Ukishapuliziwa ndumba, kujitoa humo hadi unaingia kaburiniNa ndo dada za mjini zinvyopambana kwa udi na uvumba sikuhizi, sio tena kwa jasho tu na damu juu! Watu wana roga sana aisee! Huyo ni Mungu wake tu kamsaidia😅🙌🏾
Lakini mzee punguza kuwa na roho ngumu🙆🏽♀️Ndiyo maana wakikamatwa wanamalizwa kimya kimya bila kuacha alama
Kwani ukimgonga na gari akivuka kutoka sokoni/supermarket si unalipa faini Polisi na kesi inaishia hapo
Mpe babu acha kumbania kwani anaondoka nayo? 😹😹😹Hahaha we subiri 3some na kina lamo huko mi sitaweza kwanza uroto umeisha hata kunyanyua ugoko siwezi😂
Usikubali mpaka akupe shavu ushike mbona vijana aliwapa had wakachana kipapa 😹😹😹Rika la baba yako kabisa, sema ukinitengea nakula kabla hata sijanawa🤣
Duhh tusiache kusali mzee🙌🏾Ukishapuliziwa ndumba, kujitoa humo hadi unaingia kaburini
Manake akiona umeanza kurudiwa na akili, anaenda kuongeza dozi
Mi nasubiri foleni mkuu! Mkitoka nyie nipo kwa nyuma😅Mpe babu acha kumbania kwani anaondoka nayo? 😹😹😹
Sasa kama ninacho kidogo kisichanike😂🏃🏽♀️ Muache mzee wangu huyu tutatia aibu acha nimtafutie limshangazi la late 40s hukooUsikubali mpaka akupe shavu ushike mbona vijana aliwapa had wakachana kipapa 😹😹😹
Unataka kumkimbia Eron kijanja..!!Uweeh tukutane gesti nakutana na mshua unataka tuzike kesho😂
Kadi za nini mi nataka watoto niwapeleke wapi😂💔Nimechomekea tu Mjukuu, Mimi sina roho mbaya
Ila please nawe usitengeneze Kadi 3
Uzuri wa wadada wa mjini hawakubali kuzaa kijinga hivyo labda uwavizie wakiwa bado wajinga wajinga au huko mavumbini sema balaa lao ni ushirikina hapo kipengele wanaroga mnoo, wanashare dudu na waganga wa jadi, na nyota unaibiwa kwisha habari yakoNa ndo dada za mjini zinvyopambana kwa udi na uvumba sikuhizi, sio tena kwa jasho tu na damu juu! Watu wana roga sana aisee! Huyo ni Mungu wake tu kamsaidia😅🙌🏾
Babu shida yako hunipi mshahara wangu wewe pesa zote unawapa kina bibi 😹😹Kwa kweli natafuta zawadi kwaajili yake, hasa Ile 3some ikitiki
Fanya kweli basi Mjukuu, weekend ni kesho ujue 🤗
Kwenye kikao cha familia itakuwaje! Mzee wangu ana sukari lamo hebu mpumzishe🤣Unataka kumkimbia Eron kijanja..!!
Muhimu mkutane kama baba yako mtajua hapo hapo..!! 😹😹😹
Ok, nini chimbuko la utii halisi?Utii upo wa kuigiza na halisi
Michepuko wengi wana utii wa kuigiza ili uzidi kumpenda
We mjinga na babu yako wa kuchovya huyo lenu moja ndo maana joto kaliWeka location babu aje it’s furahii dei, halafu katoka kuchukua tenda ya barabara..!! Amechafuka mipesa (Hii nakuibia bibi) 😹😹😹
Hahaha.........hili likitiki, jiandae kupokea mshahara wa miezi 3 kwa pamojaBabu shida yako hunipi mshahara wangu wewe pesa zote unawapa kina bibi 😹😹
Huyo akupe kakuahidi mwenyewe 😹