala wa kumponda na kumpandisha mwamposaBora angezingatia somo alilokuwa anafundisha.Kwa bahati mbaya adui yuko makini sana amefanya yale ya mbegu ilianguka kwenye miiba.
Yote ni yale yale tu , Acha kupindisha sentensi
Kwani unadhani hao kina Zumaridi na Geordavie wanaendaga Mbinguni kwà style zipi?Nimemsikiliza vizuri Sana ..na kasema kama ulivyosema ila mbona kaanza Kwa kusema " "wakati nimelala nikanza kuona maono nafsi inavyo nyanyuka mpaka kufika mbinguni akaanza kuona hayo maono ya kukuta na huyo Musa na akajihami usiulize amemjuaje akasema alitambulishwa ...
Sasa wewe unavyoiweka ni kama ya mama mdogo wako zumaridi..acha upotoshaji man.. mbona unakuaga mjinga we mzee
I AGREE WITH HIM, BUT WE WOULD BE BOTH WRONGWadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Watu kama hawa ndo somo lilikuwa linafundishwa leo .Watu wamefungwa kwenye madhabau zenye mafundisho ya makristo waongo kweli kweli..Neema iliyoachiliwa leo ikawaguse wengi kwakweli.Usichukuliwe na maneno ya huyu mwehu..
Huyu jamaa hajaanza Leo hizi kampeni zake alileta mjadala wa kumponda na kumpandisha mwamposa
Wanadamu wote tunaelewa nusu tu;.. kama tungekua tunaelewa yote tungeweza kuumba mtu.Ukweli ndio huo. Yesu anarudi. Japo maandiko yanasema kwa MUNGU siku Moja ni sawa na Miaka elfu.
Andaa moyo wako Ndugu, hapa Duniani hakuna maisha yadumuyo. Ni heri ungemuelewa Mwl Mwakasege ukatengeneza mambo Yako. Utakuja kumshukuru
Hahahahahaha dahHuyu jamaa nae kumbe wale wale tu
Kah! Nshakua Mwehu tena bob!. astakafirura,..nimekusamehe Ndugu! Maana wewe Nakufananisha kama wale waumini waliokua wanaandamana kumtetea Mchungaji Kimario wa pale KKKTUsichukuliwe na maneno ya huyu mwehu..
Huyu jamaa hajaanza Leo hizi kampeni zake alileta mjadala wa kumponda na kumpandisha mwamposa
Kama ni kweli huyu mzee anazeeka vibaya. Atakuwa kundi moja na matapeli wengine kama Mwamposa, Zumaridi, Tito, Lusekelo, Gwaji Boy etc.Acha ubishi, nimemsikia na kumuona live .....nikabaki nashangaa tu. View attachment 2593185
Hapa issue ni MBINGUNIKwenda na kuchukuliwa/kupelekwa unaona ni maneno yenye maana sawa? Ina maana huoni kuna kutenda na kutendewa hapo?
Wa kulaumiwa awe mwalimu wako wa Koswahili kama unaona hayo maneno yanabeba mantiki moja...
Ni kweli mkuu.....ila hapo kwenye Bwana nimecheka sanaa mimi Bwana wangu Yesu ni yeye yule jana leo na hata milele, HABADILIKI KAMWEWatu hubadirika kila sekunde,...ni vyema ukalitambua hili.
Huyo Bwanaako umuonavyo saa hii sio kama atakavyokua baada ya saa mbili zijazo. Unaweza kushangaa now unacheka nae afu ukajikuta unalala huku unalia
We ni genius aisee.....umeona mbali.Iyo ni plan "B".
bado wapo watafunguka zaidi wakishachanganya sasa tukaona kawaida watarudi na zawadi kutoka mbinguni kwa Yesu kama nguo,vyakula n,k na vitauzwa kwa bei ya juu.
Si ngu''uuza 😂😂Ngastuka mie na machale kundesa!
No sleep No slumber! ...Mtu mwenye Spirit ya Yesu huwa halalagi ...mara nyingi huwa anakua na usingizi wa mang'amung'amu....Ni kweli mkuu.....ila hapo kwenye Bwana nimecheka sanaa mimi Bwana wangu Yesu ni yeye yule jana leo na hata milele, HABADILIKI KAMWE
Tuendelee kunywa mtori, nyama ziko chini🤣Huyu jamaa nae kumbe wale wale tu