My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Dah huu uzi unanifanya nimuwaze mwanangu nilozaa huko nje ya ndoa,isije ikawa siyo wangu aisee..na kanavyo nipenda dah
 
Na usikute hao jamaa wakalipia school bus hao mapacha ili wasome shule nzuri wakiamini ni watoto wao

Mimi ningekuja kuwamaliza wote Mama na Mapacha wake

Mambo ya kugeuzana mafala, hakuna anayetaka

Unless anitangulie kupitia mambo ya Asili, lakini nikitoka lazima niwapoteze
 
Yeye aweke location hii mechi inaenda kupigwa leo mpaka jpili jioni..!! 😹😹😹
Hapo umesema Mjukuu, tuchukue hotel Kali yenye swimming pool

Ili mechi moja mnapigia humo mkiwa mnarushiana Maji huku vinywaji vyenu vikiwa pembeni 🤪

Hivi kweli nitafika mbinguni kwa style hii 🤪
 
Ni aibu yani, na hicho ndo kinamuumiza huyu mzee kijana, baba halisi ni chokoraa la mtaa tu ndo unajikuta umeshare nalo kadudu wote mlipita hapo pekupeku, mkamwaga mijasho yenu, ***** katungisha babu kitambi kalea kakuza mimba kwa mbwembwe na kujenga mwenyewe sipati picha alipokuwa akifika saiti anasimama kwa madaha kumbe kashafanywa fala na lofa
 
Halafu unapitiwa usingizi saafiii☺️
Tukiamka asbh ni kadi tu na hakuna kazi imefanyika usiku kucha, sio hawa broke guys anahakikisha amechana uke🤣🏃🏽‍♀️
Una pirika mpaka unachanwa uke 😹😹
 
Mimi tu nilimuogopa maana nilimgonga maswali na akawa anajibu kirahisi na kadi zote alinionyesha, wengine walikuwa wanaleta misosi eeh ila bamtu alileta 1000, akasema huyu ndo baba yao mzazi lkn kama unavyoona mwenyewe kaleta 1000 ya kuuguza mapacha,
 
Hapo umesema Mjukuu, tuchukue hotel Kali yenye swimming pool

Ili mechi moja mnapigia humo mkiwa mnarushiana Maji huku vinywaji vyenu vikiwa pembeni 🤪

Hivi kweli nitafika mbinguni kwa style hii 🤪
Ukifika mimi napitiliza motoni🙌🏾
 
Ndiyo maana wakikamatwa wanamalizwa kimya kimya bila kuacha alama

Kwani ukimgonga na gari akivuka kutoka sokoni/supermarket si unalipa faini Polisi na kesi inaishia hapo
 
Na ndo dada za mjini zinvyopambana kwa udi na uvumba sikuhizi, sio tena kwa jasho tu na damu juu! Watu wana roga sana aisee! Huyo ni Mungu wake tu kamsaidia😅🙌🏾
 
Kama sikucheza hiyo michezo enzi hizo umri huu siwezi kufanywa bembea ya wanaume 5 kwa wakatu mmoja achilia mbali kunikula bila ndom wote 5!! Hiyo k au fuko la taka,
Wewe unajitambua

Kwahiyo kipyenga tunapuliza lini

Maisha yenyewe ni haya haya tu 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…