babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Lakini hajasema masaa 48 walikua wanafanya nini,labda ni madawa na madem tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni baada ya kuanza kuachilia siri zao haya Mambo hata Michael Jackson yalimpata. Unatengenezewa mazingira ambayo kila ataekutazama atasema wewe ndo unashida.Nyie huyu Kanye sidhani km ni mzima....
Yeah !Ndio maana huwa nayachukulia maneno na maandishi ya David Ickle Kwa uzito na tafakuri kubwa.
😁😁😉Inasikitisha sana.. yule jamaa wa Tandale anakwambia mambo waliyofanya na Pdidy ni ngumu kuelezeka. So sad
🤣🤣🤣 soon atatengeneza scandal ili kupotezea hii issue 🤣🤣🤣 wabongo wanae[emoji23][emoji23]
Yule jamaa ataishi kwa kipindi kigumu sana wakati huu
Ukitafsiri kitu/makala au andiko lolote kwenye translator jaribu kufanya uhariri binafsi kabla hujapost! Kuna Kiswahili kilichotumika huwa hakiko sawa.Orodha ya wasanii na watu maarufu waliopita kwa Diddy imezidi kuwa ndefu sana, lakini katika wote hao bwana Mdogo Justine Bieber hadithi yake inasikitisha zaidi, na inaumiza pia.
Justin Bieber anadaiwa kuzungumzia wakati wake na Diddy, akisema, “Kabla ya kutembelea au kwenda kwenye sherehe yake, unasaini karatasi inayosema hutajadili chochote unachokiona. Maisha yangu yalibadilika kabisa baada ya ziara hiyo.”
Akiwa na umri wa miaka 15, Justin alikuwa chini ya ushawishi wa Diddy, na video ya mtandaoni inamuonyesha Diddy akisisitiza kwamba kinachotokea kwenye mikusanyiko yao lazima kiwe siri. Justin hakuwa na hatia wakati huo( hajui lolote, bado mtoto), jambo ambalo linatufanya tuwe na wasiwasi kuhusu changamoto alizokabiliana nazo baadaye.
Justine Bieber mwenyewe aliandika haya kuhusu uzoefu wake wa miaka 16 na Diddy 😴
"Mimi hutokwa na machozi kila siku nikifikiria kuwa siwezi kurudisha hatia yangu" - Justin Bieber
Soma Pia: Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000
"Karibu ninyi nyote mnajua hadithi yangu ya jinsi umaarufu ulivyonipata kutoka kwa umri mdogo hadi utu uzima, na wengi wenu mnavutiwa na kutamani kuwa na maisha ya kifahari ambayo yalikuwa juu yangu, yah namanisha haingenigharimu chochote kununua Rolls Royce 3 kwa usafiri na washkaji zangu, huku tukipiga barafu na wanawake wazuri wenye shape za kuvutia .
Niliishi maisha, lakini kilichoniumiza zaidi ni maisha ya kamera, wengine mnalaumu umaarufu kwamba niliamka asubuhi moja tu na kuanza kutumia M0lly(aina ya madawa) na vidonge ili niweze kujisikia vizuri, lakini hamjui chochote kuhusu Bieber. Ilikuwa ni njia ya kutoroka kwa maumivu ya kisaikolojia ambayo nisingeweza kuyapata kila ninapokumbuka saa 48 nilizokaa na Diddy, inagonga kichwa changu na kama boomerang nahisi kila mwanaume anayekuja katika maisha yangu anataka kurudia masaa 48 ya Diddy.
Nilimpata Yesu, niliacha kila kitu lakini naomba maumivu haya yaondolewe. kwa maana malaika aliyepotea ndani yangu kwa utukufu na matarajio ya ulimwengu, naomba kuzimu isinipe sehemu ya VIP.
Naomba sote tupate amani".
Aaaah lamamayeeee😂😂😂😂😂😂 una lubricate nini mwilini!??Hili Wese limevua watu ubingwa.
Mama mkanye mwanao, wese hatari hili. Halijawahi mwacha mtu salama.
