Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Wangari Maathai mbona hivyo tena 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ukumbusho. Uwezo wangu na kiwango changu ni kidogo sana kuweza kukuelimishaMkuu, au nimefanya kosa kukkumbusha! Kwani kuingia na kusoma kilicholetwa ni dhambi? Naomba unielimishe mkuu kwa hilo!
Hii mijitu ni mijinga sana, inadhani kuitaja taja chadema ndiyo huruma itawajia wananchi..!Mpambano kati ya miccm na michadema, mijamaa mnakera sana. Wote akili zenu zimegeukia huko, mada ni mwl. Kibasa, mnageuza kuwa your favourite CCM na CDM, viazi sana nyie!!
Nini Tena boss wangu? Wapi nimekoseaðŸ¤Wangari Maathai mbona hivyo tena 😀
Rafiki yangu sana namkumbuka na wimbo wake maarufu sana huu wa Najivunia Yesu
Ameniliza kweli kifo chake
huyu hapa akiimba huyo mwenye vesti nyeupe na kaptula
Asante Sana..pole bila ya mkonoðŸ¤ðŸ˜‰( chochote kitu)?😔Pole mama
Natamani niwepo..nadhan ya Mwanza nitahudhuria...shukrani!Tunakuombea urudi nyumbani hasa kwenye makambi ya mwaka huu
Haha siku hz tumekua mashetani mikono hailambikiAsante Sana..pole bila ya mkonoðŸ¤ðŸ˜‰( chochote kitu)?😔
Ulileta udini...nimekumbuka...!shindwa katika jina la YesuWangari Maathai mbona hivyo tena 😀
Ulileta udini...nimekumbuka...!shindwa katika jina la Yesu
Mimi na udini mbali mbali, wafuasi wako hao waambie,,
Ulisema tusome Quran...tuachane na haya mambo
Hapo sijaingiza udini mkuu wangari, nimetoa nasaha/ukumbusho kwa ndugu yangu hapo juu baada ya kusema huo wimbo "uko moyoni mwake"
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu Aliyetuamrisha kukumbushana na kupeana nasaha katika mambo ya Dini yetu. Huku tukimtakia rehma na amani Mtume wetu Muhammad aliyekuwa mtoaji nasaha nambari moja vile vile mkweli mwaminifu.
EAC anthem composer yet to be paid for task of 2010 vipi kumhusu huyu MUGANGO naye hausiki?Maestro Kibaso, RIP!
Requiem aeternam, dona eis Domine!
Nyongeza: Mtoa orbituary ameweka chumvi baadhi ya maelezo. Ni kweli, He's a great, somehow fine 'Kapellemaestre'
However, utunzi wa East Africa Community Anthem, si utunzi wake. (AUTHORITATIVELY, NOT HIS). Tanzania wakati wa ushindani ule wa kupata wimbo huo, waliofika Finale stage ni 'The great Maestro, John M. Mgandu, himself'!. Naye pia alipoteza. Wimbo ule ni wa Lecturer fulani wa Makerere University, Faculty of performing Arts (kama sijasahau).
Hata hivyo, Mwl Kibaso anayo sehemu yake katika Ufalme wa MUNGU.
Otorong'ong'o
EAC anthem composer yet to be paid for task of 2010 vipi kumhusu huyu MUGANGO naye
Composition goes through some stages.. Melody, Arrangement,Harmonization, etc.
The said Mr Mugango i think (maybe) had an origin melody?
However, the perfect harmony inside that piece must have engeneered by a more matured mind, not Mr Mugango;(Catholic musician knws what i mean, regarding the works He has authored)
Ni Mtumishi wa Mungu hakikaMie toka 2000 huko namfatilia uimbaji wake mzuri wana! Ameniuma Sana San Sana!
Yaani nadhani toka toleo namba 1 Kurasini mie mpaka leo naziimba! Amen madameNi Mtumishi wa Mungu hakika
Alimwimbia Mungu na kulihubiri neno
Uimbaji wa Wasabato unabariki sana
ay His Soul RIP