My confession: Justin Bieber kuhusu P-Diddy

My confession: Justin Bieber kuhusu P-Diddy

kwa heshima ya wajina naomba niombe taifa radhi na wote walioathirika na sakata hili

mwisho niwaombee mtoe comm kwa upole msiweke hasira huyu n binadamu pia amekosea atajibu na Mungu wake

kipeke niombee radhi kama kuna mtz toyote alihusika na hii kashfaa kiukweli inauma

na niko na mwanasheria wangu kuangalia naliondoaje herufi p

nibaki na Didy

ahsanten naamini mtamsamehee polepoleee
We jamaa unaandika mengi, ila nimegundua ni muoga sana, ujasiri wako ni kwenye kibodi. Unaombea watu misamaha na mara ooh ndugu, mara oooh yaan fyokofyoko kibao. Achen kutisha watu na hata hujui lolote kuhusu hizo pesa za mastaa sema unapita na upepo na kutisha watu humu. Tulia wacha shuhuda za uongo
 
Nilimpata Yesu, niliacha kila kitu lakini naomba maumivu haya yaondolewe. kwa maana malaika aliyepotea ndani yangu kwa utukufu na matarajio ya ulimwengu, naomba kuzimu isinipe sehemu ya VIP.
Mbona hakuwahi kusema before? Au Siri imekua changamoto?
 
We jamaa unaandika mengi, ila nimegundua ni muoga sana, ujasiri wako ni kwenye kibodi. Unaombea watu misamaha na mara ooh ndugu, mara oooh yaan fyokofyoko kibao. Achen kutisha watu na hata hujui lolote kuhusu hizo pesa za mastaa sema unapita na upepo na kutisha watu humu. Tulia wacha shuhuda za uongo
Hata E MOJA ULIPATA KKUU¿
 
Watu wanaamini aliwapelekea moto, lakini Holywood and entertainment ndustry Kuna dhuluma nyingi sana, sasa inawezekana walipigwa na deal mbovu , sasa wako tayari kusema lolote wapate payday
Mwendoowamavuno

Hakim mjanja kajua zilepesa abatoa mashahidi watakimbia zibaki kuwalipa waathirikaa
 
JB
DAH NAANGALIA AISEE KALIVYO SHETANMBAYA SANA
 
Orodha ya wasanii na watu maarufu waliopita kwa Diddy imezidi kuwa ndefu sana, lakini katika wote hao bwana Mdogo Justine Bieber hadithi yake inasikitisha zaidi, na inaumiza pia.

Justin Bieber anadaiwa kuzungumzia wakati wake na Diddy, akisema, “Kabla ya kutembelea au kwenda kwenye sherehe yake, unasaini karatasi inayosema hutajadili chochote unachokiona. Maisha yangu yalibadilika kabisa baada ya ziara hiyo.”

Akiwa na umri wa miaka 15, Justin alikuwa chini ya ushawishi wa Diddy, na video ya mtandaoni inamuonyesha Diddy akisisitiza kwamba kinachotokea kwenye mikusanyiko yao lazima kiwe siri. Justin hakuwa na hatia wakati huo( hajui lolote, bado mtoto), jambo ambalo linatufanya tuwe na wasiwasi kuhusu changamoto alizokabiliana nazo baadaye.

Justine Bieber mwenyewe aliandika haya kuhusu uzoefu wake wa miaka 16 na Diddy 😴

"Mimi hutokwa na machozi kila siku nikifikiria kuwa siwezi kurudisha hatia yangu" - Justin Bieber

"Karibu ninyi nyote mnajua hadithi yangu ya jinsi umaarufu ulivyonipata kutoka kwa umri mdogo hadi utu uzima, na wengi wenu mnavutiwa na kutamani kuwa na maisha ya kifahari ambayo yalikuwa juu yangu, yah namanisha haingenigharimu chochote kununua Rolls Royce 3 kwa usafiri na washkaji zangu, huku tukipiga barafu na wanawake wazuri wenye shape za kuvutia .

Niliishi maisha, lakini kilichoniumiza zaidi ni maisha ya kamera, wengine mnalaumu umaarufu kwamba niliamka asubuhi moja tu na kuanza kutumia M0lly(aina ya madawa) na vidonge ili niweze kujisikia vizuri, lakini hamjui chochote kuhusu Bieber. Ilikuwa ni njia ya kutoroka kwa maumivu ya kisaikolojia ambayo nisingeweza kuyapata kila ninapokumbuka saa 48 nilizokaa na Diddy, inagonga kichwa changu na kama boomerang nahisi kila mwanaume anayekuja katika maisha yangu anataka kurudia masaa 48 ya Diddy.

Nilimpata Yesu, niliacha kila kitu lakini naomba maumivu haya yaondolewe. kwa maana malaika aliyepotea ndani yangu kwa utukufu na matarajio ya ulimwengu, naomba kuzimu isinipe sehemu ya VIP.

Naomba sote tupate amani".
Unaokota habari za uongo mtandaoni na wewe unakuja kudanganya watu humu jukwaani ...stupid wahed
 
Justin bierber ni muhanga anapaswa kuonewa huruma.
Na wote waliofanyiwa vile hawapaswi kuchekwa.wanateseka kiakili.
Ndo maana wale jamaa zetu akina nyundo tunataka wale mvua za kutosha.cheo,madaraka utajiri isiwe chanzo cha kuwanyanyasa watu kingono.
 
Back
Top Bottom