TANZIA Mwl. Samson Kibaso, mtunzi wa wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Afariki Dunia

TANZIA Mwl. Samson Kibaso, mtunzi wa wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Afariki Dunia

Mpambano kati ya miccm na michadema, mijamaa mnakera sana. Wote akili zenu zimegeukia huko, mada ni mwl. Kibasa, mnageuza kuwa your favourite CCM na CDM, viazi sana nyie!!
Hii mijitu ni mijinga sana, inadhani kuitaja taja chadema ndiyo huruma itawajia wananchi..!

Shubamit 🤕!
 
Rafiki yangu sana namkumbuka na wimbo wake maarufu sana huu wa Najivunia Yesu

Ameniliza kweli kifo chake

huyu hapa akiimba huyo mwenye vesti nyeupe na kaptula

Wimbo ulivuma balaa huu jaman...Sasa upate radio og dah..sio Kama sabufa zako za kkoo😉😉😉😉(jokes)
 
Ulisema tusome Quran...tuachane na haya mambo

Hapo sijaingiza udini mkuu wangari, nimetoa nasaha/ukumbusho kwa ndugu yangu hapo juu baada ya kusema huo wimbo "uko moyoni mwake"

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu Aliyetuamrisha kukumbushana na kupeana nasaha katika mambo ya Dini yetu. Huku tukimtakia rehma na amani Mtume wetu Muhammad aliyekuwa mtoaji nasaha nambari moja vile vile mkweli mwaminifu.
 
Tunashukuru Mungu na sio Allah
 
Maestro Kibaso, RIP!
Requiem aeternam, dona eis Domine!
Nyongeza: Mtoa orbituary ameweka chumvi baadhi ya maelezo. Ni kweli, He's a great, somehow fine 'Kapellemaestre'
However, utunzi wa East Africa Community Anthem, si utunzi wake. (AUTHORITATIVELY, NOT HIS). Tanzania wakati wa ushindani ule wa kupata wimbo huo, waliofika Finale stage ni 'The great Maestro, John M. Mgandu, himself'!. Naye pia alipoteza. Wimbo ule ni wa Lecturer fulani wa Makerere University, Faculty of performing Arts (kama sijasahau).
Hata hivyo, Mwl Kibaso anayo sehemu yake katika Ufalme wa MUNGU.
Otorong'ong'o
 
EAC anthem composer yet to be paid for task of 2010 vipi kumhusu huyu MUGANGO naye hausiki?
 
EAC anthem composer yet to be paid for task of 2010 vipi kumhusu huyu MUGANGO naye
Composition goes through some stages.. Melody, Arrangement,Harmonization, etc.
The said Mr Mugango i think (maybe) had an origin melody?
However, the perfect harmony inside that piece must have engeneered by a more matured mind, not Mr Mugango;(Catholic musician knws what i mean, regarding the works He has authored)
 
Back
Top Bottom