Cc BICHWA KOMWE -
View attachment 3105808
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo nimesikia kisauti cha burner boy sijui .......anaulilia gobore la p didy liko kunako........yule jamaa na matendo ya kishoga wala haendani kabisa ........maana giant alitakiwa awe mgumu mgumu sana kama sura yake , hivi mtoto wa kiume uliyekomaa kiafrika kabisa unapata wapi muda wa kuwashiwa moto ?? Kum@%@%##&#&#&#&@^@^ zake puff dady
Mkuu nakushauri badili Username!bana boy kama shoga ama kahaba ndan ya ju.ba la didy wa usa lakn
Man in high heel!! I don't need to think deep!! Man down!
Si wee hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kamaa kawala wa marekani
Ha waafrikaa wamerwafi sanaa wanavyopendaaa pesaaa aisee
Ilikua wapi hii kaka!?mwanangu Infro mimi huwa nakuafiki vingi lakini tunatofautiana pointi ya uchawi.
babu believe me uchawi upo.
nimefanya kazi za kitumwa kwa mabosi. bro acha tu. nimeshuhudia mambo machafu sana ya wenye pesa. acha kaka. hii dunia ni ya kipuuzi sana.
ambayo sitasahau ni mtoto mchanga alifukiwa akiwa hai nashuhudia. nazi inapasuliwa anatoka mbuzi. babu hii dunia ina mazito. ukiwa kwenye harakati zisizo rasmi unapata kuona mambo ya ajabu sana ya dunia.
Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiona watoto zenu wakiume wanakimbilia ma shereh za mastaa kama hawa ujiandae na haya ya Jb
mtakutana. Na wallpuuut ooh
Kwelii kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uume....katu hauchagui sehemu ya kutumbukia....[emoji24][emoji24][emoji24]
Orodha ya wasanii na watu maarufu waliopita kwa Diddy imezidi kuwa ndefu sana, lakini katika wote hao bwana Mdogo Justine Bieber hadithi yake inasikitisha zaidi, na inaumiza pia.
Justin Bieber anadaiwa kuzungumzia wakati wake na Diddy, akisema, “Kabla ya kutembelea au kwenda kwenye sherehe yake, unasaini karatasi inayosema hutajadili chochote unachokiona. Maisha yangu yalibadilika kabisa baada ya ziara hiyo.”
Akiwa na umri wa miaka 15, Justin alikuwa chini ya ushawishi wa Diddy, na video ya mtandaoni inamuonyesha Diddy akisisitiza kwamba kinachotokea kwenye mikusanyiko yao lazima kiwe siri. Justin hakuwa na hatia wakati huo( hajui lolote, bado mtoto), jambo ambalo linatufanya tuwe na wasiwasi kuhusu changamoto alizokabiliana nazo baadaye.
Justine Bieber mwenyewe aliandika haya kuhusu uzoefu wake wa miaka 16 na Diddy 😴
"Mimi hutokwa na machozi kila siku nikifikiria kuwa siwezi kurudisha hatia yangu" - Justin Bieber
Soma Pia: Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000
"Karibu ninyi nyote mnajua hadithi yangu ya jinsi umaarufu ulivyonipata kutoka kwa umri mdogo hadi utu uzima, na wengi wenu mnavutiwa na kutamani kuwa na maisha ya kifahari ambayo yalikuwa juu yangu, yah namanisha haingenigharimu chochote kununua Rolls Royce 3 kwa usafiri na washkaji zangu, huku tukipiga barafu na wanawake wazuri wenye shape za kuvutia .
Niliishi maisha, lakini kilichoniumiza zaidi ni maisha ya kamera, wengine mnalaumu umaarufu kwamba niliamka asubuhi moja tu na kuanza kutumia M0lly(aina ya madawa) na vidonge ili niweze kujisikia vizuri, lakini hamjui chochote kuhusu Bieber. Ilikuwa ni njia ya kutoroka kwa maumivu ya kisaikolojia ambayo nisingeweza kuyapata kila ninapokumbuka saa 48 nilizokaa na Diddy, inagonga kichwa changu na kama boomerang nahisi kila mwanaume anayekuja katika maisha yangu anataka kurudia masaa 48 ya Diddy.
Nilimpata Yesu, niliacha kila kitu lakini naomba maumivu haya yaondolewe. kwa maana malaika aliyepotea ndani yangu kwa utukufu na matarajio ya ulimwengu, naomba kuzimu isinipe sehemu ya VIP.
Naomba sote tupate amani".
🤣🤣🤣 Inasikitisha sana aiseeKwelii kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]